mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold anaachia nafasi yake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold amejiuzulu nafasi hiyo na kuhitimisha miaka 16 ya Utumishi wake klabuni hapo. Arnold alichukua nafasi hiyo kutoka Ed Woodward mnamo Februari 2022. Kuondoka kwa Arnold kunaashiria ujio wa Mmiliki mwenza mpya wa Mashetani hao Wekundu, Sir...
  2. S

    Majukumu ya katibu mkuu utumishi

    Habarini, Hivi ni yapi majukumu ya katibu mkuu utumishi nijuzeni au Kama Kuna PDF ya majukumu hayo nipeni link
  3. Mkuu wa Wilaya awataka Maafisa Ugani na Watendaji wa Vijiji watoke ofisini waende wakatoe elimu ya Kilimo Bora

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora. Mkuu wa Wilaya hiyo, Onesmo Buswelu ameyasema hayo wakati Kikao cha Maendeleo cha Wilaya kilichohusisha Watumishi wa...
  4. Hongera kwa Naibu Waziri Mkuu: Upatikanaji wa Umeme na Mafuta vimeimarika sana

    Hakika naona utendaji kazi mzuri sana. Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka. 1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende. 2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
  5. Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

    Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya. Hapa mama Samia alilamba dume ka karata. Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion. Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa. Katibu Mkuu changamka! ==== Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
  6. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza apewa wiki tatu na Mwenezi Makonda kuhakikisha Hospitali ya Sengerema Inafunguliwa

    📌📌 MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ametoa maagizo matatu ya Chama Chama Mapinduzi mara baada ya kusiliza kero za Wananchi wa Sengerema akiwa njiani kupokelewa katika Jiji la Mwanza ambapo yupo kwa...
  7. Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM

    Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM. Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri. Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo. GAME OVER.
  8. Askofu Mwanakula, Pd. Kitima, na Askofu Bagoza wakutana na waziri mkuu!

    Post Ofisi ya Waziri Mkuu @TZWaziriMkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Maaskofu Emaus Mwamakulwa wa Kanisa la Uamsho la Morovian (Kushoto) Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Benson Bagonza. Kulia ni Padri Dokta Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa...
  9. Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

    Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
  10. M

    Ombi kwa Paul Makonda ukiwa Chato muamrishe mkuu wa Wilaya apige marufuku kamari za kichina. Ziwawafisi na kuwamalizia walimu pesa

    Walimu wanaliwa pesa isee na hizi mashine za kichina hazifai Makonda okoa walimu wa Chato.
  11. Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

    Ukifika shule hii unaweza fikiria ni private kwa jinsi walivyoipangilia! Namna tu walivyopanda maua, usafi na nidhamu kwa ujumla utabaini walimu wapo kitimu zaidi na hawana mgawanyiko! Well done Headmaster,Mr Boaz! Well done Migungani secondary school, the heaven of Bunda!
  12. Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

    Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine. Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii...
  13. Naibu Waziri Sagini amuwakilisha Waziri Mkuu katika Uzinduzi wa Idara ya JMAT

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika Halfa ya Uzinduzi wa Idara Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) iliyofanyika Novemba 8, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Karimjee Hall Jijini...
  14. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ajitathmini

    Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu. Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo. Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana...
  15. Muft mkuu wa waislamu tusaidie kudhibiti misikiti mtaani, uhuru umezidi kwenye vipaza sauti

    Tangu saa kumi na dakika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti. Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker...
  16. Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum Toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Tarh 06/11/2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam 6.11.2023.
  17. Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

    Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma ) Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha...
  18. Upepo wa kumcuafua waziri mkuu unapita kwa kasi, lakini baada ya muda hali itatulia na maisha yataendelea.

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kama ilivyo desturi ya watanzania wenzetu ambao 90% ni ya wale waliokimbia shule, hivyo kujikuta wanaangukia katika mikono ya wanasiasa uchwara ambao sasa hivi wanawatumia vijana hao kwa malengo yao (wanasiasa) na familia. Wanasiasa hao wamekuwa wakiwatumia vijana...
  19. Rais Samia Ampa Pole Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Kufiwa na Kaka Yake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na kaka yake Issa Juma Nangalapa aliyefariki alfajiri ya leo Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023
  20. Hakuna Kiongozi Mbovu nchi hii kwa sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia! Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo! Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…