mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti na Bugando ni hospitali ipi nzuri kwa ajili ya matibabu ya sikio mkoani Mwanza?

    Karibuni wana Rock city mnielekeze.
  2. JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma

    SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kapinga asema Tsh. Bilioni 4.6 zitapeleka umeme migodini Mkoani Ruvuma

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma. Kapinga ameyasema hayo Agosti 18, 2024 wakati akizindua Kituo cha Mauzo ya Makaa ya Mawe ya kampuni ya Market Insight Limited (MILCOAL)...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi pesa zipo Dar au mkoani?

    Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani. Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha dar. Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
  6. JamiiForums Tanzania Hivi pesa zipo Dar au mkoani?

    Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani. Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha Dar. Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  8. JamiiForums Tanzania Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  9. JamiiForums Tanzania Eng Ruth: Tsh. Bilioni 3 zimetolewa matengenezo Barabara zilizoathiriwa na El-Nino Mkoani Njombe

    Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kushughulikia Barabara zilizoathiriwa na mafuriko/Mvua za El-Nino kwa mkoa wa Njombe. Fedha hizo zimetumika kuhakikisha kuwa miundombinu yote ya Barabara...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe wayao ni wenyeji wa mkoani Mtwara? Leo nimejifunza kitu jipya kupitia hapa JF.

    Siku zote najuaga wayao ni wenyeji wa wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ila leo kupitia member wa Jf nimegundua kuwa kumbe wayao ni wenyeji wa Mtwara. Asante sana Jf. Leo nimejifunza kitu.
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Aagiza Leseni za Utafiti 45 Mkoani Rukwa Kurejeshwa Serikalini

    WAZIRI MAVUNDE AAGIZA LESENI ZA UTAFITI 45 MKOANI RUKWA KUREJESHWA SERIKALINI -Ni Leseni ambazo hazifanyiwi kazi na kuzuia maelfu ya wachimbaji kuchimba -Eneo lililorejeshwa la ekari 812,383 ni kubwa zaidi ya Wilaya ya Sumbawanga -Wachimbaji wadogo na wawekezaji waliotayari kupewa kipaumbele...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi Mazito ya Rais Samia Mkoani Katavi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi...
  13. JamiiForums Tanzania Kinana akagua mradi ujenzi wa Gati la Bandari ya Ujiji Mkoani Kigoma, Septemba 1, 2022

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amepokea taarifa ya mradi wa ujenzi wa gati la Bandari ya Ujiji ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 38.5. Kinana amefanya ziara ya kutembelea bandari hiyo leo Septemba 1,2022 baada ya kuwasili mkoani...
  14. JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yaendelea kuboresha miundombinu ya barabara mkoani Pwani

    Pwani Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha na kufanya matengenezo ya miundombinu ya barabara katika mkoa wa Pwani ili kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za...
  16. JamiiForums Tanzania Wanadasalama hizi Travolta Shoes ,nazipataje ? Niko Mkoani.

    NGOZI
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vya afya ngazi ya Diploma vinavyopatikana mkoani Morogoro

    Naombeni kufahamishwa vyuo vya afya ngazi ya diploma (kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne) vinavyopatikana mkoani Morogoro, ni muhimu sana
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ucheleweswaji wa malipo kwa wakulima kutoka kwa vyama vya msingi imekua kero sana baadhi ya Wilaya mkoani Ruvuma ikiwemo Tunduru

    Hi Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu. Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote. Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Dar: Watoto wanaozaliwa Dar es Salam kwa siku ni zaidi ya 430

    Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye matatizo mbalimbali. Hayo yameelezwa Julai 13, 2024 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Samia mkoani Singida, bilioni 93 zimetolewa uwekaji taa, ujenzi barabara na madaraja

    KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI SINGIDA//BILIONI 93 ZIMETOLEWA UWEKAJI TAA, UJENZI BARABARA NA MADARAJA Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…