moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Flat ya kawaida tubadililishane na Smart tv plus laki moja juu? Mwanza

    Jamani Mgosi nawaletea dili hili, kama una shida ya pesa ya fasta bila kupoteza. TV INCH32, Kampuni PineTech Flat screen ya kawaida pesa -100k cash
  2. JamiiForums Tanzania Bobali: Elimu isimamiwe na Wizara Moja

    ACT WAZALENDO ELIMU ISIMAMIWE NA WIZARA MOJA. Waziri Kivuli wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema Hamidu Bobali ameitaka Serikali kuhakikisha sekta ya Elimu inasimamiwa na Wizara moja ili kuondoa mgongano katika usimamizi, utekelezaji na uwajibikaji. Kwa sasa Sekta ya Elimu inasimamiwa na...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa kwanini biashara ya mgahawa wa chakula ni bonge moja la idea.

    1.watu ni lazima wale wapate nguvu mtu hawezi kufanya matendo ya kununua nguo, viatu, computer, kusafiri, kufukuzia mchumba kama hajala yaani lazima tu kipaumbele kiwe kula 2.rahisi kuikuza kwani ubunifu wako ndo utafanya upate wateja mfano mtu anakula pale mezani ila kuna vipeperushi vya menu...
  5. JamiiForums Tanzania Tafakari point moja baada ya moja ya utabiri wa neno la Mungu wa nyakati za mwisho.

    Mtasikia kuhusu vita vinanavyopiganwa na pia matetesi ya kuwapo vita vingine. Lakini msiogope. Mambo haya lazima yatokee na mwisho wenyewe hautafuata palepale. Mataifa yatapigana na mataifa mengine. Falme zitapigana na falme zingine. Utakuwepo wakati wa njaa ambapo watu watakosa chakula. Na...
  6. JamiiForums Tanzania Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nguvu Moja imerudi Simba ndio maana ushindi unapatikana

    Jana kwa wale wanaoijua vizuri Simba watakuwa wameona kwenye jukwaa kuu kulikuwa na akina Kajuna, Juma Pinto na baadhi ya friends of Simba huku pembeni kukiwa na akina Asha Baraka, ile ni dalili kuwa kuna mambo wamekubaliana msimu ujao na akina jaribu tena ndio basi tena. Wale akina Kajuna ss...
  8. JamiiForums Tanzania Napendekeza dunia iwe na nchi moja tu ya ‘United states of Earth’ (USE). Raia wa kigeni ni yule wa kutoka sayari nyingine tu

    Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia. Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu.. ==========================...
  9. JamiiForums Tanzania Barabara ya maili moja shule kwenda sheli ya zamani( Morogoro road) -KIBAHA

    Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM. Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote...
  10. JamiiForums Tanzania Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja. "Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani watoa sharti kwa Qatar kwamba HAMAS wafukuzwe mara moja kama watakaidi azimio la sasa la Israel

    Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu... US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror group rejects another ceasefire proposal, the Washington Post reported Saturday morning. Qatar...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuungana kwa nchi za Afrika kuwa nchi moja kunaweza kuwa na manufaa?

    Africa inaweza kuungana na kuwa taifa moja ambalo litakuwa tishio sana duniani mabeberu walisha litambua hilo ndio maana wakafanya kila namna kuweka vikwazo vikubwa sana ambavyo vimepelekea waafrika wengi sana kupoteza maisha,, lakini leo natamani nielezee manufaa Africa ikiwa nchi moja yenye...
  13. JamiiForums Tanzania 📍Tarehe 21/2/2024 Pr Tony Kapola Kwa IG yake Alipost Picha anafungua Buti La gari [Ineos Granadier] Bonge moja la machine twenda pamoja upate kuijua

    Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri.. . Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
  14. JamiiForums Tanzania American Israel Public Affairs Committee (AIPAC ) ndio moja ya makundi yanayo iendesha marekani juu ya Israel kwa kiasi kikubwa ?

    The American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) is a lobbying group that advocates pro-Israel policies to the legislative and executive branches of the United States. One of several pro-Israel lobbying organizations in the United States, AIPAC states that it has over 100,000 members, 17...
  15. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza place yangu Heka 3 Heka moja laki 9.5

    Habari wapendwa nahitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3. Location: njia ya bagamoyo mkenge Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji Nilinunua 2019 Nauza nimeshindwa kufanya chochote kutokana nipo mbali napo. WhatsApp 0715160365 Call 0747464694
  16. U

    JamiiForums Tanzania Natoa Siri, moja ya sababu ya Vita vya Ukraine ni kama yanayotokea sasa muungano Zanzibar na Tanzania bara

    Nataka Kusema, mgogoro uliopo Sasa kati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaweza kuja kuleta madhara baadae kama ilivyokuwa madhara makubwa ya vita ya Ukraine na Russia, ambazo awali zilikuwa nchi moja na Mtawala wa Soviet union aliye na asili ya Ukraine kufanya maamuzi ya kupendelea...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana CCM ajilipua, alaani mama Samia kutengewa fomu moja

    Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda. Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari. Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni bingwa wa maneno, wenzio wanajua fix

  19. JamiiForums Tanzania Makonda aamuru kukamatwa mara moja wezi wa millioni 478

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). Makonda ameyasema hayo mkoani Arusha wakati...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa Israel unavyowaingizia mkwanja mrefu: Huduma ya kudukua simu moja ni bilioni 1, Wateja wakuu ni serikali na taasisi za kijasusi duniani

    Muhimu: Gharama hizo ni kwa mwaka moja pekee Kampuni ya Pegasus ya Israel hutoa huduma ya kudukua smartphones (hata iphone) kwa dau la shilingi bilioni 57 kwa simu 50 ( euro milioni 20.7) takribani shilingi bilioni 1.x kwa kila simu. Wateja wakuu ni serikali hasa katika kuchunguza wapinzani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…