The aliʻi were the traditional nobility of the Hawaiian islands. They were part of a hereditary line of rulers, the noho aliʻi.
The word aliʻi has a similar meaning in the Samoan language and other Polynesian languages, and in Māori it is pronounced "ariki".
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesogeza huduma za kibingwa na kibobezi kwa wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Kongamano la Pili la Wanawake wa shirika hilo lililolenga pia kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Huduma zilizotolewa ni pamoja...
Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira yao ya kazi pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo majumbani.
Mafunzo hayo yamenyika leo...
Kasi ya utekelezaji wa miradi minne ya maendeleo katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefikia wastani wa asilimia 78.5, hali inayowasha taa mpya ya matumaini ya uboreshaji zaidi wa huduma kwa wagonjwa.
Meneja Milki, Mazingira na Matengenezo wa MOI Bw. Victor Kamagenge...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya upasuaji wa mivunjiko ya mifupa kutoka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani, Surgical...
Ujenzi wa wodi mpya ya Wagonjwa Mahututi (ICU) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) umefikia asilimia 98, hatua inayotarajiwa kuboresha huduma za kibingwa na kibobezi kwa watoto wenye uhitaji wa uangalizi maalum.
Akizungumza leo januari 15...
Kampuni ya ushonaji nguo ya Mbogwe Nsoga imewafariji wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kuwapatia zawadi ya nguo.
Faraja hiyo imetolewa leo Januari 11, 2026, wakati kampuni hiyo ilipotembelea MOI ikiongozana na Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mtoto Nicholaus Nkinga (9) ambaye changamoto yake ya matibabu ya mguu iliyomgusa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi kupata matibabu ya kibingwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Jijini Dar es Salaam.
Mtoto huyo mwenye...
Watu 507 waliopoteza viungo, vikiwemo mikono na miguu wamefaidika na uwepo wa kambi maalum ya kutoa viungo bandia bure iliyoandaliwa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Taasisi ya Jaipur (India) na Ubalozi wa India nchini.
Mratibu wa Kambi hiyo kutoka Taasisi ya MOI Bi...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kufanya uchunguzi na kuwasilisha ripoti kuhusu mashine iliyoharibiwa kwa uzembe wa baadhi ya watumishi wa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).
Nipo mitaa ya jijini Nairobi nikibarizi habari za hapa na pale na leo nimepata kusikia tetesi za Raisi Ruto kufikiria kumteua bwana Gideon Moi kuwa makamu wa waziri mkuu wa Kenya. Bwana Gideon ni kiongozi wa chama cha KANU na ni mtoto wa aliekuwa raisi wa Kenya Mzee Daniel Arap Moi ambae...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Dellilah Kimambo, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya leo Septemba 11, 2025 katika Taasisi ya MOI.
Wakurugenzi hao...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imejipanga kuendela kutoa huduma bora za matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu huku watumishi wakiaswa kutoa huduma kwa kuzingatia maadili na kanuni za utumishi wa umma ili kufikia azima hiyo.
Hayo yalibainishwa jana...
Kikundi cha T Group waunga mkono jitihada za utoaji wa huduma za afya katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kukabidhi msaada wa mashine 10 za kupimia shinikizo la damu.
Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo, Septemba 6, 2025, ambapo Kiongozi wa Wodi 4B, Bi. Sada...
Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika taasisi hiyo ambapo imewapongeza wafanyakazi kwa kutoa huduma bora wa wagonjwa.
Ziara hiyo ya siku mbili imeanza leo Septemba...
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepatiwa mafunzo ya utekelezaji bora wa bajeti ya maendeleo ya Taasisi hiyo ya mwaka wa fedha 2025/26 ili kuendelea kuboresha huduma kufikia dira ya taifa ya 2050.
Hayo yalibainishwa Agosti 26, 2025 na Meneja Mipango...
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini MOI Dkt. Marina Njelekela ameipongeza menejimenti ya MOI kwa uamuzi wake wa kushiriki na kutoa huduma kwa washiriki wa mkutano wa wenyeviti wa bodi na wakuu wa Taasisi unaofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha.
Dkt. Njelekela ametoa pongezi hizo Leo 25/08/2025...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, amepongeza ushirikiano mzuri wa utoaji huduma za afya kati ya MOI, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya AICC, katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa...
Huduma za Kibingwa na Kibobezi za Uchunguzi (vipimo vya MRI, CT- Scan, X- Ray za Kidijitali na Ultrasound) zinapatikana MOI masaa 24 siku 7 za wiki, karibu tukuhudumie.
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane 2025' jijini Dodoma kwa kutoa huduma kwa wananchi 1,981.
Huduma zilizotolewa na MOI zilihusisha uchunguzi wa awali (Screening), ushauri wa kitaalamu kuhusu matatizo ya mifupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.