moi

The aliʻi were the traditional nobility of the Hawaiian islands. They were part of a hereditary line of rulers, the noho aliʻi.
The word aliʻi has a similar meaning in the Samoan language and other Polynesian languages, and in Māori it is pronounced "ariki".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Majeruhi zaidi ya 15 wa ajali ya bodaboda hupokelewa MOI kila siku. Lema alikuwa sahihi

    Hii ni taarifa iliyoripotiwa na daktari wa MOI katika habari ya Saa 2:00 usiku huu. Kwa taarifa hii ni wazi kuwa taifa linapoteza nguvu kazi kubwa Sana. Pia soma: Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi
  2. JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yaanzisha Teknolojia mpya mbadala wa dawa za maumivu sugu ya mgongo na kichwa bila upasuaji

    Kwa mara ya kwanza Afrika, teknolojia mpya ya mbadala wa dawa za maumivu, imeanza kutumia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI). Hadi Aprili 28, 2023 jumla ya wagonjwa 18 wamepata huduma hiyo, ili kuepuka maumivu ya mishipa ya fahamu, ambapo huduma hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Kibiongo 50 hadi 60 wanapokelewa MOI kwa Mwaka

    Katika kuendelea kuhakikisha huduma za matibabu ya kibingwa zinapatikana Nchini, Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeandaa program ya Upasuaji Mkubwa wa Kunyoosha Migongo iliyopinda ‘vibiongo’ (Scoliosis). Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Respicious Boniface amesema “Malengo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) yapeleka kliniki maalum Mbagala

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Wilaya ya Epiphany inatarajia kuendesha kliniki maalum (MOI Mobile clinic) kwa wa kazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam. Kliniki hiyo itahusisha huduma za kibingwa na kibobezi za mifupa, Ubongo, Mgongo na mishipa ya...
  5. JamiiForums Tanzania MOI yapata mashine maalum za Tsh. Bilioni 2 kwa ajili ya kutibu kifafa na upasuaji wa Ubongo

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeeleza mpango wake wa kuanza kutibu maradhi ya Kifafa kwa kutumia vifaa (Mashine) maalumu ya Upasuaji wa Ubongo na Uti mgongo kwa muda mfupi. Dkt. Lemeri Mchome ambaye ni Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka MOI amesema kutokana na Mashine hizo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Takwimu za MOI zinaonesha Lema yupo sawa kuhusu "laana" ya bodaboda

    Godbless Lema hakueleweka na watu kwa kauli yake kuwa kazi ya bodaboda ni laana. Lakini ukiangalia takwimu kutoka taasisi ya mifupa Muhimbili utagundua Lema ana point. Hapo ni Muhimbili tu, nchi nzima ni zaidi ya vijana 1500 huumizwa vibaya kwa mwezi sawa na zaidi ya vijana 15,000 kwa mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 1000 wajitokeza kuchangia damu, chupa 600 za damu zapatikana katika Kampeni ya KISUTU GIRLS BLOOD DRIVE

    Zaidi ya Wanafunzi 1000 kutoka Shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es Salaam wamejitokeza katika tukio la uchangiaji damu wa hiari lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Kisutu ambapo zaidi ya chupa 600 za damu zimepatikana. Tukio hilo la uchangiaji damu wa hiari limeratibiwa na Shule...
  8. JamiiForums Tanzania Watu 360 wanapatiwa matibabu ya Saratani ya Ubongo kwa Mwaka

    Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma za kibingwa za MOI kuanza kutolewa Hospitali ya rufaa Nkinga - Tabora

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) iko mbioni kusogeza huduma zake za kibingwa kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora na mikoa jirani katika Hospitali ya Rufaa ya Nkinga ili kuwaondolea wananchi usumbufu na gharama kubwa kufuata huduma hizo Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
  10. JamiiForums Tanzania Mamia wajitokeza kuchangia damu MOI wapewa elimu ya umuhimu wa Bima ya Afya kwa wote

    Mamia ya Wanafunzi kutoka vyuo vikuu na kati vya jijini Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwaajili ya kusaidia wagonjwa wenye uhitaji wa damu ambapo zaidi ya chupa 300 za damu zimepatikana kupitia zoezi...
  11. JamiiForums Tanzania Takwimu zaonesha kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa wa kupooza

    Mara baada ya kuelezwa kuwa Taasisi ya Mifupa (MOI), Dar es Salaam imekuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa kupooza ndani yam waka mmoja imeelezwa kuwa moja ya sababu kubwa inayochangia hali hiyo ni aina ya maisha ambayo watu wanaishi kwa miaka ya hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
  12. JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa MOI wapewa mbinu za kisasa za upasuaji wa Vivimbe vya Mishipa ya damu kwenye ubongo

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo kwa mbinu za kisasa kwa madaktari bingwa waliohitimu katika chuo hicho ambapo wagonjwa...
  13. JamiiForums Tanzania Matibabu ya Kiharusi (Stroke) nchini hugharimu Tsh. Milioni 5-15

    Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu wenye miaka 40 na kuendelea. Akielezea utaratibu wa gharama za Matibabu ya Ugonjwa huo ambao mara...
  14. JamiiForums Tanzania MOI inapokea wagonjwa watatu wa Kiharusi kila siku

    Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema kila siku inapokea wagonjwa watatu wenye tatizo la kiharusi (stroke). Hayo yameelezwa leo Septemba 20 na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Laurent Mchome katika kambi maalumu ya upasuaji wagonjwa 12 wenye matatizo ya uvimbe kwenye ubongo na matatizo...
  15. JamiiForums Tanzania 70% ya wagonjwa wa ajali za barabarani waliopo MOI (Muhimbili) chanzo ni bodaboda

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku Baba Moi aliomba lift gari ya mchanga

    Baada ya msafara wake kukwama kwenye tope baba Moi na mawaziri wake walipanda tipper kuendelea na safari.
  17. JamiiForums Tanzania Watu hawa wanapatiwa matibabu Taasisi ya Mifupa (MOI), ndugu zao wanatafutwa

    Wadau Tunaomba tusaidiani kutawanya PICHA hizi ili Wenye Ndugu zao Wapate TAARIFA Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…