mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    SADC yaiandikia barua Jumuiya ya ECOWAS kumuunga mkono Mgombea wa Madagascar na sio wa Kenya (Raila).

    Naona Raila hana bahati. SADC yamruka na kumuunga mkono mgombea kutoka Madagascar na imeiomba jumuiya Africa Magharibi kufanya hivyo pia.
  2. R

    Mfalme wa Jordan kaenda white house kamuunga mkono Trump kuwahamisha wapalestina, Misri na nchi nyingine kukutana Saudi Arabia kusuka mpango kazi

    Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
  3. Rais Trump kuwahamisha Wapalestina ili kuijenga Upya Gaza? Ntetanyahu amuunga Mkono Trump !!

    Hiyo inaitwa danganya toto, tunawahamisha Wapalestina Kwa Muda, wanaenda Saudia ili tuwajengee kagaza kazuuuuuuri katamuuu kana maghorofa ya kunesanesa ,viwanja vikali , kagaza kama Paris vile , alafu mtarudi baadae eehhh sawa Wapalestina 🤣🤣🤣 Hamrudi Ng'ooooo , ndo itakua imeishaa !! The...
  4. Tafakuri ya ubahili na mkono mrefu

    6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake, 7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe. 8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure. 🥺🥺🥺🤔🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂🙌🏿🚶🏾🚶🏾🚶🏾🏃🏿🏃🏿 Kwahiyo tusile vya...
  5. S

    CHADEMA muungeni mkono Luhaga Mpina

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu. Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)...
  6. Serikali tunaomba muunge mkono sera ya kuupinga ushoga kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump

    Kichwa chahusika. wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda wakamuulize Trump kuwa anakandamiza haki za binadamu. hivyo basi, mashoga na wasagaji wawe ni maadui...
  7. R

    Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  8. Rais wa DRC CONGO atafuta uungwaji mkono huko Angola, aapa kuingamiza M23

    Amani iwe kwenu wadau Rais wa Kongo ameenda kuonana na rais wa Angola na amemwomba jeshi likasaidie kuwaondoa m23 Na ameapa inyeshe mvua lipige jua lazima awaondoe M23 Kibabe sana Tuendelee kuombea Aman ndugu zangu LONDON BOY
  9. Ongeza mafanikio: Faida tano muhimu za kuandika namba 24 kwenye kiganja cha mkono.

    ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO. SEHEMU YA PILI. 👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24. Ule ulikua kama mwanzo tu na kuna baadhi ya watu walikurupuka kwenda kuchora namba 24 kwenye viganja*...
  10. A

    Hivi saa inavaliwa mkono gani kwa mwanaume

    Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
  11. B

    PreGE2025 Wabunge Simiyu wasusia kongamano la RC Kihongosi kumuunga mkono Samia

    Wabunge wa Mkoa wa Simiyu wamesusia kongamano lililoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kihongosi kwa lengo la kuunga mkono Azimio la Mkutano Mkuu kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais mwaka 2025. mkutano huo umefanyika wilaya ya Bariadi ambapo hata mbunge jimbo husika la...
  12. Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

    Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili. Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu. Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k...
  13. Hongera Trump kwa kutia saini Amri ya Utendaji inayoidhinisha kufukuzwa kwa watu wasio raia wa US wanaounga mkono mashirika ya kigaidi kama vile Hamas

    Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
  14. F

    Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
  15. F

    Nashauri CHADEMA tufanye matembezi ya mshikamano kuunga mkono chama na uongozi mpya

    CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia nchini. Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa...
  16. Niliacha kumuunga mkono magufuli na kujitenga na CCM baada ya jaribio na kumuua Tundu Lissu

    Amani iwe nanyi wanabodi. Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii. Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
  17. DAR: Kibamba ya Mnyika nao Watangaza kumuunga mkono Lissu

    https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_ Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja. Huenda Mbowe akishinda CHADEMA itageuka kuwa kama CUF,TLP au NCCR, #WAJUMBE KULENI YAMINI MKINUSURU CHAMA NA KIFO CHAKE
  18. Tundu Lissu aliwezaje kuiunga mkono hii switcheroo?

    Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani? Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake. Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani...
  19. Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

    Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke. Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
  20. W

    Nikiwa kama mzazi namuunga mkono Inspector Haroun (Babu) kumtembezea kipigo mtoto wake baada ya kumkuta studio

    Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia ada. Mzazi au mlezi unaweza kutimiza wajibu mtoto aende kusoma shule za serikali bure lakini utaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…