moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Papa: Wanaokosoa baraka za wapenzi wa jinsia moja ni wanafiki

    "Hakuna mtu atanipa kashfa ikiwa nitatoa baraka zangu kwa mfanyabiashara anayewanyonya watu, na hii ni dhambi kubwa sana. Lakini nitapewa kashfa ikiwa nitatoa kwa wapenzi wa jinsia moja, Huu ni unafiki" Papa Francis amesema anaona kuna "unafiki" katika kukosolewa kwa uamuzi wake wa kuruhusu...
  2. JamiiForums Tanzania Investigation discovery (IDx) moja ya channel nzuri sana

    Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani Ni ukweli usipingika kwamba wahalifu wa marekani wanatumia akili kubwa sana na wapelelezi na polisi...
  3. JamiiForums Tanzania Signings zetu Mbili mpya zinaanza Kulipa, zao Mbili moja Imesharogwa na nyingine inaendelea Kujitafuta wakati haijui Mpira kabisa

    Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena. Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilisema kuwa kuna Mchezaji wenu Mmoja aliwika ghafla na mkampenda kuliko Maelezo anaenda kupotea Kitabia...
  4. JamiiForums Tanzania Nilipoiona tu 'Signal' moja iliyofanywa Kiutaalam Uwanjani, nilijua tu kinachofuata ni Goli la Jioooooooooooniiiiiiii....

    Yaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa? Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kabila linaweza kubadilika kutoka kabila moja hadi jingine?

    Huwa ninawashangaa watu wanaojisifia makabila yao katika msingi wa damu. Naamini, kama vipimo vya DNA vingefanyika, kuna watu wangejishangaa kufahamu kuwa hawana uhusiano wa damu na kabila analojinasibu nalo. Kabila, kwa mtazamo wangu, msingi wake ni utamaduni na si damu. Miaka ya nyuma...
  6. JamiiForums Tanzania Nandy ampiku Diamond Platinumz, amtoa namba moja

    Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend mjini Youtube. Wimbo unaoitwa "Dah!" Wa msanii Nandy akishirikiana na Alikiba ndio unaoshikilia...
  7. JamiiForums Tanzania Aisee SICARIO ni bonge moja la movie

    Lawyer wa kimexico ambae familia yake iliuliwa na boss wa kundi la madawa ya kulevya na uharifu anaamua kuungana na task force moja ya marekani huku yeye akiwasaidia intel za kuangusha drug cartels na yeye wakimsaidia kumfikia huyo boss mmoja wa cartel ambae aliteketeza familia yake. kuna part...
  8. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kunyongwa kwa kuua watu saba wa familia moja

    Mahakama Kuu kanda ya Kigoma imemuhukumu Mkazi wa Mlole, Kigoma Ujiji Peter Moris Mwandelema (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya Watu saba wa familia moja. ( sita usiku mmoja na mmoja alifariki baadae ) Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Kigoma Agostine Rwizile...
  9. JamiiForums Tanzania Msimamizi uwanja Nyamagana atolewe mara moja

    Ndugu wana Jukwaa, juzi January 31 Rais Mama samia Alikua Nyamagana Mwanza kwaajili ya kugawa vizimba na mitumbwi ya kisasa kwa wavuvi zoezi ambalo lilifanyika kandokando ya ziwa victoria na baadae Mh Rais alikuja Uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kuzungumza na wananchi waliokua wakimngojea Mh...
  10. JamiiForums Tanzania Elon Musk arejea tena kuwa tajiri namba moja duniani

    Baada ya wiki jana kusambaa kwa taarifa ya kupoteza nafasi yake aliyokuwa anaishikilia kwa muda mrefu, Nafasi ya kuwa tajiri namba moja Duniani. Mapema wiki hii amerejea kwenye nafasi yake, akimshinda bilionea wa Ufaransa na Mkurugenzi mtendaji wa LVMH Bernard Arnault. Elon Musk anarejea...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    wakuu mambo ni vipi Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia. Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu nyingine hata gugo halipo. Taja jina ambalo ulikutana na mtu analitumia hujawahi kulisikia tena mahali...
  12. JamiiForums Tanzania Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani

    Kwa mujibu wa ripoti mpya iliyothibitishwa na Forbes, Elon Musk sio tena bilionea namba moja duniani; nafasi hiyo imechukuliwa na Bernard Arnault na familia yake, wenye utajiri wa dola bilioni 207.9. List ya mabilionea 10 duniani: 1. Bernard Arnault & family - TZS Trilioni 524.3 2. Elon Musk -...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sukari tanga Tsh. 6,000 kwa kilo moja! CCM take note of that!

    Tumefika hapa tulipo. Rais Samia take note of that!
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Zaytun Swai: Rais Samia ni Mhifadhi na mtunza Mazingira namba moja nchini

    "Tumekuja katika Gereza la Wilaya ya Karatu katika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nimekuja na akina mama wa Wilaya ya Karatu kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Karatu" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Tunamtakia Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Ufunuo wa Mwafrika, Kalenda nyingi dunia moja!

    KALENDA NYINGI DUNIA MOJA 1. Kalenda ya Gregorian 2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia) 3. Kalenda ya Ethiopia 4. Kalenda ya Kiyahudi 5. Kalenda ya Kichina 6. Kalenda ya Hijira 7. Kalenda ya Kiajemi 8. Kalenda ya Kijapani 9. Kalenda ya Julian 10. Kalenda ya Buddha 11. Kalenda ya...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Pantoni moja tu ndio linafanyakazi Kigamboni leo, nyingine ziko wapi? Kashikashi ya kusukumana kuwahi kuingia ni balaa!

    Wakuu, Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend. Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa...
  17. JamiiForums Tanzania Diamond na Harmonize kutoa nyimbo zao siku moja

    Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it" Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue. Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinaendelea kuunga mkono sera ya kuwepo kwa China moja

    Kwa muda mrefu sasa jumuiya ya kimataifa imeendelea hatua kwa hatua kuitambua sera ya kuwepo kwa China moja kama ilivyo kwenye sheria ya kimataifa, sera inayosema kuwa kuna China moja tu duniani, na Taiwan ni sehemu isiyotengeka ya China. Nchi mbalimbali duniani ambazo kwa sababu moja au...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Leo Jumatano 24.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania Kikosi cha Tanzania Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo Mpira Umeanza... Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Boss ingia Whatsapp mara moja

    Boss ingia Whatsapp mara moja kuna kitu nimekutumia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…