mkuranga

Mkuranga is one of the six districts of Pwani Region in Tanzania. It is bordered to the north by Dar es Salaam, to the east by the Indian Ocean, to the south by Rufiji District, and to the west by Kisarawe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Mkuranga District was 187,428. [1]

View More On Wikipedia.org
  1. radhiya

    Plot4Sale Plot For Sale at Mkuranga

    Titled Farm Land For Sale at Mkuranga. Location: Mwanambaya, about 5.5km from Kilwa rd (Tambani Sec School). Size: 29.5 acres. Land use: Suitable for livestock, ranch, poultry or commercial farming. Price: TZS 440M, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a...
  2. radhiya

    Farm Land For Sale at Mkuranga

    Titled Farm Land For Sale at Mkuranga. Location: Mwanambaya, about 5.5km from Kilwa rd (Tambani Sec School). Size: 29.5 acres. Land use: Suitable for livestock, ranch, poultry or commercial farming. Price: TZS 440M, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a...
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini kila ukikutana na mwana Yanga aliyevalia Jezi yao mpya ya Mkuranga na Tandale na kumwambia aonyeshe BARCODE mnagombana?

    Kwani wakisema tu Jezi zao hazina BARCODE kwakuwa Mgombea Ubunge Aliyetoswa kazitengenezea Mkuranga na Tandale watapungukiwa nini?
  4. Inside10

    TANZIA Katibu wa CCM wilaya ya Mkuranga afariki dunia

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga. Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Katibu wa CCM, Wilaya ya Handeni, Mayassa Kimbau leo Jumanne Agosti 26, 2025 kupitia...
  5. Roving Journalist

    LHRC: Vijana wanne wanaoshikiliwa kwa Siku 26 Kituo cha Polisi Mkuranga wapewe haki ya dhamana au wapelekwe Mahakamani

    TAARIFA KWA UMMA WITO KWA JESHI LA POLISI MKOANI PWANI WILAYA YA MKURANGA KUWAPA HAKI YA DHAMANA VIJANA WANNE (4) WANAOSHIKILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI MKURANGA 15 Agosti 2025, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kutoka kwa wananchi wa Wilaya ya...
  6. BigTall

    DOKEZO KERO Ongezeko la Viwanda Mkuranga ni mipango ya Serikali au nguvu ya fedha inachukua nafasi yake?

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la Viwanda vingi huku kwetu maeneo ya Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani. Taarifa ambazo sio rasmi inadaiwa kuwa mpaka sasa kuna jumla ya viwanda 57 vikiwemo vikubwa sita vya kati 13 na vidogo 38. Kutokana na uzoefu wangu katika sekta ya Viwanda...
  7. K

    GE2025 Wagombea udiwani wasusia kusaini matokeo ya Uchaguzi Mkuranga idadi ya wajumbe na Kura ni tofauti

    Kufatia malalamiko na clip za video zilizokuwa zinatembea mitandaoni nchi nzima siku ya Jana. Clip za video zilizokuwa zinaonyesha wakinamama wa wanaccm wa wilaya ya mkuranga. wakiomba Masada na kulalamikia kukamata Kura feki wilayani humo katika mchakato wa Uchaguzi wa udiwani viti maalumu...
  8. mkalamo

    PreGE2025 Hivi ndivyo Mary Chatanda anavyowazuia wengine wasigombee ubunge Mkuranga akisema Ulega ni chaguo la chama

    Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili. Mbaya zaidi katika hilo...
  9. W

    PreGE2025 Heche alaani kitendo cha polisi kushambulia raia mahakamani. Aliyeonekana akishambuliwa kwenye video afunguka

    https://www.youtube.com/watch?v=6Z3BEm0TZp0 Freddy Chacha Akieleza kilichowatokea baada ya kukamatwa na kupelekwa Mkuranga waliambiwa wanywe maji yaliyokuwa na sumu kwa sababu wameshindwa kumuheshimu mama aliyewaletea maji safi. Amesema pia ana ushahidi wa video jinsi walivyochkuliwa na polisi...
  10. dalalitz

    Plot4Sale 6 acres industrial service/commercial plot, tshs.320 million at Mkuranga

    .....
  11. R

    Ipo siku Mkuranga tutapata msiba wa Taifa endapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

    Niende kwenye hoja yangu moja kwa moja! Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la viwanda katika wilaya ya Mkuranga hususani maeneo ya Kisemvule na Dundani.Kwa namna moja ama nyingine hii ni fursa kwa vijana kupata ajira. Kutokana na ongezeko hili la viwanda, kumesababisha ongezeko kubwa la watu hada...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Abdallah Ulega na DC Khadija Nasir Wakabidhi Madawati 3,000 kwa Shule za Msingi na Sekondari Mkuranga

    Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi. Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha utamu wa asali tu kwa muda. Muda utaongea vizuri! =================== Mbunge wa Mkuranga mkoani...
  13. PureView zeiss

    Waziri wa ujenzi : upanuzi barabara ya rangi-tatu - mkuranga kuanza rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) ametangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa upanuzi wa barabara kutoka Rangi Tatu hadi Mkuranga, baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Waziri amesema upanuzi wa barabara hiyo umekubalika ili kuondoa msongamano mkubwa unaosababisha adha kwa...
  14. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Mkuranga: 5 Acres Industrial Plot For Sale - Pwani

    • Direction: • Uses: • Structure: • Facilities: • Ideal: • Plot Area: • Document: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬 +255767157788 Mitandao ya Kijamii: @estatedealtz
  15. A

    Udogo wa daraja la mto mzinga ambalo ni kiunganishi muhimu kwa wilaya ya temeke na mkuranga, vipi mamlaka zetu hazioni?

    Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga. Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo. Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu. Ni ombi langu hili...
  16. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Akagua na Kuzindua Miradi Mkuranga - Pwani

    BASHUNGWA AKAGUA NA KUZINDUA MIRADI MKURANGA - PWANI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezindua jengo la utawala katika Shule ya Sekondari ya Mwandege lililojengwa na kukamilika kupitia fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga lililogharimu kiasi cha Shilingi Milioni...
  17. Erythrocyte

    Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  18. Roving Journalist

    Mkurugenzi: Majengo ya Kituo cha Afya yaliyotelekezwa Mkuranga sio yetu, iulizwe taasisi iliyohusika

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi wanalazimika kwenda umbali wa Kilometa 7 kupata huduma ya afya, ufafanuzi umetolewa. Kusoma hoja ya Mdau...
  19. BigTall

    DOKEZO Responded Majengo ya Hospitali (Mkuranga) yametelekezwa huu Mwaka wa 10 sasa, Wananchi tunaseka kupata huduma mbali

    Mimi ni Mwanakijiji wa Hoyoyo, kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, miaka kadhaa nyuma tulipata ugeni wa kutembelewa na Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete wakati huo JK akiwa bado yupo madarakani. Mgeni wetu huyo akatoa ushauri kuwa kama tuna maeneo tufanye mchakato wa kujenga Hospitali...
  20. K

    MKURANGA KUNA UPIGAJI KWNYE MIUNDOMBINU YA BARABARA

    FIKIRIA BARABARA IMEJENGWA MWEZI WATANO HAPA VIKINDU MWEZI WASITA INAWEKEWA VIRAKA....KULIKUA NA LAMI NZURI IMETOLEWA IMEWEKWA MBAYA HADI UNASHANGAA KWANN WAMEIWEKA IO LAMI,VIONGOZI WASERIKALI WAPO NA MBUNGE YUPO......LAMI INAE VUMBI IO UTASEMA UNAPITA KONDOA...
Back
Top Bottom