Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza...
Wadau wa utalii nchini Tanzania wamepinga tena mpango wa kuweka gari la kamba (cable car) kwenye Mlima Kilimanjaro.
Wanaonya kuwa mradi huo utaharibu ajira, utapunguza mapato ya serikali, na utadhuru mazingira ya mlima.
Hali hii imekuja siku moja baada ya Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na...
Ndugu zangu Watanzania,
John Heche Ni Muongo sana Anapokuwa Jukwaani, anakuwa anatoa sauti kubwa huku akiongea takwimu za uongo uongo na Uzushi uzushi tu akifikiria anaongea na kuzungumza na Mbumbumbu kama pengine anavyowachukulia CHADEMA na wafuasi wake wasio na uwezo wa kufikiri . Utakuta...
Helikopta ya kampuni ya uokoaji Kilimediair Aviation imepata ajali katika Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na kusababisha vifo vya watu watano, wakiwemo raia wa kigeni wawili, rubani na daktari.
Ajali hiyo imetokea Jumatano ya Desemba 24 , katika eneo lililopo kati ya kilele cha Kibo na Barafu...
Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10.
Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
Ruka hadi yaliyomo
Potsdam baada ya ukoloni
"Upuuzi" katika masomo ya historia
Mnyaka Sururu Mboro jinsi Mjerumani "aligundua" mlima Kilimanjaro
https://m.youtube.com/watch?v=RctLtVYpIyc
Mnyaka Sururu Mboro alizaliwa mwaka 1951 na anaishi Berlin. Yeye ni mwanaharakati wa Tanzania...
Zingatia hizo sera za Mgombea Ubunge kutoka Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kisha zingatia Mavazi aliyovaa ni ya Makamanda wa CHADEMA
Jamaa kahama chama lakini bado itakadi za CHADEMA anatembea nazo hadi kwenye kampeni za CHAUMMA hii ni dharau tosha kwa CHAUMMA
Baasi tuendelee kuzingatia...
Amani ya Bwana ikawe juu yenu wana jf kila mmoja kwa imani yake .
Nimekua kwenye maombi mazito sana juu ya taifa langu ,kuamukia leo Mungu wangu kanipa codes flani hivi ambapo itanibidi mimi mwenyewe kufika juu na kileleni mwa mlima Kilimanjaro.
Naomba kujuzwa taratibu zote za kufuata ili...
Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali inayokiuka haki zao za msingi kazini.
Kwa mujibu wa Employment and Labour Relations Act, 2004, Kifungu...
We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general.
We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) — a powerful collective voice for porters, guides, and cooks on Mt. Kilimanjaro.
We stand for dignity, justice, fair contracts, and safe working...
Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro.
Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
Ni wakati muafaka kwa admins wa JamiiForums na distributors wake kuangalia mbele kwa jicho la kimaono (visionary approach) na kukubali kuwekeza – kifedha na kiuwezo – katika mradi wa kipekee na wa kihistoria: kuipandisha JamiiForums hadi kwenye kilele cha Uhuru Peak, Mlima Kilimanjaro.
Kwanini...
Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake wa kimazingira, kihistoria na kiuchumi, sekta ya utalii wa mlima huu inaendelea kukumbwa na...
Je, umewahi kujiuliza hisia halisi za kusimama juu ya Afrika? Sasa ni muda wako!
Tunakupeleka katika safari ya kipekee ya kupanda Mlima Kilimanjaro – "The Roof of Africa" – kwa mpangilio ulio professional, safe and unforgettable.
✅ Muongozo wa kitaalamu (Certified Mountain Guides)
✅ Mafunzo ya...
Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu zaidi barani Afrika na unajulikana kwa utofauti mkubwa wa mimea na viumbe hai. Kuna maeneo tofauti ya uoto wa asili yanayopatikana katika mlima huu, ambayo yanaweza kugawanywa katika maeneo saba (zones):
1. Lower Forest Zone: Hapa ndipo panapokuwepo na miti ya...
Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita.
Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa...
Mlima Kilimanjaro, ambao ni mlima mrefu zaidi barani Afrika, una historia yenye mvuto na thamani kubwa. Katika muktadha wa utafiti wa muda mrefu, Kilimanjaro inajulikana kama "Kilimanjaro" kutoka kwa neno la Kiswahili linalomaanisha "mlima wa wingu". History ya Kilimanjaro inategemea mazingira...
Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini!
Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025
Kwa maelezo zaidi nicheki...
Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...