mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado hawajakata tamaa ya ushiriki na kushinda katika uchaguzi mkuu ambao unatarajia kufanyika mwaka huu...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mstari huu ndani ya Biblia wachungaji wa kileo hawaupendi, wanauruka kama haupo kabisa, ingawa ndio msingi mkuu wa Ukristo

    Wachungaji, mitume, manabii, walimu na Wainjilisti ambao ni viongozi wa makanisa ya kileo huu mstari wanauruka kama haeauoni. Huu mstari unawahukumu, maana wanajikusanyia sadaka kisha kufungua maduka makubwa, kusomesha watoto wao nje ya nchi , wananunua range , v8 n.k huku waumini wakiambiwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Leo wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA msifanye kosa la kukirudisha chama kwenye siku za uanaharakati

    Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana. Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
  4. P

    JamiiForums Tanzania WIMBOMPYA: Hili ni Bonge la Wimbo wa Kuwanadi Lissu na Heche kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, sikiliza hiki kipaji TOT wakasome

    https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
  5. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

    Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi wanasiasa wa CHADEMA wakihamia CHAUMMA leo, sheria inawaruhusu kuwa wagombea kupitia CHAUMMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Habari wadau! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia. Kwa kumbukumbu zangu, kuna mdau ambao mwanachama anatakiwa awe mwanachama wa chama husika Kama kigezo cha kuruhusiwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa rafu nilizoziona za Chama cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu itoshe kusema Lissu ni tishio kwa chama kile hivyo hawezi kushinda uchaguzi

    Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
  8. P

    JamiiForums Tanzania PWANI: Hatimaye wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa rasmi Mbowe wasema bila Lissu CHADEMA ni kama CUF ya Lipumba

    https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu. Ukipewa rushwa kula ila kamwe usiuuze chama kwa vipande vya pesa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kipya mkutano mkuu wa CCM Dodoma?

    Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara. Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pamela Maasay ashinda Ukatibu Mkuu BAWACHA, amwaga Catherine Ruge

    Pamela Maasay Pamela Maasay amechaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) akimbwaga Catherine Ruge aliyeshindwa kutetea nafasi hiyo. Pamela ameibuka kidedea kwa kura 37 sawa na asilimia 54 katika kinyanganyiro hicho huku Catherine akipata kura 34 sawa na asilimia 40 na...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM amesema CCM itafanya marekebisho ya Katiba yao.

    Ni marekebisho gani hayo.?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Walichokifanya CCM Mkutano Mkuu ni uchaguzi, Uteuzi au kuthibitisha Uteuzi? Hivi hiki kilichofanyika

    Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ? Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini? Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA

    Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba, mwenyekiti wa chama hicho, yamekuwa pigo kubwa kwa Tundu Lissu na...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuhangaika kuimbia CHADEMA, Ney wa Mitego hajawahi kualikwa katika mkutano mkuu wa CHADEMA

    Fadhila mfadhili mbuzi. Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA. Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chochote
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, "Nchi nzima itasimama leo kufuatilia Mdahalo, uchaguzi mkuu Chadema." Hasubiri mtu kusimuliwa!

    Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu: Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao. Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
  18. Hamduni

    JamiiForums Tanzania MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM 2025

    #TunazimaZoteTunawashaKijani #TunayeTunatambaNae #HilindioChamaKubwa
  19. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

    Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020. Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hii hali mtaani naiona mimi peke yangu au ni kawaida hii??

    Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani. ...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani. wamegeuka mamachinga wanazungusha vyombo (uza) kwenye mitaa kwa kutumia magari (noah) wanauza bia yaani vilevi wanazunguka kwenye mabaa na...
Back
Top Bottom