moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania itahitaji miaka zaidi ya elfu moja au zaidi kupata mageuzi ya kweli

    Sio unabii au utabiri bali ni hitimisho ambalo nimekuja nalo baada ya kupitia mambo mbali mbali katika hii nchi. Habari za wakati huu wasomaji wa JF ndani na nje ya mipaka ya taifa hili. Hii nchi ina watu na vitu vya kushangaza sana.Nianze ni hii;hali ya sintofahamu inayohusu mvua kubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ethiopia na hizi nchi zingine hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.

    Kwa jinsi mambo yanavyoenda kwenye hizi nchi, hazifiki 2030 zikiwa nchi moja. 1. Ethiopia. Muungano wa Ethiopia ni dhaifu sana. Kila mkoa una jeshi lake na "Rais" wake. Wana mikoa 12 iliyogawanyika kimakabila. Watu wa Tigray wamelianzisha tena. Vita vita. Kabla ya 2030 hii haitakuwa nchi moja...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Makonda umeamua kulidhihaki Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na La Mitume? Nakushauri katubu mara moja.

    https://www.instagram.com/reel/DdtlWSlO3fWaX2wlo2zPZ2DWdTNEdaBVoB03dQ0/?stkn=MXM4ZDdrMHhya2k3bQ==
  4. JamiiForums Tanzania AI: Mapenzi ya jinsia moja siyo jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi

    Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja: Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na mapenzi ya jinsia moja) sio jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi. Wataalamu wa afya ya akili na...
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa nimezika ndugu zangu mia Moja (100)

    Habari ya asubuhi wakuu! Katika "tembea tembea" nimekutana na jamaa anadai kwamba mpaka Sasa amezika ndugu zake mia Moja. Hivi Kuna Binadamu ambaye Yuko hai na amewahi kushuhudia misiba / mazishi ya ndugu zake kuanzia wa kwanza mpaka idadi inafika 100 na yeye bado Yuko hai?
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja?

    Je ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja. Mfano Bidhaa A ina faida mara 3 Bei ya mtaani rejareja 30,000 Bei ya chimboni ni 10,000 Bei ya bidhaa B faida ni mara 18 Bei ya rejareja ni 18,000 Bei ya chimboni ni 1000 Kama hali ni hiyo faida wanayopata ni kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wazoefu wa uwekezaji DSE Nawaomba dakika moja

    Mwenzenu baada ya kufuatilia podcast na documentary baadhi za wakubwa huko u tube kuhusiana na uwekezaji wa hisa(stock) nimeamua nianze mdogo mdogo kwa nilichonacho, hivyo nitakuwa natumia mbinu ya kutupia kidogo kidogo kila mwezi mpaka nitakapofikia. Sasa swali langu wazee, nimedownload app...
  8. JamiiForums Tanzania Ego: Kikwazo Namba Moja cha Maendeleo

    Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego. Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua. Hadi wazazi, wako radhi urudi mistakes zao kwa kukuacha uwe less wakati huenda wanauwezo wa kukupa...
  9. JamiiForums Tanzania Inaweza kuwa Moja ya Taaluma inayolipa sana kwa sasa.

    Unaweza ukajihoji kuwa ulipoteza muda kupigania taaluma uliyonayo. Vichwa vyenye rutuba inayoweza kustawisha Ujinga vinazidi kuongezeka. Uongo unaweza kuwa moja ya bidhaa pendwa na muhimu kwa uhai wa serikali na viongozi feki. Wanufaika wanapambana kwa kukaza hadi mishipa ya nyoro kama...
  10. JamiiForums Tanzania Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

    Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya. Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane. Mkurugenzi huyo ame...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Donald J.Trump wa Marekani, awataka washirika wake kujiondoa mara moja kwenye mahakama ya ICC.

    Akihutubia United Nations General Assembly, huko New York leo, Rais Trump ameipiga marufuku mahakama hiyo ya ICC kuwachunguza au kuwashitaki raia wa marekani na washirika wake kote ulimwenguni, na kwamba mahakama hiyo haina uhalali wa kufanya hivyo dhidi ya wamarekani na washirika wake. Aidha...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Uwezeshaji wa wanawake ni uwekezaji katika afya moja

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira. “Wanawake hawapo pembezoni mwa...
  13. JamiiForums Tanzania Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  14. JamiiForums Tanzania Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Pwani wana staili moja tu ya kucheza ?

    Hivi wanawake wa Pwani uswahilini wana style nyingine ya sanaa ya uchezaji zaidi ya hii ya kubinua makalio juu na kuyatikisa kama feni ya pangaboi?
  16. JamiiForums Tanzania Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi? Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu. Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga? Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  18. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Hospitali ya Manispaa ya Singida iboreshe njia ya kupitisha wagonjwa kutoka jengo moja kwenda lingine

    Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa Wodini, Maabara na Radiologia kutoka Emergency pamoja na maternity. Hiyo ni katika mchakato wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Lissu amewatangulia Wanasheria wa CCM kwa miaka mia moja mbele

    Lissu Yuko mbele ya Muda dhidi ya CCM na wanasheria wote wa CCM. Kwa kifupi watu wengi hawakuelewa,hata Mimi sikumuelewa aliposema mashahidi wake ni RAIS Samia,CDF,IGP,DGTISS na Kingai. Kwa kifupi alipowataja Hawa kua ndio mashahidi wake alikua amelenga mitego miwili kwa ajili ya kupiga TKO...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini chudai za kibongo kila moja yake imejaa miharo na vinyesi

    Mna kufuru sana nyie watu🤮🤢 Hamna kinyaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…