mnyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Chalamila: Mnyonge anafurahia vitu vya ovyo ovyo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo. Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku...
  2. S

    Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  3. Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

    PONGEZI 12 KWA MHE. RAIS SAMIA Na Amon Nguma . Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE . Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. Najiskia kuwa mnyonge, na moyo wangu umebondeka sana. Eehh Mungu nitie nguvu

    Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu. Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi. Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii. Yes...
  5. Utunzi: Sauti ya mnyonge

    Pesa si matumaini yao Ni msukuma mkokoteni Tena na jua kali kichwani Pato lake sio ahueni Pesa si matumaini yao Ajabu mwajiriwa tajiri Na mwajiri wake ni fakiri Analipa, kipato swaghiri Pesa si matumaini yao Nao wakulima mashambani Na wakulima wabaharini Uhai wao uhatarini Pesa si matumaini...
  6. A

    Sauti ya mnyonge

    Nani aisikie sauti ya mnyonge? Sauti ya vijana maskini walio vyuo vya kati na vyuo vikuu. Vijana hawa wenye msongo wa mawazo juu ya kipi kitatokea baada ya masomo yao katika fani mbalimbali. Vijana hawa maskini, waliobeba matumaini ya familia zao bado hawana uhakika wa maisha baada ya elimu...
  7. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

    Wakuu Salam, Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani. Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded. Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya...
  8. M

    Rivers United washangilia: Mnyonge wao amejikuta katumbukia kwenye 18 yao!!

    Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
  9. Shule zetu (Kayumba vs Wakishua (private schools)

    Mtoto wa maskini anasomea daftar gharama zaidi ya elfu mbili |2000 na mtoto wa tajiri shilling mia mbili. Maskini ataendelea kuwa maskini Na tajiri kuwa tajiri kwa sababu ya hali ya nchini. Elimu bure iko wapi au fumbo mfumbie mjinga! bora ingebaki ada ya shule mara kila siku mwanafunzi...
  10. Hapa mnyonge tutamnyonga na haki yake hatutampa ng'o

    Nilikuwa nikijiuliza hivi inawezekana vipi serikali iongozwe gizani na kwa wakati huohuo tunaambiwa eti unapambana na ufisadi. Unawezaje kupambana na ujambazi au ufisadi gizani. Ndo mana hata kwa nyumba tu taa zinawashwa usiku kwa nje ili jambazi au mhuni akina au akikatiza uweze kumuona na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…