mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya rais Samia: Mkuu wa nchi akitoa hotuba mjitahidi kusikiliza na kutoa ushauri, sio matusi

    Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri. Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii. Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta. Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu katibu mkuu CHADEMA Zanzibar: Polisi wanavyotufanyia sio kama wanatuvunja moyo, bali wanatutia ujasiri wa kupambana

    "Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwenye Siku ya Kumbukumbu ya Holocaust:

    "Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia. Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia. Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ya kisasa: Haki, teknolojia, na siasa za amani—tunapokwenda kwenye uchaguzi mkuu

    TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
  5. JamiiForums Tanzania Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

    Wanabodi Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5P Paskali
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA kimbiaaaa mkuu wangu.

    Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Fanya yoooote na wanawake wa kichagga wa majina mengine, lakini ukisikia tu MANKA, kimbiaaaa mkuu wangu. I'm done..
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Uchaguzi Mkuu, Viongozi wa Dini Wasiishie Kuionya Tu Serikali, Bali Wawashauri Pia Waumini Kutohatarisha Maisha Yao, Kama Hakuna Reforms.

    Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu unawatosha G55 kuanzisha chama chao kipya kushiriki uchaguzi?

    Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
  9. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Marekani aibiwa pochi nene!

    Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani nchini Marekani, Kristi Noem ameonja adha wa wananchi wa kawaida nchini humo Kaibiwa pochi nene kabisa. Ndani ya pochi mlikuwemo bulungutu la kushiba mtu, $3,000(dola elfu tatu na ushee) Kwa hela hiyo mimi ningeagiza Subaru Forester. Mkuu huyo wa Usalama...
  10. JamiiForums Tanzania Hii nchi aisee!! Yaani Mkuu wa Machinery ya kusimamia uchaguzi ni mama mkwe wa Rais

    Ila Bongo inasikitisha sana kwenye suala la haki. Ndiyo maana ukizungumzia haki inakuwa kama umetangaza duka la bangi. Inajiuliza sisi tupo dunia ya ngapi. Tofauti ya chaguzi za enzi za mkoloni na leo ni majina tu, lakini michakato ni ile ile. PO-RALG ndio inasimamia uchaguzi kupitia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa wilaya Uyui analazimisha watumishi wote kuchangia pesa Tsh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge

    Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu. Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

    Mahubiri ya Mkuu wa KKKT sikukuu ya Pasaka kwa namna yoyote yametaja neno HAKI? Au?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Dua ya kuombea (Wagombea) Uchaguzi Mkuu??

    BAKWATA wameandaa dua ya kuombea unaoitwa Uchaguzi Mkuu. Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)
  14. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Hezbollah Sheikh Naim Qassem agoma wanajeshi wa Hezbollah kupokonywa silaha

    Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem: "Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi. Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.' Kwa lugha...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa maji msilikubali hili.

    Najua mko kwenye maandalizi ya kuitembelea wilaya ya Monduli,lakini kwa haya wanayofanyiwa wakaaji wa eneo la Mto wa Mbu (Kigongoni) si haki wala halal. 1. Watu wenu wanapewa maji kama msaada utadhani wapo jangwani. 2.Campsite nyingi kule ziwani zinatumia maji bila kufungiwa meter na hii ndo...
  16. JamiiForums Tanzania Maaskofu walilia haki na uvumilivu uchaguzi mkuu

  17. JamiiForums Tanzania Biometric Voter system na wizi wa Kura? Imekaaje?

    Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa BAVICHA amshangaa Kamanda wa polisi Dar Jumanne Murilo!

    Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu. Katibu Mkuu huyo amehoji Kamanda...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akagua athari za Mvua Lindi, atoa maelekezo kwa Mameneja wa TANROADS nchini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili kujiridhisha kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara. Majaliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

    Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…