moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,msikilize Mkuu wa Mkoa wa Tabora! Chukua hatua Jimbo la Moshi Mjini Kuna shida mahali!

    Sitaongea mengi! Huu ni mwaka mpya! Sikiliza
  2. M

    JamiiForums Tanzania Elia Mpanzu acha kucheza na majukwaa utapotea kama moshi hewani,,vinginevyo ubora wako nauona wa kawaida bali ulibebwa na vyombo vya habari!

    Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work! Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

    Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah. Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: WADUDU ni hatari: Chukua tahadhari unapokuja mapumziko maeneo ya Moshi na Arusha

    Habari Wakuu wa JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi. Kuna mambo kadhaa ni muhimu kuweza kuyajua hasa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri (magari) na wale wanaopendelea kwenda...
  5. JamiiForums Tanzania Wazee Moshi Hawataki kabisa kusikia chochote juu ya Mbowe

    Nipo Moshi kwa mapumziko ya sikukuu aisee wazee wa Moshi wamegoma kabisa kumuunga mkono Mbowe Nimejaribu kuanzia home kwa majirani na kila mtu ninayepiga naye story anaonyesha kuuzunishwa na Mbowe !! Hai kipindi kile kumbe Kuna watu kibao walipoteza Mali zao sababu ya chama sasahivi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wale wanaohitaji usafiri kutoka Dar kwenda Rombo

    Wakuu huu ni msimu wa Kupiga hela Kuna abiria wengi sana wanaotoka Dar kwenda Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Mkoa wa Kilimanjaro hivyo uhitaji ni Mkubwa sana. Huku JF kwa matajiri najua kuna wenye Magari Madogo au Coaster Nicheki tufanye biashara. Nina jamaa kibao sana wanahitaji Usafiri...
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi wapinga sheria kibali cha sherehe Moshi

    Kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kutoa tangazo la kulipia matukio ya sherehe na kisha tangazo hilo kusitishwa kwa muda, mjadala umekuwa mkubwa baada ya wananchi nao kupinga sheria hiyo wanayodai ni kandamizi. Akizungumza na Jambo TV Frank Maro mkazi wa Moshi ameeleza kuwa sheria hiyo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Wakatisha Ticket za Treni TRC kwenda Moshi Arusha, Muache kutengeneza Mazingira ya kupokea Rushwa.

    Wakuu Kwema Hii nchi tunakoelekea Sasa hivi hali sio nzuri kwa watumishi wetu wa uma. Kila mtu Kwenye nafasi yake anafanya anachojisikia. Bora nchi iuzwe tugawane Nimefika kituo Cha Treni, kukata ticket kwenda Moshi safari ya ijumaa, ticket zimeanza kukatwa saa2 Cha Ajabu saa2 hiyo hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Wachaga ambao mshaanza kwenda Moshi sasa hivi, Januari hatupokei simu zenu!

    Wakuu, Nimeona kuna baadhi ya Wachaga wameshaanza kupanda Esta na Marangu Coach kuelekea kwao. Simu zenu hatutapokea Januari. Unaendaje Moshi mapema hivi? Una uhakika hiyo 500k yako ita-survive mpaka Januari? Mnaenda huko kula ada, then Januari simu zinakuwa nyingi. Hatutapokea simu Raha ya...
  10. JamiiForums Tanzania Pave, Ayo Blog kwenye Group la Whatsapp la Moshi yetu, lengo lake ni nini?

    Fuatilia,tupe ushauri!
  11. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge Moshi Mjini Japhari Michael: Genge la Mbowe limeumiza watu wengi ndani ya CHADEMA

    "Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe Freeman Mbowe amezungukwa na kundi la watu ambao wamejijengea umangi meza. Bahati mbaya ni kwamba Mweyekiti ni mwepesi wa kupokea fitina na majungu na wakati mwingine anayapokea kwenye vikao visivyo rasmi. Na akishaamua kukushughulikia lazima atakushinda. Hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Binti 24yrs anatafuta kazi yupo Moshi

    Bint wa miaka 24 yupo Moshi anatafuta kazi yeyote halali Elimu yake Kidato cha Nne Certificate ya tourism Mchapakaz na mchangamfu Anaweza kufanya Kazi yeyote ambayo haidhalilishi utu wake Kama unamuhitaji naomba unicheki Pm Ahsante Kwa msaada wako
  13. JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki npo moshi mjini, bei 1.5M maongez yapo kwa mawasiliano 0672901144

  14. JamiiForums Tanzania Hali ya uchafu wa Mazingira Manispaa ya Moshi Kilimanjaro

    Sikiliza
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi holela ndani ya Manispaa ya Moshi, ukiendana na uongozi mbovu wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi

    Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu. Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu wa sera na kanuni za mipango miji. Ujenzi holela wa maeneo kama vile bar, car wash, na biashara...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Machinjio ya Manispaa ya Moshi hayana hadhi kiafya kwa Mifugo na Wakazi maeneo yanayoizunguka

    Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia. Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua. Pia, mfereji wa maji taka toka machinjioni umeziba na upo wazi kwa miaka na miaka. Eneo la kuchinjia halina...
  17. F

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Leo nimechukia sana nilipokuwa napiga kura kijijini kwangu Moshi, eti hakuna mpinzani hata mmoja anagombea na nimefanya kweli kwenye sanduku la kura

    Nimefika kupiga kura kituoni mida ya saa 5 asubuhi. Watu hawakuwa wengi na walikuwa wanakuja taratibu, wengine wapo shambani wanasubiri wapigiwe simu zamu yao ikikaribia. Kilichoniudhi ni kukuta hakuna mpinzani hata mmoja anagombea, wote ni CCM tupu! Halafu nikakuta ule mtindo wa enzi za...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Moshi: Rufaa zote za CHADEMA zaangukia pua

    Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika...
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa lori Mbeya kwenda Moshi - Nahamisha wiki hii

    Ndiyo hivyo, dalali - Dereva tuwasiliane 0734189022 Mzigo unajaa kama ki Toyoace kwa makadirio, vitu vya ndani na pikipiki. vimepakiwa fresh kwenye maboksi zaidi. Mbeya to Moshi Tuwasiliane.
  20. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini

    Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900, Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…