mlio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Covid 19 na wanachadema wengine mlio gombea CCM ubunge, kwa sababu ya tamaaa zenu! Mkienguliwa huko, msililie Maana mmekataa NRNE

    Watanzania wote hatutawasikiliza mkipigwa chini huko ccm kwenye kura za maoni. Mmekataa masilai ya taifa , mmetanguliza matumbo yenu, Ivi mhajifunzi kwa yule makamu wa zanzibar mwaka 2014 akisimama upande wa haki, mfumo wakamtimbua kama mwasheria wa serikali, karma ikamkumbuka leo hii ni makamu...
  2. JamiiForums Tanzania Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito

    Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito.
  3. JamiiForums Tanzania Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya

    Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya. Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania, rekebisha tabia ya kuandika vitabu kukiri "unyama" mlio watendea wananchi mnapotoka madarakani . Tenda haki muwapo madarakani.

    1. Nyerere alikiri kuwa kosa kubwa alilolifanya ni kumnyonga Mwamwindi 2. Mwinyi................................................ 3. Mkapa akijutia mauaji ya Zanzibar 4. Kikwete.................................................................... 5...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mlio endesha Toyota fortuner msaada..

    Habari za jioni wana magari,, naombeni mnipe experience kwa wale walio wahi kuendesha Toyota fortuner,, stability yake ikoje ikiwa kwenye speed 100 na kuendelea,,
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mlio oa / kuolewa badilisha lifestyle ya kuishi na marafiki

    Kwa mlio oa / kuolewa , weka mipaka ya marafiki kuizoea nyumba yako , inatosha kukutana viwanja na marafiki sio kuweka vijiwe vya soga nyumbani kwako . Kuna aina ya lifestyle unatakiwa kuibadilisha ukishaingia kwenye maisha ya ndoa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mlio kwenye mahusiano mliingiaje?

    Ndugu zangu wana JamiiForums, naombeni muongozo wenu. Nitumie njia gani maana naona kwenye hatua za awali tu kumu approach anakuomba hela, sasa kwangu hii huni disappoint sana na hii si mara ya kwanza. Naombeni ushauri wenu, umri 23. Kwa mfano huyu sina mpango wa kumtafuta tena wakati namba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wapambanaji mlio mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii.

    Naomba tusikate tamaa, kwa hali ilivyo sasa, inaonekana wamepanga kumsimika madarakani si kwa kuchaguliwa bali kwa nguvu, yaani iwe kwa kuumiza watu au kwa namna yoyote ile. Kwa hali hii, nadhani sasa kuna haja ya kupanga mikakati na njia mpya kabisa za kutafuta HAKI katika Taifa hili. Kama...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake Mlio Ndoani, Msibweteke, Single Ladies Tunawapa Salamu

    Dear Ladies mlio kwenye ndoa zenu, nawasalimu Sio kila mwanamke utakayemuona single huko mtaani kwenu basi unamchukulia poa kwa kumuona kama kakosa bahati kwa kuwa hajaolewa kama wewe. Wapo wanawake wengi wamekimbia miji yao na kuacha majumba na magari ya kifahari ili tu waweze kunusuru roho...
  10. JamiiForums Tanzania Je, huu ni mlio sahihi kwenye engine?

    Mamb vp wakuu Gari yangu inamlio Kama siuelewi hivi nahisi Kama engine Haitoi mlio sahihi Kama nilivyoambatanisha kwenye video hapo
  11. G

    JamiiForums Tanzania Bila connections au mafungu ya asante utazungushwa kulipwa kwenye kesi uliyoshinda mahakamani ?

    Huwa nasikia watu wanashinda kesi za kulipwa fidia, Baada ya hapo huwa kuna mchakato wa Malipo. Kwenye mchakato wa kulipwa unaweza kufanikiwa kulipwa bila connections ama mafungu ya asante ? Tetesi nilizopata zimenisikitisha, kwamba inabidi utoe asilimia kadhaa 😣😓😔 ili faili lako likimbizwe...
  12. JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya mapenzi kwenye usafiri (Safarini) njooni mtupe ushuhuda hapa

    Wakuu kama mjuavyo kuwa Dunia ina mambo baadhi ya mambo yenyewe ndo kama haya,. Kuna mambo ambayo wewe unaweza kuyaona hayawezekani kumbe kwa wenzio ni kawaida kabisa. Mfano mimi hapa huwa naona haiwezekani kufanya mapenzi wakati chombo cha usafiri chochote kikiwa kinaendelea na safari...
  13. JamiiForums Tanzania Je umewai kusikia Sauti (Mlio) wa Twiga?

    Wengi wetu hatuna ufahamu kuhusu kama Twiga anatoa Sauti au lah na hii ni kutokana na kuwa Twiga ni mnyama anayejulikana kwa kuwa kimya sana, lakini anaweza kutoa sauti chache zisizojulikana sana kwa wengi. Kwa ujumla, twiga huwasiliana kwa kutumia sauti za chini sana (infrasound) ambazo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Iman Luvanga mwambieni nampenda

    Ndugu zangu mficha mauti kifo humuumbua wakuu kuna mtangazaji wa crown media anaitwa Iman Luvanga wakuu nampenda na kumpenda zaidi 🥰🥰🥰🥰 mfikishieni mlio karibu nae aiseee
  15. JamiiForums Tanzania Mlio (Ringtone) ya simu yangu-jamming ya Bob Malrey. Je, wewe unapandelea ringtone gani?

    Sijawahi badilisha hio ni kama id yangu huku porini kama member utanitambua kwa hivo. Je wewe unapandelea ringtone gani au mlio gani kwenye simu yako? I love weeds!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…