mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Binti mkubwa wa mchungaji shusho"odesia shusho avishwa pete ya uchumba

  2. Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

    Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?
  3. M

    Usafirishaji mzigo mkubwa kutoka Mbeya kwenda Mwanza

    Wakuu habari.... Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024 kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294...
  4. L

    Simba iwaongeze wazawa hawa msimu ujao, wana uwezo mkubwa

    Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa kulia wa Mamelodi, Kijiri ana nguvu, spidi halafu mrefu, Israel Mwenda anafanya sana makosa na jana...
  5. R

    Hivi Kwa sasa, Kuna biashara yenye faida na mzunguko mkubwa kama ya Michezo ya kubahatisha nchini?

    Salaam,Shalom!! Twende haraka kwenye mada, biashara ya Michezo ya kubahatisha Kwa sasa imetapakaa Nchi nzima Hadi vijijini, na sijawahi kushuhudia wahusika wakifunga biashara hizo Kwa kufilisika, Betting haihitaji gharama kubwa katika uwekezaji, akishanunua mashine na kujenga ofisi hapo hapo...
  6. Ni kwanini ujenzi mkubwa au miradi mikubwa wanapewa wageni sio wazawa?

    Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara kubwa,madaraja makubwa,magorofa marefu,viwanja vya mpira na n.k Ni kweli kwamba sisi ujuzi wetu ni wanyumba za...
  7. Uzalishaji mkubwa wa hewa ya ukaa (Carbon dioxide) utafanya dunia iwe kijani zaidi?

    Eti wataalamu. Sehemu kubwa ya mmea inaundwa kwa Carbon dioxide na maji. Kwa kawaida kiasi cha carbon dioxide hewani ni asilimia 0.04 tu. Je kuongezeka kwa Carbon Dioxide hewani kutafanya mimea izalishwe kwa wingi zaidi?
  8. K

    Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  9. Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

    Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
  10. Maneno ni mtaji

    Katika moja ya tafiti zilizofanyika nchini Marekani, ilibainika kuwa mafanikio ya mtu kikazi yanategemea: 1. Ufanisi katika taaluma aliyo nayo asilimia 15 2. Ufundi wa kuzungumza asilimia themanini na tano. Hii inamaanisha, mtu mwenye ufaulu wa "first class" lakini si fundi wa kuongea anaweza...
  11. SoC04 Uchimbaji wa Mawe Kanda ya Ziwa Kuwa Mchango Mkubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu

    Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia, ikiwa ni pamoja na aina mbalimbali za mawe. Kanda ya Ziwa ni eneo lenye umri wa kijiolojia wa...
  12. Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

    Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii...
  13. Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  14. Bank kutoza "processing fee" kwenye mikopo ni uwizi mkubwa.

    Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
  15. PreGE2025 Kwanini Uchaguzi wa Kanda za CHADEMA una msisimko mkubwa kiasi hiki?

    Niko kwenye Chama hiki kwa miaka yote na nashuhudia Chaguzi nyingi sana za ndani, lakini kiukweli sijawahi kuona Uchaguzi wa ndani ya Chama hiki ulio na msisimko kama uchaguzi wa mwaka huu, na hasa kwenye ngazi ya Kanda. Naomba sana Busara itawale ili Chama kisipasuke Angalia mambo haya.
  16. F

    ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

    Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge. Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
  17. Kama nchi tunajipangaje na huu uwezekano mkubwa wa WW3 ambao utakuwa na athari kubwa duniani?

    Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la...
  18. Rais Samia alikuwa Arusha kuhudhuria miaka 40 ya Sokoine: Je, kwa nini kapotezea Msiba mkubwa watoto wa shule kuzama kwenye Maji?

    habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais! miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine? Je...
  19. Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga. Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
  20. Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…