Nature is always brutal si kwa sababu inachukia, bali kwa kuwa haijifunzi. Maji hayakubali kubebwa, bali hubeba.
Mwanga haufuati giza, bali hulivunja.
Waliokaa kimya ndani ya kelele wamezoea kutafuna pumzi badala ya mikate. Nguzo za uhai hazisimamishwi na sarafu, bali na kivuli cha dhamira...