Wakuu
Naomba kuuliza hawa watoto ambao wanaswagwa na CCM kwenye mikutano yao hawana wazazi?
Hii inamaanisha CCM walipeleka mpaka kosta zakusomba lakini wanachama wao wenyewe wakagoma kwenda kwenye hiyo mikutano yao. Ni huzuni
Nimeona baadhi ya comments zikisema kuwa hakuna kubaya kwa watoto...
Wakuu,
Katika mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Siha, mgombea ubunge Katika jimbo hilo kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mdoe Yambazi Azaria, alikua ni miongoni mwa mamia ya wananchi waliojitokeza Katika Mkutano huo huku akimpongeza mgombea urais wa CCM, Dkt. Samia...
Hivi Hawa wanaosombwa namna hii kupelekwa kwenye mikutano ya CCM , akili zao Huwa zinafanya kazi kama akili za sisi binadamu wa kawaida kweli??
Hii nchi bado wajinga na mbumbumbu ni wengi sanaa..kukomboa hili TAIFA ni kazi itakayokamilika miaka 47 ijayo
Habari nilizopata muda huu ni kwamba, Kikao hewa cha Makala kutangaza Majina feki ya wagombea feki kilikatizwa ghafla baada ya kutonywa kuwa :"Mkeka" aliokua anatakiwa KUSOMA ulikua sio wenyewe uliokuwa umeandaliwa....
Aliyeuza cheni feki kapewa pesa feki, Ngoma droo. haya majitu ni majizi proMax
“Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.”
Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
Aliyesimamia mkutano wa CCM leo ni yule mvunjifu wa katiba ya chama cha CCM msitegemee majibu ya hapana kwenye kubadilisha katiba.
Kama unakumbuka vizuri alivunja katiba ya chama kwenye kupitishwa kugombea uraisi, hakuomba radhi wala hakukanusha kuivunja, kwasasa CCM ni kama uchaguzi upo tu kwa...
Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka...
Kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika tarehe 29 na 30 Mei, 2025 ulihudhuriwa na wasanii mbalimbali ambao waliulizwa ajenda zilizojadiliwa kwenye mkutano huo, lakini cha kushangaza hawafahamu kitu chochote majibu yao inazilisha kinawapeleka kuchukua pesa tu!
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, na Mbunge wa Mlalo ambaye pia ni Katibu wa Wabunge wa CCM Bungeni Rashid Shangazi, wamepongeza uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa hatua ya kuahirisha Mkutano Mkuu wao ili kupisha Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.
Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari...
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Hakika CCM ni chama kubwa sana.
Lakini ninawaza tu kuwa:
1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika
2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa tu.
Gharama za wasanii:
1. Usafiri
2. Malazi
3. Chakula
4. Posho
Ninajua hizo...
Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo katika comedy style kuliko kuripoti mambo ya msingi
Vyombo vya habari vinaripoti magari ya CCM...
Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana.
Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu
Si mbaya tukayasahihisha
Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma
ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025
Naamini tutaona tofauti
Thx
Wakuu,
Kwahiyo ili kujustify zuio la mikutano ya CHADEMA mkaona mtufanyie haya maigizo ya kuzuia mkutano wa CCM!:rolleyes::rolleyes:
CCM na Polisi hivi mnafikiri wananchi hawa wa leo ndio wale wale mliozoea kuwaendesha kipuuzi kama ng'ombe miaka nenda rudi? Yaani mnakuja na mbinu za kipuuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.