mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi: Wapigakura wapya 224,355 kuandikishwa Kigoma

    Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Julai, 2024. Uboreshaji huo wa Daftari utatanguliwa na uzinduzi wa zoezi hilo utakaofanyika...
  2. Mkurugenzi badala ya kufanya na kusimamia usafi ambao ni kero mjini, aibukia pengine

    https://youtu.be/tXr0IShfWjk?si=WZ90OgpxtV42FP66 Nimesikiliza ila bado napingana na juhudi zinazo semwa juhudi hizi ni usiasa tu hazina utekelezaji tunataka kuwaambia iwàpo taka mnataka zisitolewe njee mpaka gari ipite mnataka kuficha uzembe wenu wa kubeba taka Ili ziwe majumbani na zisionekane...
  3. K

    DOKEZO Matumizi mabaya ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Kakokonko

    Habari za jioni watanzania wenzagu. Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane. Kwanza ameanza kwa kunitumia ujumbe ulioandikwa na mwananchi wa kawaida nami naomba niuweke hapa wote...
  4. Ili ufanye harusi au sherehe Moshi lazima ulipe Kodi za Manispaa Tsh. 230,000

    Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe. Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo; Tshs. 60,000.00, Kibali...
  5. A

    DOKEZO Mbeya: Wakili aelezea kilichotokea sakata la Mkurugenzi City Casino anayetuhumiwa kumnyanyasa kingono mke wa mtu

    Suala la Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia, Vasil Dosev Dimitrov kudaiwa kuwatishia kuwaua Wanahabari wawili waliokuwa wakifuatilia madai kuwa anatuhumiwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono aliyekuwa mtumishi wake wakike ambaye pia ni mke wa mtu, uchunguzi bado unaendelea...
  6. Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe. Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA. Serikali yetu ifanye yafuatayo: Mkurugenzi abadilishwe. Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
  7. Mkurugenzi wa Makampuni ya Vanilla Matatani kwa utapeli, RC Makonda aagiza awekwe chini ya ulinzi hadi alipe mamilioni aliyotapeli

    Mkurugenzi Mwanzilishi wa Makampuni ya Vanilla International Limited, Simon Mnkondya amejikuta Mikononi mwa Polisi Mara baada ya kutajwa kutapeli wakulima wa Vanila mamilioni ya fedha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paulo Makonda kuagiza akamatwe na alipe madai yao chini ya ulinzi mkali wa polisi...
  8. Balozi yakubu azungumza na Mkurugenzi mtendaji wa shirika la ndege la Precision

    Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Precision Bw. Patrick Mwanri ambapo wamezungumzia namna bora ya kuongeza wigo wa usafiri wa anga baina ya Tanzania na Visiwa vya Comoro. Katika mazungumzo hayo...
  9. Uteuzi: Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Bima ateuliwa kuwa Kamishna wa NCAA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA) Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024 Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa...
  10. Kumbukizi: Mahojiano kati ya aliyekuwa Mkurugenzi wa MCL Tido Mhando na Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya, Muungano

    Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,, Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu? Warioba: Upande wa Zanzibar wapo waliotaka Serikali mbili, Serikali ya mkataba na wengine kutaka Serikali tatu...
  11. Mkurugenzi wa Chunya akataa maombi ya Diwani na Wananchi kuhusu kushusha bei ya kuhifadhi maiti

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Tamimu Kambona amegoma kupunguza gharama za kuhifadhia maiti 'mochwari' katika Vituo vya Afya vilivyopo wilayani humo kutoka Sh. 40,000 kwa siku mpaka Sh 20,000, baada ya maombi kadha kutoka kwa Wananchi ambao wamekuwa wakidai kiwango...
  12. R

    Mkurugenzi wa Habari Ndugu Mobhare Matinyi amka uongeze speed ofisi yako imepoa sana kuelekea uchaguzi

    Mobhare Matinyi nipo hapa kukumbusha majukumu yako ila siyo kushurutisha ukafanye kwa mbinu gani. Napenda kukumbusha kwamba wananchi wanasema ofisi yako haina mchakamchaka wa ubunifu kuelekea uchaguzi. Ofisi imekaa kimya kama wizara ya mambo ya Nje. Hapana changamsha nchi kwa makala na habari...
  13. DOKEZO Mkurugenzi City Casino Mbeya ambaye ni raia wa kigeni atishia kuua Waandishi wa Habari wanaofuatilia tuhuma za kumfanyia ukatili mke wa mtu

    Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Bulgaria anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na...
  14. Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18. Hatua hiyo imebainika...
  15. PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia. Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka.. Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D. Kiukweli kabisa...
  16. Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo Pia Soma - Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya...
  17. Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

    Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, amelala na kusinzia, sasa wezi wameiba na solar na taa takribani betri 50 na solar panels 30 na taa zimeibiwa na zinaendelea kuibiwa kwenye Barabara ya Nyerere (Nyerere Road) kuelekea kiwanda cha soda cha Bonite. Hii ni zaidi ya hatari na tukiendelea kukaa...
  18. CPA Anthony Mzee Kasore Ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu VETA

  19. P

    PreGE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  20. Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemrejesha kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dk Nyambura Moremi aliyesimamishwa kazi Mei 4, 2020 kupisha uchunguzi. Dk Moremi amerejeshwa ikiwa ni miaka minne, baada ya kuondolewa katika nafasi hiyo na Waziri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…