mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ameangukia pua baada ya mahakama kutupilia mbali rufaa yake. Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu. USSR --- Mahakama ya Rufani imetupilia...
  2. JamiiForums Tanzania Online TVs zote uchaguzi TLS, Mtangazaji ni Mmoja , nini maana yake?

    Kwanza itakua ni wendawazimu mkubwa Kwa WATU tunaowaita Mawakili kua Wala Rushwa na Kupokea Rushwa ili mradi kura wampigie mtu anayetakiwa na Serikali. Pili, Ni Ujinga wa kiwango Cha juu sana ikiwa Serikali itahitaji Kuiongoza TLS. Tatu, Hili la Online TVs zote kua na Mtangazaji Mmoja, ni...
  3. JamiiForums Tanzania Mmiliki mmoja wa Bus amenipigia simu huku akicheka sana, nimemuuliza sababu za yeye kucheka hajajibu ameamua kukata simu

    Huyu Jamaa wiki iliyopita nilikuwa naye pale Dodoma,ajabu ni kwamba kuna mambo alikuwa akiniambia nikawa nashangaa tu! Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!  Jamaa kaniambia tuupe Muda - Muda KAOLE SANAA GROUP
  4. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kuwa na mke mmoja

    Hakika fahari ya mwanaume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ambao wana mpenda yeye na kumuheshimu.Ile feeling ni kubwa na nzuri sanaa kiasi kuwa wanao ipata ni wachache sana kwenye hii Dunia. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ambao mnapendana wote bila shida kuna mfanya mwanaume kuwa mpambanaji...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Israel amepiga ndege Wawili kwa Jiwe mmoja

    Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati . Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu . Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.” Amesema hayo katika mkutano na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wakati RC Chongolo anatambulisha Mawaziri leo Songwe ni Mmoja tu Mchengerwa alitajwa nae kwa Furaha, ila Wengine waliishia Kutajwa tu na RC?

    Siku hizi napenda sana kutoa Maelekezo ili wale Matomaso ( Wasioamini ) Kwanza wakajiridhishe ndipo waje tena hapa. Naomba kila Mtu atafute Clip ya leo Rais alilpokuwa Mkoani Songwe pale ambapo RC Chongolo alipokuwa akitambulisha Mawaziri kisha akitizame kwa umakini sana hiki nilichokiulizia...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mmoja alipe kodi anayostahili kulipa

    https://www.youtube.com/watch?v=FnzBLvOFB6w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 18 Julai, 2024.
  9. JamiiForums Tanzania Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

    Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu ni mmoja tu; hebu fikiria Watanzania 10 wangefanya hivi ni wawekezaji au wafanyabishara wangapi tungewavuta kuja hapa nchini?

    Habari zenu wanajamii forum. Huku niliko, mimi ni mzima wa afya, na natumaini huko mlipo ni wazima pia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Leo, katika pita pita mtandaoni, nikakutana na post ya bwana James ambayo kwa namna moja imenivutia sana na kunifanya nije hapa kuianzishia uzi, pengine tukapata...
  11. JamiiForums Tanzania Heko Waziri Nchemba kwa Kuitembelea Shule yako ya Ilboru ila mbona Walimu wa Masomo mengine hukuwatembelea na umemtembelea Mmoja uliyefaulu Somo lake?

    Sawa Somo la Jiografia tokea Form One hadi Four ulipata A na pia kuna Mwalimu wako mwingine Blanca Shao nae alisema kuna Somo lake ulipata A. Hongera kwa Ufaulu huo ila GENTAMYCINE ( Mtani wako kutoka Mkoani Mara kwa Wazanaki ) nakuuliza Mtani wangu Wewe Mshamba kutoka Mkoani Singida kwa Watani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ugenini jitahidi kati ya rafiki zako basi awepo mbea mmoja na mropokaji mmoja watakusaidia kijasusi

    UGENINI JITAHIDI KATI YA RAFIKI ZAKO BASI AWEPO MBEA MMOJA NA MROPOKAJI MMOJA WATAKUSAIDIA KIJASUSI. Yawezekana ukaona ni kinyume kwa sababu wengi husema hao marafiki hawafai ila kijasusi wanafaa sana muhimu tu uishi nao kwa akili kubwa sana yaani utumie madhaifu yao kukunufaisha wewe . Iwe...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tuliwahi kumsajili beki mmoja akiitwa Mohamed Ouattara lakini tukaishia kumtukana, tusubiri uwanjani ndio tuwasifie

    Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan. Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki. Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia. Outtara alikuwa na mwili jumba...
  14. JamiiForums Tanzania HAMAS sasa wanapigana mmoja mmoja, hakuna kundi au kamandi, wamesambaratika, kipigo kiko pale pale

    IDF sasa inapiga hawa magaidi wa uislamu waliojichokea ambapo wamesambaratika mmoja mmoja, hawapo makundi tena, hamna kamandi. Kila mmoja anapigana kivyake.............. Lieutenant Oriel Mashiach, commander of the Sabar Battalion in the Givati Brigade, provided some insight to Maariv on Sunday...
  15. JamiiForums Tanzania Imagine ukoo mzima sina ndugu hata mmoja Dar! Ni huzuni ilioje

    Jamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana. Yamenikuta mara 1000 haya majanga Kuna biashara naifanya na ninapata wateja wengi wa Dar lakini nashindwa kufanikisha kwasababu sina ndugu wa kumuagiza kunichukulia mizigo yangu na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mshale Mmoja kwa Ndege Watatu

    1. Kukuza thamani ya pesa ya Tanzania 2. Kubadisha mfumo wa elimu ya Tanzania 3. Kulipa madeni yote ambayo Tanzania inadaiwa Kivipi haya yote yatawezekana serikali ya Tanzania inatakiwa kujenga Shule maalumu ambazo zitatumia mifumo mipya tofauti na Ile ya zamani ambayo mtoto ili amalize masomo...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Sera ya Uchumi Endelevu kwa Mwananchi Mmoja Mmoja kama Nguzo ya Taifa Bora

    Njia za Kutekeleza Sera ya Uchumi Endelevu kwa Mwananchi Mmoja Mmoja kama Nguzo ya Taifa Bora kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania Uchumi endelevu ni dhana inayolenga kuleta maendeleo ya kiuchumi ambayo yanakidhi mahitaji ya sasa bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao. Katika...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  19. JamiiForums Tanzania Tonombe Mukoko akisajiliwa Simba SC kwa mwaka Mmoja tu nitafurahi na atatusaidia kwani anacheza ile Midfield yangu enzi hizo ya Kazi Kazi daima

    Kama tulithubutu Kumsajili Babu Ntibazokiza mwenye Miaka 51 sasa kwanini tushindwe kwa Mukoko mwenye 19 sasa?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata rice cooker yenyewe uwezo wa kupika angalau kilo 4 Kwa wakati Mmoja?

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…