Ushauri kwa waziri wa afya ,wakati waziri wa ujenzi anapambana kuondoa foleni kwenye majiji na miji basi waziri wa afya atuondolee foleni hospital za kitaifa MUHIMBILI na Benjamin Mkapa hospital.
Serikali imekua na mipango mbalimbali kuhakikisha inainua uchumi kwa kuondoa foleni kwenye miji...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amesema hatavumilia tabia ya baadhi ya madaktari wa hospitali za Serikali kuwaelekeza wagonjwa kununua dawa kwenye maduka binafsi.
Amesema akimtaja daktari mmoja wa Hospitali ya Temeke anayemiliki duka la dawa jirani na hospitali hiyo na kumuagiza alifunge...
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) ametangaza rasmi kuanza kutumika kwa Kitita cha Huduma Muhimu cha Bima ya Afya kwa Wote kwa awamu ya kwanza.
Amesema kuwa kitita hicho kitaanza kutumika Januari 26, 2026 kwa kundi litakalogharamiwa na Serikali. Haya ameyasema leo wakati akizungumza...
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, hali yake ilikuwa mbaya sana alipowasili hospitalini hapo na baadaye alifariki dunia.
Akizungumza...
Serikali imesema hakuna mwananchi yeyote atakayeenda kwenye Kituo chochote cha kutolea huduma za afya au Hospitali, akakosa kupatiwa matibabu eti kwa sababu hana fedha.
Akizungumza kwenye kikao kazi cha watumishi wa sekta ya afya Mkoa wa Dar es Salaam leo, Jumatatu Desemba 08.2025, Waziri wa...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameagiza Idara ya Huduma za Dawa, Ofisi ya Mfamasia Mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuandaa wito wa kuonesha nia kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba ndani ya siku 21.
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewataka watendaji wa Wizara ya Afya kufanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu na kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuleta tija na ufanisi kwa wananchi. Hii ni mara baada ya kuapisha jana Novemba 18, 2025
Mchengerwa ametoa wito huo alipokutana na...
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mbwara iliyopo katika Jimbo hilo lililopo Mkoa wa Pwani, ameeleza kuwa kutokana na Maendeleo...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Juni 30, 2025 amejitokeza kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchaguliwa kuwa mgombea ubunge la Rufiji katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
Mhe. Mchengerwa amefika kwenye ofisi ya...
Viongozi wengi wa kuchaguliwa haswa wabunge na madiwani wamekuwa ni wepesi wa kuahidi vitu visivyotekelezeka, huku ikiacha maswali mengi nini kinasababisha hawa ndugu kushindwa kuwaletea wananchi mambo mazuri.
Lakini hebu kwenye Uzi huu nimzungumzie Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani alisimama Bungeni na kumchana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa akidai kuwa katika Uchaguzi wa Serika Kali za Mitaa yalifanyika mambo ya hovyo kuanzia mchakato wa kuwaengua Wagombea na yote yaliyotokea bado yameacha maumivu kwa Wananchi.
"Mheshimiwa...
Bila kuwa mkewe wa mama, nani angemjua Mohamed Mchengerwa? Angeupata wapi uwaziri? Angetoa wapi jeuri ya kuwafokea akina Albert Chalamila wakaufyata kama watoto wadogo pamoja na kusifika kwao kwa kupayuka? Ukwe wa wanene unalipa wanangu.
Kwa wale mabarubaru ambao hawana kazi, oeni watoto wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Video: Habari Digital
1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano DRCHco wa halmashauri hiyo ana DIPLOMA, ili hali wapo NURSES wana Bachelor Degree na masters lakini...
Waziri wa Nchi, OFISI YA RAIS TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza kasi ya ujenzi wa Daraja la Mbambe lenye urefu wa mita 81 ili likamilike kwa wakati na kuondoa adha inayowakabili wananchi wa Wilaya ya Rufiji.
Mhe. Mchengerwa akitoa...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ahudhuria Dua Maalum ya Hitima ya Marehemu Mzee Omary Rashidi Mchengerwa
ZANZIBAR – Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, ameungana na Wazanzibari wengine katika Dua maalum ya hitima kwa ajili ya Alhaji Marehemu Mzee Omary Rashidi...
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa.
Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.