mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, leo Agosti 11, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 Shule ya Polisi Tanzani- Moshi. Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi

    Wakuu tufuatilie hii live inaendelea sasa Mgeni Rasmi akiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango https://www.youtube.com/live/Gt5cxeNI90U?si=IYfVYZ27diQ2bosr Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura: Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Freeman Mbowe akubali kushiriki Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekutana naye akipima Suti

    Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA. Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA. Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam. Baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakilishi wa CHADEMA, Mchome aibukia kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA

    Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Vurugu zaibuka kwenye mkutano wa wajumbe CUF. Lipumba adaiwa kukimbia kwenye mkutano

    Ndani mtiti nje mtiti. Ndivyo tunavyoweza kusema, baada ya ukumbi wa Shabani Mloo wa Chama cha Wananchi (CUF), uliotakiwa kutumiwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi wa chama hicho ili kupitisha ilani na kuteua majina ya wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kugeuka uwanja wa ngumi. Mtiti...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT kulikoni? ACT mmefanya kosa la kimkakati sana

    Wakuu, Sijapenda kabisa kuwaona hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT Wazalendo. Hawa Wachina wako AGAINST DEMOCRACY na ni marafiki wakubwa sana wa chama cha tawala. Hawa wachina ndio ambao wana kile chuo cha Uongozi kule Kibaha kwa ajili ya "kutrain" viongozi wa CCM Mfumo mzima wa demokrasia...
  7. JamiiForums Tanzania Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi wa SADC waanza Madagascar na kikao cha kujadili mpango wa maendeleo

    Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030 (Regional Indicative...
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maryprisca Mahundi apiga goti mbele ya wajumbe wa mkutano UWT akiwashukuru wajumbe na kuomba kura

    Naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amepiga goti mbele ya wajumbe wa mkuato mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Mbeya akiwashukuru kwa kumuamini na kumchagua kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, huku akiomba ridhaa kwa wajumbe hao kumuamini na...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yaunga mkono uhuru wa chakula katika mkutano wa unfss+4 jijini Addis Ababa

    TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kukatishwa ghafla kwa Mkutano wa CCM, Makala aliwekewe majina "feki"

    Habari nilizopata muda huu ni kwamba, Kikao hewa cha Makala kutangaza Majina feki ya wagombea feki kilikatizwa ghafla baada ya kutonywa kuwa :"Mkeka" aliokua anatakiwa KUSOMA ulikua sio wenyewe uliokuwa umeandaliwa.... Aliyeuza cheni feki kapewa pesa feki, Ngoma droo. haya majitu ni majizi proMax
  11. JamiiForums Tanzania Majaliwa ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa ACTIF 2025, Grenada

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Julai 28, 2025 ameshiriki katika ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum - ACTIF 2025) mjini St. George’s, nchini Grenada, Julai 28,2025 ambapo alimwakilisha Rais Dkt. Samia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  13. JamiiForums Tanzania CCM Yaweka Historia Afrika: Mkutano Mkuu wa Taifa Wafanyika Kidijitali kwa Mara ya Kwanza

    Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajumbe wa CCM Wilaya ya Kinondoni washiriki Mkutano Mkuu Maalum, Gwajima hajaonekana

    Wakuu, Aliyekua Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima hajaonekana kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, au ndo kashiriki Mtandaoni?
  15. JamiiForums Tanzania Zungu,ameshawasili kwenye kituo na mkutano unaendelea!

    .. Mh.Zungu (Asiye na mpinzani)akishiriki kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwa njia ya Mtandao kwenye ukumbi wa CCM Wilaya Ilala leo tarehe 26 Julali, 2025.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu maalum wa CCM Kidijitali

    Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye Link ya Mkutano Mkuu wa CCM unaofanyika online Leo tarehe 26.8.2025 Tafadhali!

    Ninaomba atupatie!
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Niwapongeze CCM kufanya Mkutano Mkuu kwa njia ya Mtanda - Historia imeandikwa

    Maendeleo ya teknolojia CCM hatujaachwa nyuma. Kazi na Utu. Tunasonga mbele. Tunatiki tu
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huu mkutano wa kufanyikia mitandaoni ni sababu ya ukata?

    Salaam! Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama. Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa video conferencing ni sababu ya ukata? Sitaki ukiamini hili maana ni majuzi tu wamedai kupokea bilioni...
  20. JamiiForums Tanzania Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

    Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar. Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni ! Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja. Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…