moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KERO Kukithiri kwa uchafu,maji taka na takataka kwenye Stand Kuu ya Mabasi, Moshi Mjini, Kilimanjaro

    Utangulizi Moshi mjini, maarufu kwa mandhari yake ya kuvutia na utamaduni wa kipekee, sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya usafi. Kituo cha mabasi kilichoko katikati ya mji kimekuwa kielelezo cha hali ya uchafuzi inayohitaji jitihada za haraka na za ziada ili kurejesha heshima ya mji huu...
  2. JamiiForums Tanzania Mradi wa Soko la Mbuyumi: Mabadiliko ya Ajabu ya DC Moshi, kutokukemea Rushwa kwenye miradi ya maendeleo

    Katika mwaka wa 2024, tulishuhudia mtu mmoja akifanya kazi kubwa kama mkimbiza mwenge wa uhuru, akitafakari na kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini. Huyu si mwingine bali ni DC wa Moshi, ambaye alionekana kuwa na dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna haja ya kufanyika uchunguzi Kuhusu Hili Soko lenye paa mbili za bati, soko la Mbuyuni (Manispaa ya Moshi) kwa thamani ya Bilioni 2!

    Utangulizi Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji printer ya epson yenye hali nzuri. Nipo moshi

    Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro Njoo na ofa yako Mawasiliano. 0672701329
  5. JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Kuchukua umeme kutoka vyanzo mbalimbali nafuu, ni kwa usalama wa Taifa letu

    Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X: UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)? Taarifa hii ilitushangaza na hata kutushtua wengi. Nikaona nijielimishe kwa wahusika Wizarani. Nikaelezwa umeme utanunuliwa kutoka Station ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wezi waiba nguzo 147 za fensi katika uwanja wa ndege Moshi

    MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameagiza wezi walioiba nguzo 147 katika uwanja wa ndege Moshi pamoja na fensi waya kurejesha mara moja na kudai kuwa serikali haitafumbia macho wizi huo. Babu ametoa kauli hiyo leo wakati wa kikao cha Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi mkoa, ambapo...
  7. JamiiForums Tanzania Kero: Leo huku Moshi tumesimamishwa kwa dakika 45 ili msafara wa Naibu Waziri Mkuu upite

    Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
  8. JamiiForums Tanzania Moshi: Wananchi wamechoka wajitolea kujenga barabara

    Wazawa wanaotoka katika vijiji vya Kondeni, Mawanjeni, na Mitala wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wameungana kwa pamoja na kuanzisha ujenzi wa barabara ya Samaria yenye urefu wa kilomita 1.5 inayounganisha vijiji hivyo. Wakizungumza na TBC, wakazi wa vijiji hivyo wamesema awali barabara hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika Moshi

    Natafuta kiwanja, kiwe medium or low density area. Niko Moshi. Kisiwe 20x20, kianzie 30 x40 au 40×40. Asante, PM.me kama una connection
  10. JamiiForums Tanzania Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

    Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au hayati Tx Moshi?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa vitabu vya biblia kadiri ya katekisimu ya komunio na kipaimara ya jimbo katoliki Moshi

    Mgawanyiko wa vitabu vya biblia kadiri ya katekisimu ya komunio na kipaimara ya jimbo katoliki Moshi Anaujua mgawanyiko huo tafadhali atuwekee hapo
  12. JamiiForums Tanzania Moshi: Bweni laungua moto, wanafunzi 50 wanasurika

    Zaidi ya wanafunzi 50 wa Shule ya Sekondari ya Kaloleni Islamic ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wamenusurika kuungua na moto baada ya bwenì walilokuwa wakiishi kulipuka moto leo saa saba mchana. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limefika katika eneo la tukio na kufanikiwa kuzima moto katika bweni...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa ilani ya ccm 99% imetiki nje ndani moshi mjini

    UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 99% IMETIKI NJE NDANI MBUNGE WETU PRISCUS TARIMO AMEKUWA MSIMAMIZI IMARA WA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MDANI YA JIMBO LA MOSHI MJINI. MBUNGE WETU AMEPIKWA VEMA NA CCM KUANZIA UVCCM KISHA KUWA KIONGOZI WA KADA TOFAUTI NA HII IMEMFANYA MBUNGE WETU KUWA BORA. HATUNA...
  14. JamiiForums Tanzania Pitia video hii, ili ujifunze taratibu na Sheria za kuingia na ukuli wa Moshi Mjini.

    Karibu!
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Davis Mosha kugombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya CCM

    Utangulizi; Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 2025 Hii ni hatua muhimu kwa ajili ya maendeleo ya jimbo letu...
  16. JamiiForums Tanzania Michango isiyo ya hiari Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro

    Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro Mkurugenzi wa Manispaa, Mwajuma Nasombe, kwa mamlaka aliyonayo, anawataka watumishi wote kuchangia fedha kwa ajili ya "Get Together" ya Watumishi Wote wa Moshi Manispaa, ikiwa ni sherehe...
  17. K

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iangalie jinsi ya kuondoa kero ya moshi karibu na Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

    Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
  18. JamiiForums Tanzania BAVICHA tayari moshi mweupe

    Kambi ya mabadiliko imeanza na BAVICHA. Twende kazi mpaka kieleweke. Kule tayari moshi mweupe umefuka.
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini aweka historia Mitaa ya Kata ya Miembeni

    MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI UTANGULIZI Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya kuhudhuria misiba miwili iliyokuwa jirani na kufanya jambo lililotafsiriwa kuwa sio la kiungwana...
  20. JamiiForums Tanzania HAYA FURSA NYINGINE HII HAPA YA KUTEMBELEA CHEMKA HOT SPRING KWA WAKAZI WA MOSHI NA ARUSHA HII INWAHUSU

    Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro. Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…