mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    CHADEMA jipangeni 2025 hii CCM haikubaliki kwa wananchi, mtapata upenyo mkubwa sana na kupiga bao

    Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow. Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
  2. C

    Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
  3. F

    Ni udhaifu mkubwa sana kumshambulia Ndugai ilhali aliomba msamaha na kutolea ufafanuzi kauli yake

    Nimeshangazwa Sana na Kauli za kejeli na michambo illiyoelekezwa kwa spika ndugai siku hi ya leo na mkuu wa nchi mawaziri na makada was chama changu. Kama Job alitumia muda mwingi hivyo kusahihisha makosa yake na kuomba msamaha hata Kama kwa unafiki,walipaswa kumstahi. Hii inaonyesha hakuna...
  4. M

    Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

    Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa. Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha Hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili...
  5. Utajiri wa Apple Inc. ni mkubwa kuliko GDP ya Afrika

    Kampuni ya Apple ambayo inatengeneza bidhaa za iPhones na Mac imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya dola trilioni 3 katika soko la hisa Thamani hiyo ni kubwa kuzidi hata Pato la Ndani la Afrika(GDP) ambalo ni dola trilioni 2.6 Kampuni hiyo imefanikiwa kukua kwa kasi ndani ya miezi 16...
  6. V

    Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa. Miradi ambayo haijakamilika ingemalizwa kwa pesa gani?

    Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa wa kisiasa , alikuwepo bega kwa bega pembeni ya mwendazake akiwahutubia wananchi kwenye mikutano akiwaambia wananchi kwamba miradi yote hiii mikubwa inajengwa na pesa zetu za ndani. Wananchi walikuwa wanapiga makofi na Ndugai mwenyewe anapiga makofi. Ni kweli...
  7. Ndoa za sasa zimejaa unafiki mkubwa sana, jana mke wa mtu kanitumia picha ya matiti yake hadi nimechoka mwenyewe

    Hivi vile viapo wanavyoapa makanisani/misikitini huwa wanaviishi kweli? Ni mke wa afisa mmoja wa ngazi ya juu huko serikalini, sasa jana wakati nawasiliana nae nikamtania na hamu ya kunyonya maziwa akanitumia emoji ya kucheka. Eeh! Sijakaa sawa nikatumiwa picha za maziwa na alivyo mweupe...
  8. Moshi unaofukuta Kuna Kila dalili Moto mkubwa utalipuka,mamlaka isidharau dalili hizi

    Ndugu zangu dalili zinaonyesha Kuna Jambo haliko sawa.mama asidharau viashiria vinavyojitokeza.askofu lusekelo aliongea Mambo mazito kuhusu mbowe kushikiliwa na polisi kwa makosa ya ugaidi.kaja askofu mwingira kaongea mazito Sana ,na muona pia job ndugai nikama anakitu hakubaliani nacho na...
  9. Mtoto wa kiume anaelelewa na single mother kuna uwezekano mkubwa akawa "beta male"

    Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata kuwa na marafiki wanaume wenye maadili. Sababu kubwa ni kwasababu wanawake wanalea watoto kwa...
  10. Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa. Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
  11. Machinga Wa Feri Poleni Kwa Msiba Mkubwa

    Najua jana katika kulazimisha wapate fedha za kufungia mwaka askari manispaa walivunja godown mnakohifadhi mali zenu na kupora na kuharibu mali na kutaifisha. Kwa kuwa wakati wa tukio mali zilikuwa hazijatolewa wala kupangwa sehemu wanazokatalia msifanye biashara hasa jioni, ni vyema kwa...
  12. Udhaifu mkubwa wa upinzani nchini ndiyo kicheko kwa CCM

    Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini...
  13. S

    Mwaka sasa unaisha lakini Serikali haijamalizia hata mradi mkubwa mmoja

    Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo! Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo. Ujenziwa daraja...
  14. Jeff Bezos akiwa mdogo alikataliwa na baba yake mzazi na akamrithisha kwa baba mwinginekisheria" leo ndiye tajiri namba moja duniani

    Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
  15. Je, kwa tabia hii ya Wanaume ni kwamba tuna 'Uweledi' mkubwa au ndiyo tuna 'Ujuha' ulioshindikana?

    Leo hii ( Siku hizi ) ni Jambo la Kawaida sana Kumkuta au Kumsikia Mwanaume ( Mume au Mchumba wa Mtu ) akiwa tu ana Mahusiano na Mwanamke wa Pembeni ( wa Nje ) akimsema vibaya Mkewe / Mchumba ( kiasi cha mpaka Kumdhalilisha ) kwa kutoa Siri zake pamoja na Madhaifu yake. Kuna Mwanaume Mmoja...
  16. M

    Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  17. M

    Kwa Umahiri mkubwa tuliouona wa Makomandoo wetu Tanzania ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Polisi?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  18. O

    Tutarajie Katiba Mpya miaka michache ijayo na mpasuko mkubwa wa kiitikadi ndani ya CCM

    Huu sio utabiri ila ndio suluhu ya mwisho ya yanayoendelea huko jikoni. Inasemekana Hayati Magufuli alikuwa tayari amekubali kuuanza upya mchakato wa kuunda katiba ya Wananchi na hili alipata ushauri wa Kina kutoka kwa Mshauri na Mlezi wake Hayati Benjamini, moja ya mependekezo makubwa ya...
  19. Kati ya Mwalimu na Muhadhiri nani anastahili mshahara mkubwa?

    Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara, Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
  20. Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ndio Siri ya uchumi mkubwa duniani

    Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…