mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Hussein Bashe amepiga pesa za BBT! Huu ni ufisadi mkubwa sana 'na kwakuwa Rais hana muda na mafisadi acha wajipigie mipesa ya bure

    Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

    Habari wanaJf, Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli. Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    Hii nimeiona hasa kwa wenzetu waliooa mke zaidi ya mmoja Yan ni Kama wanaigana hii Tania. Kuna Siri gani imejificha?. Mimi mwenyewe nimelishuhudia kwa baba yangu Yani upande wa hi mkubwa huku hatuna sauti Kama upande wa bi mdogo. Je no kwanini wanaume hupenda zaidi bi mdogo kuliko bi mkubwa?
  5. JamiiForums Tanzania Anguko la Samia litakuwa na mshindo mkubwa sana

    Ataangua anguko kubwa kuliko hata walivyomuhujumu Magufuli What goes around comes around Atakataliwa kila upande na atapingwa na kila mtu Kila aina ya kashifa itafukuliwa Kuanzia Kizimkazi scandal, Dp world, Bagamoyo, IPTL, Ngorongoro, na madudu yote ya CAG Kiufupi Samia atakuwa na mwisho...
  6. JamiiForums Tanzania Kuku alitumbukia kwenye shimo la choo akakua mkubwa wamemtoa na watu wamemla

    Mtaani Kuna vituko sana sijui niseme ni uchu wa nyama ama ni sahihi.stori ipo hivi Kuna jamaa mfugaji mwenzangu yeye kuku wake alitumbukia kwenye shimo la choo Tena ni jogoo na alitumbukia akiwa mdogo basi ame survive kule ndani karibia miezi sita MPAka akaanza kuwika ndipo yule mwenye kuku...
  7. JamiiForums Tanzania Tumekabidhi chama kwa watu wasiojua kuponya majeraha Bali kuongeza majeraha ! Mpasuko huu ni mkubwa sana ! Siasa za kitoto zimetufikisha hapa !!

    Nilitegemea baada ya uchaguzi makundi yatakufa rasmi na ujenzi wa chama utaendelea !matokeo kumbe mlienda kugombea si kwa ajili kuongoza Bali kulipa kisasi kwa waliotangulia !! Niwafundishe jambo Tl na mdogo wangu heche !! Maiti haisemwi kwa mabaya' viongozi waliotangulia wangekuwa wabaya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

    Wakuu mambo vipi? Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua Possibly wakaja...
  9. JamiiForums Tanzania CCM ilshindwa mwaka 1995 , ikashindwa 2010 na ikashindwa 2015 , ila ubovu mkubwa wa mifumo ya uchaguzi ndo unaibeba CCM

    Kwanza hongera Kikwete mwaka 2005 ulishinda kihalali Na hongera Mkapa 2000 ulishind kihalali . Baada ya hapo CCM. Haijawahi kushinda uchguzi wowote
  10. JamiiForums Tanzania Pombe mbaya sana, nili kuwa na uwezo mkubwa tu, ila nikataka kumuibia mdada niliyekaa naye

    Ilikuwa hivi. Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba. Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa. Tukakaa akawa anataka apewe kwa bili yangu. Akaletewa. Akawa amelewa flan akacheza sana mziki...
  11. JamiiForums Tanzania Hili ndilo limethibitisha kati ya Simba na yanga nani mkubwa

  12. JamiiForums Tanzania No Reform no Election ni kama njia ya kuwapa ushindi mkubwa CCM

    Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki. Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anayesifiwa kukicha anao 670,000 pekeyake

    Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anao 670, 000 Wadau hamjamboni nyote? Takwimu zinaongea mayahudi wasithubutu kumchezea muiran hata siku moja kwani wataumia Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Israel has 170,000 active military personnel, along...
  14. JamiiForums Tanzania Zuchu amefuzu kuwa supastaa mkubwa wa nchi. Nimeshangaa leo kuona gari zinaitwa Zuchu !!

    Leo katika pilika zangu za kutafuta rizki nilipita kwenye terminal ya makontena. Nikakuta hizi howo zinasomba hayo makontena na kuyapanga kwenye yard. Hizi gari kama mnavyozijua zinaitwa Howo. Lakini kwenye ulimwengu wa makuli hizi gari zinafahamika kama Zuchu. Niliuliza baadhi ya madereva na...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godfrey Sitta: Katibu wa CCM Meatu amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa, amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku kukigawa Chama

    Kada wa CCM, Godfrey Sitta amedai kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu, Naboth Manyonyi amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa ambaye amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku na kukigawa Chama na matokeo yake 'tutaingia vita ya sisi kwa sisi' na kuwapa wapinzani nafasi.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kufundisha Basic mathematics kwa umahiri mkubwa!?

    Habarini.. Ikiwa wewe ni muhitimu wa kidato cha sita, diploma au degree na unamudu kufundisha basic mathematics O- level, Na hujaajiriwa... Nitafute inbox
  17. JamiiForums Tanzania Ubunifu: Bembea na mabenchi kwenye mti wako mkubwa

    Usikate mti bila sababu unaweza kuutengeneza vizuri uka kupunguza na juu ukafunga makuti ikawa kama mwamvuli. Chini ama katikati ukaweka bench laini kukaa kupumzika huku ukila na kunywa kama alivyotushauri mwalimu katika kitabu cha muhubiri japokuwa nayo yote ni bado kujilisha upepo ila ni...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya shangwe mwanafunzi Esther akimshukuru Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa kwenye elimu utakaowasaidia kutimiza ndoto zao

    Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la Esther aliyemshukuru kwa kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya elimu. Wadau nimeguswa sana na tukio hili na...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

    Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. ======== Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam. Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico...
  20. JamiiForums Tanzania Huu ni upotoshaji mkubwa sana kuhusu kitimoto

    Huyu Sheikh aache mara moja kulisha watu matangopori kuhusu huyu mnyama.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…