Habari za sasa wana JF MMU.
Nikiri kuwa ukifatilia stori za hapa na pale zinazopostiwa humu JFs utagundua kuwa wanaume wa humu wengi wamejaaliwa, wananemeka, wanabahati, wana mazali ya kufa mtu. Kwanza wanaume wa humu wana sifa zifuatazo
1. Wote ni mahandsome
2. Wote wana pesa, magari, majumba...