mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ione hii huko Wilayani Rungwe mkoani Mbeya

    Habari ndugu zangu Wana jamiiforums Leo katika pita pita zangu nimekutana na hili tukio Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya katika Kata ya Kyimo. Tunaiomba serikali kuliona hili.
  2. JamiiForums Tanzania Serikali inatarajiwa kuanza ujenzi Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali Kuanza Ujenzi wa Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma - Waziri Bashungwa

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
  4. JamiiForums Tanzania TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!

    Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
  5. JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

    Ndugu zangu Watanzania,
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu ziarani Mkoani Njombe kwa ajili ya kukagua miradi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja. Akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Njombe, Septemba 20, 2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya...
  8. JamiiForums Tanzania THRDC yalaani Mwandishi wa Ayo TV kuvamiwa na kunyang'anywa kadi ya kamera Mkoani Arusha

    TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume na sheria kwa mwandishi wa habari wa Ayo Tv kilichotokea jana Ijumaa Septemba 19, 2024 akiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ulevi wa Kupindukia, Ubakaji na Ulawiti ni Janga Kubwa kwa sasa Mkoani Kilimanjaro

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti. Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo. Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamini Rwegasira amefariki na kuzikwa Mkoani Kagera

    Wanabodi. Mwandishi Mkongwe wa TBC Benjamini Rwegasira aliyekuwa katika kituo cha Bukoba na baadaye kuungua ugonjwa wa kiharusi kwa kipindi kirefu amefaiki dunia na kuzikwa katika kata ya Gera wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera. ===== Mazishi ya Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Shirika la...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO wakata Umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kwa Maboresho ya Kituo cha Kupoza Umeme cha Kunduchi

    Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi. Maboresho haya yana lengo la kuboresha huduma ya umeme kwa wateja wote. Kwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
  13. S

    JamiiForums Tanzania BAWACHA mkoani Tanga wanathibitisha utekaji na uuaji hauwafanyi watu kuwa waoga, bali kuwa majasiri wasio na lolote la kupoteza

    Hawa watu kama wanafikiri kuteka na kuua watu ndio kutafanya watu wawe waoga, kwa hakika wanakosea sana, na aliewashauri aliwadanganya kwa kutokuja na kwa kutofanya research ndogo tu kujua kama vitendo hivi sehemu zingine duniani zimewahi kuwa msaada kwa watawala. Hapa napoandika, huko Tanga...
  14. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Afya waingia mtaani kufanya jitihada za kudhibiti magonjwa ya kuhara Mkoani Simiyu

    Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu. Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya

    Ndugu zangu Watanzania, Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anayedaiwa kuchapwa viboko na kumuacha na uvimbe na makovu Dodoma

    Mwanafunzi wa shule ya sekondary mnadani iliyopo mkoani Dodoma ameonekana akiwa amevimba mikono na akionesha makovu kwenye sehemu ya mwili wake akidai ni moja ya mwalimu ndo alimpa adhabu hiyo
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini watu mkoa wa Kigoma wakitoka mkoani mwao hawarudi tena kwao kabisa?

    Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti na Bugando ni hospitali ipi nzuri kwa ajili ya matibabu ya sikio mkoani Mwanza?

    Karibuni wana Rock city mnielekeze.
  19. JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma

    SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…