moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kurudisha Tanzania moja kwa uchawa! Ukweli pekee ndiyo njia

    Ukweli pekee ndiyo njia ya kutoka kwenye hili shimo. Hawa machawa, walioko masarakani msiwalaumu ni shetani anawatumia na tutashinda tu. Hawawezi kuwa watu wa kawaida wakafanya madudu kwa kiasi hiki ni mashetani tu. Sasa tuweke imani mbele na tuwndelee kukaza hivi hivi
  2. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chande atuonyeshe angalau picha moja alopewa ya waandamanaji wa 29/10 waliobeba silaha za moto siku hiyo kama ushahidi, la sivyo anasema uongo

    Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee waliopoteza Maisha Oktoba 29

    Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
  4. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  5. JamiiForums Tanzania Usikose! Matangazo ya Moja kwa Moja Ikulu

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza #MaendeleoEndelevu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

    Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri. Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Tanzania tungeandaa AFCON Peke yetu tungefaulu lakini kuwekwa kapu moja na walioahindwa kulipa hadi ada Samaki wameoza wote

    Japo CAF wamekanusha lakini aliyeshauri kuwekwa kapu Moja na Kenya na Uganda alitukosea sana.Vinchi Hadi Leo hii vinapigania njaa na kuomba omba chakula wataweza kuandaa mashindano hao? Kenya Hadi hela ya ada wameenda kukopa ndio wakalipa hapo juzi.Wana uwanja mmja tuu ,viwanja vya mazoezi...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Moja ya tukio la kijinga na la kitoto ni kufanya sherehe ya HARUSI, ujinga ujinga mtupu

    Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale: Ingia ukumbini Cheza kidogo Kata keki Tambulisha ndugu Toa zawadi Nenda kwenye msosi Muziki Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape) Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Tuhuma hizi kuhusu Pesa alizopewa Yanga Zina ukweli, Gerson Msigwa Jiuzulu Mara Moja ni Aibu

    Kuna hizi pesa zinatajwa kutolewa eti kwa Jina la Goli la mama, na Yanga wamekabidhiwa milioni 60 wakati ukalali wao ni milioni 20. Jee kwa vile muhusika na mpanga mipango ya fedha hizo ni wewe huu sio WIZI? Ni aibu kwa mtu ambaye pia ni msemaji mkuu wa Serikali kuwa mwizi au kushiriki wizi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awataka Ma RC na Ma DC kupunguza idadi ya magari kwenye ziara, ampongeza RC Dodoma kutumia gari moja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza matumizi ya mafuta kwa kutumia magari machache kwenye ziara za...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Kumi na Moja, Tarehe 17 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=8uvLPbFDq_0 https://www.youtube.com/watch?v=c6ZEtlNlok0
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa nyanya kuanzia heka moja na kuendelea

    Kama unadeal na ukulima nyanya Naomba nicheki kwa 0713 039 875 tufanye biashara
  13. JamiiForums Tanzania Neno Mubashara: Chaneli ya taifa mnaharibu lugha, chaneli ya dini na nyinyi amueni moja mtumie kiswahili ama kiarabu

    Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika...
  14. C

    JamiiForums Tanzania mtu ajaribu kuni mention mara mbili au tatu kwenye post moja

    kuna utafiti naufanya, naomba kuwashirikisha watafiti wenzangu katika research hii muhimu hapa jukwaani. hivyo kwa heshma na taadhima naomba mtu ataae ni mention kwenye post yeyote zaidi ya mara moja. na pia nitawaletea mrejesho baada ya kukamilisha utafiti huu.
  15. JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

    Hivi wakuu mnaionaje Marekani Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything Ukifikiria kiundani Marekani ina success nyingi sana kwa kweli Mfano kwenye 1. Entertainment Marekani mziki wao ni always Global hits...
  16. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa mali ya umma moja ya nguzo muhimu kuimarisha CCM - dola katika ukandamizaji haki nchini

    TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote. Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili. Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ni juzi tu hapa TPDC walitangaza nchi Ina akiba ya kutosha ya mafuta inakuaje bei ipande marudufu ndani ya week wakati nchi ilikua na akiba ya kutosha

    Kama nchi ilikua na akiba ya kutosha ya mafuta inakua vip bei inapandishwa ghafla ina maana stock iliyokuepo imeisha ? au wameamua kupandisha bei ya mafuta kwa kutazama soko la Dunia wakati nchini tuna reserve ya kutosha kwa bei ya zamani!! Ikiwa nchi ilikua na akiba ya kutosha tulitegemea bei...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nimebakiza wiki moja tu ya kuishi, nisaidieni- Saidi

    "Nimebakiza wiki moja tu ya kuishi, nisaidieni!" Hii ni kauli nzito inayoonesha kukata tamaa, kutoka kwa kijana Said Abdallah (33). Said anapitia kipindi kigumu, siku zake za kuishi zikiwa zinahesabika kutokana na ugonjwa unaomsumbua. Saidi anakabiliwa na uvimbe unaokua kwa kasi kubwa, na kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ifute mara moja tozo za mafuta ili kupunguza bei za mafuta ya petrol na disel

    Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele...
  20. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…