mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Cheyo alipokuwa anamuomba Magufuli Mbunge mmoja alikuwa anamaanisha nini?

    Siasa za Tanzania ngumu kuzielewa. Mzee Cheyo Eti Anamuomba Magufuli Mbunge mmoja wa jimbo atakayesaidia kutetea wakulima wa kahawa. 😋
  2. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  3. JamiiForums Tanzania Mechi ijayo na Stellebosch Simba iweke mabeki tisa na mshambuliaji mmoja

    Huu ni ushauri tu,ukitoa kipa na namba 9 wengine wote wawe mabeki au viungo wakabaji hii ndio njia rahisi ya kutinga fainali
  4. JamiiForums Tanzania CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  6. JamiiForums Tanzania Wachina sasa ni kila sehemu inafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja

    Yees, baada ya wabongo wenzetu kuingiza tamaa na kutunyoosha kwa bidhaa kutokea china wakiuza na kupata faida zaidi ya mara 4, na endapo ukijichanganya kwa hawa madogo wanaojiita winga wa kariakoo utanunua kwa bei mara 10 zaidi. Mfano blender ya 3000 watakuuzia 120,000/=... Ukijichanganya...
  7. JamiiForums Tanzania Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  8. JamiiForums Tanzania Katika kipindi hiki cha Pasaka jamaa mmoja ameenda na kondoo Hekaluni huko Israel

    Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu. Eneo hilo lilikabidhiwa waislam...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje? Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mtu mmoja mwenye tamaa za tumbo anapoamua kuzuia haki za walio wengi kushiriki haki ya kuchagua!

    Dikteta ucharwa msimamo wake wa kutaka kuzuia uchaguzi unapelekea kuwanyima haki au kuzia haki ya wapenda haki katika kushiriki katika zoezi zima la uchaguzi dikteta uchwara..ameweka msimamo huo kwa kuwatisha wasaidizi wake wote hata mteule wake katibu mkuu mnyika ametishwa jana asishiriki kikao...
  11. JamiiForums Tanzania Pacome 10 Mpanzu mmoja

    Kama unabisha letw hoja yenye akili
  12. JamiiForums Tanzania John Mrema ni gwiji la siasa, John Mrema mmoja ni sawa na kujumlisha Lissu na Heche kwa pamoja, halafu hawafiki hata nusu

    Nimemsikiliza John Mrema, hii kichwa ni mali sana, ana uwezo mkubwa. One vs one Lissu na Mrema, Lissu anapigwa knock out dakika ya pili. Na atakimbilia kwenye kashfa na matusi Mrema ni genius political mind
  13. H

    JamiiForums Tanzania "BOB MARLEY" mmoja wa manabii/mitume weusi wa Afrika

    Bob Marley, while having mixed ancestry with a white father and a black mother, self-identified as a black African and embraced Pan-Africanist ideals throughout his life.
  14. JamiiForums Tanzania Huwa tunawacheka nyumbu wengi wakiteswa na simba mmoja. Leo nchi zote duniani zinateswa na US.

    Binadamu ni wanyama tu kama wanyama wengine. Tuache kuwacheka nyumbu wengi wakifurumushwa na simba mmoja. Historia fupi hadi tumefika hapa: US ameanza kuisumbua dunia mara tu baada ya vita kuu ya pili ya dunia. US ndiye aliibuka walau yupo salama, viwanda vyake vikifanya kazi na mashamba yake...
  15. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

    Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais Nitafuta Kamali Simba Yanga Ccm. Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja . Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
  16. JamiiForums Tanzania Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

    Huwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure . Ukila mchana usiku usile
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wakristo na Wayahudi wanashindwa kukariri angalau ukurasa mmoja wa vitabu vyao?

    Kila mwaka huwa tunashudia mamia ya watoto wanaoshindana kwa kuhifadhi kitabu kitakatifu cha Quran.Hufanyika ngazi ya misikiti mpaka kimataifa kwenye viwanja vikubwa vya kitaifa, Wako kama mimi wanaoweza kukariri juzuu moja yenye sura 36 fupi fupi.Wako juzuu 2,,3..4 mpaka 30.Tena ukariri huo...
  18. JamiiForums Tanzania Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Siku makanisa yakijaa waumini matajiri na kuongozwa na nabii mmoja aliye masikini basi yesu atakuwa alikuwepo kweli!!

    Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi. Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
  20. JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa Maziwa Mmoja anaweza kukupa TZS 600,000 - 900,000 Kwa Mwezi, ila hizi Ndizo Changamoto Unazopaswa Kuzijua!

    Katika Uzi ulioisha tulielezea jinsi ambavyo Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ulivyo moja ya fursa zenye faida kubwa endapo utaufanya kwa mbinu sahihi. Moja kati ya swali kuu nililopata watu walitamani sana kufahamu changamoto ambazo unaweza kukutana nazo. Lakini kama ilivyo kwenye sekta yoyote ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…