Wanaume tuache kuweka vigezo vingi kwa wanawake..
Mchagua jembe si mkulima.
Tafuta mwenye unafuu anza nae, maisha.
Ukikaa kudhani kuna perfect match, utasubiri mpaka utakufa ukimtafuta.
Ndo maana mabachela wengi ni wale wenye elimu za darasani. Maana wana over analyse.
Life is short.