mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kukwepa kadhia ya D9 tunasafiri kwenda mkoani Jumapili (7/12/2025)

    Tunaojitambua, tunaondoka Dar kwenda Mikoani (kijijini huko) huku tukisikilizia mambo yenu ya D9. Tuonane mwaka mpya 2026.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara

    Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara na Mwandishi wa Times Oktoba 18, 2025 Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia akiwa katika Kampeni - Makambako Mkoani Njombe, Septemba 6, 2025

    https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025. Wananchi waliojitokeza...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya miradi iliyotekelezwa na Dr. Samia mkoani Mbeya

    Sekta ya Barabara Mkoani Mbeya, ujenzi wa barabara hii ya lami unatarajiwa kurahisisha usafiri wa bidhaa na abiria, na kuchochea uchumi wa maeneo hayo. Ukarabati wa Barabara za Mijini Mbeya, Mji wa Mbeya umenufaika na ukarabati wa barabara za ndani, ambazo zimetengenezwa kwa kiwango cha lami...
  6. JamiiForums Tanzania REA kuanza usambazaji na uuzaji wa majiko banifu mkoani Rukwa

    REA KUANZA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI RUKWA . Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Ndugu Msalika Makungu, leo Agosti 27, 2025, ametembelewa na ugeni kutoka Wakala wa Nishati Vijijini katika ofisi yake iliyopo katika mtaa wa 1 Barabara ya mkoani mkoa wa Rukwa.. Wakala huo ambao...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

    HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Shujaa NDUNA Songea Luwafu Mbano ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA

    NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906 Huyu hakuwa tu kiongozi wa kijadi, bali alikuwa ngome ya ujasiri, Jemedari asiyeogopa risasi, na...
  9. JamiiForums Tanzania Katibu CCM: Matokeo ya Ubunge yamechelewa sababu ya mwingiliano wa majina

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mwanamasod Pazi akielezea sababu za matokeo ya Uchaguzi wa Kura za Maoni ya Ubunge ndani ya CCM kuchelewa kutangazwa. Pia soma ~ Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Innocent Bashungwa aongoza kwa kishindo kura za maoni Ubunge Karagwe Mkoani Kagera

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe kimetangaza matokeo rasmi ya kura za maoni za kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia CCM, kufuatia uchaguzi uliofanyika tarehe 04 Agosti 2025. Katika matokeo hayo, Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 7,902...
  11. JamiiForums Tanzania Wanapouza taulo za high quality mtumba au special mkoani Mwanza

    Kwa wenyeji wa jiji la Mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili? Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Habari wakuu! Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini? Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto...
  13. JamiiForums Tanzania Inaarifiwa kwamba Suala la Ushoga limeanza kuongezeka kwa kasi Mkoa wa Mara

    Inaarifiwa kwamba Suala la Ushoga limeanza kuongezeka kwa kasi Mkoa wa Mara ambapo Kuna danguro la ushoga, huku baadhi ya watumishi wa umma wakiwemo kwenye kundi la ushoga.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani Pemba ni hatari kwa usalama wa Watumiaji

    Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu. Ikitokea umepita kwa mwendo wa haraka unaweza kujeruhiwa na nondo zilizopo hapo. Tunaomba Mamlaka...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha Ripoti ya utekelezaji wa ilani ya CCM Jimbo la Mkoani Pemba, zaidi ya Millioni 800 zimetumika miaka 5

    Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama mbalimbali wa chama hicho Prof Mbarawa amebainisha namna alivyofanya jitihada za ziada kwa kutafuta pesa...
  16. JamiiForums Tanzania Ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Wadhibitiwa Kisayansi

    UJANGILI uliokuwa unafanywa na baadhi ya wenyeji wanaopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara umedhibitiwa kisayansi kupitia miradi ya kijamii na kiuchumi inayotekelezwa na hifadhi hiyo. Miradi hiyo ya ujirani mwema (SCIPs) inatekelezwa na Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA) kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania faida za kumtumia fundi kukujengea nyumba ambaye ni mkazi wa mbali na eneo lako hasa mkoani

    Ingawa wengi hupendelea mafundi wa karibu, kutumia fundi kutoka mbali kunaweza kuwa na faida maalum kulingana na mahitaji na mazingira ya mradi wako. Hapa kuna baadhi ya faida zake: 1. Utaalamu wa kipekee – Fundi kutoka mbali anaweza kuwa na maarifa au uzoefu wa kipekee ambao haumpati fundi wa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya washiriki 300 kujitokeza maonesho ya madini mkoani Lindi

    Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara kufungua maonesho ya Madini Lindi wilayani Ruangwa Zaidi ya Washiriki 300 wamejitokeza kushiriki Maonesho ya Pili Lindi (LINDI MINING EXPO 2025 yanayofanyika kuanzia tarehe 11 hadi 14 Juni 2025, katika Viwanja vya Madini -...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…