mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa Maziwa Mmoja anaweza kukupa TZS 600,000 - 900,000 Kwa Mwezi, ila hizi Ndizo Changamoto Unazopaswa Kuzijua!

    Katika Uzi ulioisha tulielezea jinsi ambavyo Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ulivyo moja ya fursa zenye faida kubwa endapo utaufanya kwa mbinu sahihi. Moja kati ya swali kuu nililopata watu walitamani sana kufahamu changamoto ambazo unaweza kukutana nazo. Lakini kama ilivyo kwenye sekta yoyote ya...
  2. JamiiForums Tanzania Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  3. JamiiForums Tanzania 𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐚𝐩𝐩 𝐥𝐚 𝐌𝐨𝐬𝐡𝐢 𝐲𝐞𝐭𝐮: Kuna Mjinga mmoja atishia kuwafuta wanachama wenzake kwa ujinga wake kwenye group!

    𝐊𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐌𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐜𝐡𝐢 𝐃𝐢𝐠𝐢𝐭𝐚𝐥 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐳𝐢𝐬𝐢𝐳𝐨 𝐳𝐢𝐧𝐠𝐚𝐭𝐢𝐚 𝐤𝐚𝐧𝐮𝐧𝐢 𝐳𝐚 𝐮𝐚𝐧𝐝𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐡𝐨𝐣𝐢 𝐩𝐚𝐧𝐝𝐞 𝐳𝐨𝐭𝐞 𝐳𝐢𝐧𝐚𝐳𝐨𝐡𝐮𝐬𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢, 𝐀𝐧𝐚𝐩𝐞𝐰𝐚 𝐚𝐝𝐡𝐚𝐛𝐮 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐮𝐩𝐨𝐬𝐭 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐲𝐨𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐠𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐥𝐚 𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐚𝐩𝐩 𝐥𝐚 𝐌𝐨𝐬𝐡𝐢 𝐲𝐞𝐭𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐤𝐮 90 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐥𝐞𝐨 27/3/2025 - 26/6/2025, 𝐡𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐲𝐞𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐚𝐭𝐚𝐤𝐚𝐲𝐞 𝐭𝐮𝐦𝐚...
  4. JamiiForums Tanzania Kutana na jamaa mmoja aliyetembea kilomita 7,000 ili kukubaliwa kimapenzi

    Kuna jamaa mmoja anaitwa Yahushi Takahashi Aliweza kutumia zaidi ya Miezi Sita kuizunguka Japan akisafiri umbali wa kilomita 7,163.7 kwa mguu, kwa gari, kwa kutumia boat, treni na na baiskeli yote hayo ili kuweza kukubaliwa pendekezo lake la ndoa. Alikua anatumia kifaa cha GPS kuweza...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe

    Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe. Kulingana na taarifa ni kwamba mama huyo alifua boxer za mmewe na kuzianika ila baadae alipoenda kuziondoa alimpata Jirani yake ameanika chupi zake karibu na boxer hizo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  7. S

    JamiiForums Tanzania BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics. Jibu la BOT...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

    Tuseme tu Kwa uwazi Tusifiche Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya push up 200 kwa siku ndani ya mwezi mmoja

  11. JamiiForums Tanzania Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

    Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa? Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi? Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??
  12. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais umewezaje kuruhusu toleo jipya la noti ya TSh. 10,000/= ili mtu mmoja atimize ndoto yake!

    Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Je Mungu wa wakristo, Budha, waafrika, Waislamu na wahindu ni yule yule mmoja?

    Nimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe. Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana? Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao...
  14. JamiiForums Tanzania Kazi na Utu: hii slogan itawaondoa watu waliotumiwa kudhalilisha utu kazini

    Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho. Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
  15. JamiiForums Tanzania Dwight York:- Msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku

    Dwight Yorke amefichua kwamba wakati wa msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku: "Katika miaka yangu ya baadaye Man United, wanawake walikuwa wakinijia kila mara. Nina watoto huko nje ambao sijakutana nao, na nina uhakika mmoja wao yuko kwenye Ligi ya Premia hivi sasa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimetoa elfu hamsini hapa kijiweni kwa mtu mmoja aniandikie neno kwaya kwa kuzungu sijapata mtu aliyepatia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata Mchana mwema
  17. JamiiForums Tanzania TASHICO: MV. Victoria itaendelea kusimamisha huduma kwa muda wa mwezi mmoja kwajili ya kufanya 'service'

    Wananchi wanaoishi kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza na Kagera ambao hutegemea kusafiri kwa kutumia meli ya MV. Victoria wameombwa kutumia usafiri mbadala wakati huu ambapo meli hiyo imeanza matengenezo yatakayochukua mwezi mmoja. Ikitoa taarifa hiyo, Shirika la Meli nchini TASHICO...
  18. JamiiForums Tanzania Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa Wengine wapo chuo, dropout Nimewashuhudia wakiwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

    BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi. Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nilikutana na Mdada anayekula vichwa 10 kwa usiku mmoja, alisema nyama kwa nyama inauma sana.

    Si vibaya tukawa tunashare stori za hapa na pale. Zinatuwezesha kujifunza lakini pia kutupa Burudani. Mwezi uliopita nikiwa katika Mishe mishe zangu nza kusaka Maisha nikiwa nimebeba mafaili ya No Reform, Poor Election. Basi nikakutana na Dada Mzuri tu alikuwa kavaa Baibui, Mweupe Kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…