momba

Momba Station is a pastoral lease that operates as a sheep station in New South Wales. The property is situated approximately 42 kilometres (26 mi) south east of White Cliffs and 66 kilometres (41 mi) north east of Wilcannia.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Momba DC kada ya afya wa Januari 2026, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu

    Habari za majukumu, JF. Sisi watumishi wa ajira mpya wa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba (Momba DC) bado hatujapokea fedha zetu za kujikimu hadi leo, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamelipwa. Jambo linalotusikitisha zaidi ni kwamba tunapofuatilia stahiki zetu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Momba Mkoa Songwe, ajira mpya hatujalipwa hela ya kujikimu

    Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea. Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa zimewasili, lakini hadi sasa mwezi unaelekea kuisha bila kupokea malipo wala kupewa taarifa yoyote rasmi...
  3. JamiiForums Tanzania Wadada acheni kusema mlidanganywa na wanaume wakawapa mombi

    Wanawake vijana wengi wa bongo wanaokuwa wakiachika katika mapenzi na wanaobaki single mothers wamezoea sana kauli za kulalamika kusema walidanganywa au walitapeliwa na wanaume walioingia nao katika mahusiano au waliofanya nao ngono. Kama mwanamke una miaka zaidi ya 18 na ulifanya ngono na...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    My Take Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania. Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, ni kweli taarifa hii ya kukemea uchawa imetolewa na UVCCM Momba?

  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Songwe: Condester Sichalwe aongoza kwa kura 4,872 Jimbo la Momba

    CONDESTER SICHALWE AONGOZA KWA KURA 4,872 JIMBO LA MOMBA - SONGWE Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Condester Michael Sichalwe ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 4,872. Condester Sichalwe amewashinda makada wenzake watano...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Condester Sichwale aongoza kura za maoni Momba

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Condester Michael Sichalwe (Mundy), ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya chama hicho kwa kupata kura 4,872, sawa na 44.04% ya kura zote halali zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo Sukuru Kataba, katibu wa CCM Wilaya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa daraja la kipanda lawanufaisha wananchi wa vijiji vya namsinde na mfuto wilayani Momba

    Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya kata hiyo Myunga wilayani Momba mkoani Songwe. Akizungumza katika...
  9. JamiiForums Tanzania Joto la ubunge jimbo la Tunduma, Momba lapanda joto, Silinde atuhumiwa kuhujumu Sichalwe

    Na Mwandishi Wetu-Momba JOTO kisiasa katika majimbo yaliyopo mkoani Songwe limeamza kupanda baada ya Mbunge wa Tunduma, David Silinde kudaiwa kuandaa vijana kumzuia mbunge wa Momba, Condester Sichalwe asihudhurie mkutano wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya...
  10. JamiiForums Tanzania Momba: TARURA Yafungua Barabara Mpya ya KM 8.24 Wilayani Momba

    MOMBA: TARURA YAFUNGUA BARABARA MPYA YA KM 8.24 WILAYANI MOMBA Kwa mara ya kwanza wananchi wa Kata ya Mpemba na Mpande wananufaika na kufurahia matunda ya ujenzi wa barabara itakayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na Maisha yao kwa ujumla. Mhandisi Yusuph Shabani Meneja TARURA Wilaya ya Momba...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Momba amshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha nyingi za miradi, katika sekta ya elimu

    Mkuu wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kutoa fedha nyingi za miradi, hasa katika sekta ya elimu. Akizungumza katika ziara yake ya kampeni ya kuandikisha na kusajili watoto walio nje ya mfumo rasmi...
  12. JamiiForums Tanzania Condester Michael Sichalwe (Mundy): Mbunge Kijana Anayeleta Mapinduzi ya Maendeleo Jimbo la Momba

    Na, Laudence Simkonda-Momba Condester Michael Sichalwe, anayejulikana kama Mundy, ni mwanasiasa mchanga na mwenye nguvu akiwakilisha jimbo la Momba mkoani Songwe, kama Mbunge, amejipatia umaarufu kwa michango yake muhimu katika maendeleo ya jimbo lake. Kazi yake imejikita katika kutatua...
  13. JamiiForums Tanzania RC Chongolo akabidhi gari la Wagonjwa, apongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Momba

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
  14. JamiiForums Tanzania songwe: vivutio vya utalii vinavyopatikana halmashauri ya wilaya ya Momba na sifa zake

    VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE. Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii na vya kipekee hapa nchini Tanzania. Licha ya upekee wake, vivutio hivyo bado vinahitaji...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Fanuel Siyame aapa kuing’oa CCM Momba, CHADEMA kushinda kwa kishindo

    Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame akiwa katika ziara ya kuwanadi wagombea wa Vijiji na Vitongoji wa chama hicho katika mikutano ya Kampeni, ameeleza namna Chama cha Mapinduzi kilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake jimboni...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Siyame awavaa CCM kwa kuwapa wana Momba maji ya kunywa yasiyo salama

    Mtiania wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa jimbo la Momba mkoa wa Songwe, awataka wananchi wanapokuja viongozi wa kiserikali wawapatie hayo...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Momba hatuna maji safi na salama tunatumia maji na wanyama

    Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na wanyama kwenye Mto Nkana. Soma Pia: Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja: kazi iendelee

    Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!! Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba...
  19. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 194 wapewa mimba kwa Mwezi 1 Wilayani Momba

    Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chiwanda...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi wilaya ya Momba tumechoka kunyanyaswa na Mwenyekiti wa Halmashauri

    Habari wakuu, Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi amekuwa ni mtu anayeongoza kutegeneza migogoro hali inayopelekea kuharibu upelekaji na utoaji wa huduma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…