Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Ukitaka kuunganishiwa umeme, unatakiwa kununua nguzo kwa gharama ya Shilingi 300,000 kwa kila nguzo. Ikiwa utahitaji nguzo zaidi, utalazimika kulipia kila nguzo kulingana na mahitaji. Gharama ya kuunganishiwa umeme ni Shilingi 150,000.
Kwa hiyo, kwa kiasi kikubwa, watu wengi hawajaweza...
Anonymous
Thread
kagera
karagwe
mkoanimkoani kagera
umeme
vijijini
wananchi
wilaya
wilaya ya karagwe
Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA wizara ya ardhi Bw, Abisai Coy (kulia mbele), akifuatiwa na Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Martin (katikati mbele), na Bw. Pastori Masua Mkurugezi Msaidizi Msajili wa hati (kushoto mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wataalamu kutoka...
HATI ZA KIMILA: MKOMBOZI WA WANANCHI WA MELELA NA MIKESE MKOANI MOROGORO
Wananchi wa Vijiji vya Melela na Mikese mkoani Morogoro wameeleza furaha yao baada ya kupata Hati za Kimila, hatua inayowawezesha kutambuliwa kisheria na kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi.
Akizungumza katika...
1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam.
2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji.
3...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa .
Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
Habar za mda huu wadau,
Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa,
Ikawa kimya miezi nikaamua kwenda halmashaur kuulizia chenga zikawa nyingi saana hatimaye mwsho wa siku ps...
Maisha ya mkoani shikamooo
Hakuna connection
Hakuna dili za kutosha
Kazi ngumu malipo hafifu
Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta
Nipe connection ushauri nk
Karibu
Nahitaji hizo taa au exposure unit kwa bei nafuu exposure unit yangu imeibiwa nb hii inatumia Kwa screen printing so kabla ya kuagiza naamini naweza kupata haraka hapa Kwetu
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Jairy Khanga ameeleza kwa kina kuhusu utekelezwaji wa Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) Programme katika mkoa wake. Alibainisha maeneo yaliyofikiwa, changamoto zilizojitokeza, na mikakati ya kuzikabili.
Hapa kuna mambo makuu aliyozungumza:
1...
Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi.
Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni...
Wakati 2026 ni mwaka wa mawasiliano baina ya watu wa China na Afrika, shughuli nyingi za mawasiliano zinafanyika zikiwemo za kitamaduni. Katika kutimiza azma hii iliyowekwa na viongozi wa pande mbili za China na Afrika, wakati nilipotembelea mkoani Yunnan, nami nikajiunga kwenye shughuli za...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.
Jeshi hilo...
Viongozi wa kijiji cha Mlimba 'B' katika Halmashauri ya Mlimba wamekuwa kero kwa wananchi kwani wamekuwa wakitoza faini ya Tsh. 10,000/= kwa kila mwananchi asipohudhuria kwenye mkutano wa serikali ya kijiji na kwenye shughuli za maendeleo ambazo ni kusafisha barabara ambazo zinafanyika kila siku...
Anonymous
Thread
halmashauri
kero
kijiji
kilombero
mkoani
mlimba
morogoro
viongozi
wilaya
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho .
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
Ni simanzi imetawala mkoani Kilimanjaro, baada ya mwanamke mmoja anayefanya biashara ya chakula, Restituta Moshiro (40), kukutwa ameuawa na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi, ukiwa na majeraha yanayoashiria aliburuzwa na kukabwa kabla ya kukutwa na mauti.
Tukio hilo limetokea usiku wa...
Wanahabari wawili wa kituo cha redio cha Kyela FM, Tumsifu Katina na Emmy Eliud, wameachiliwa kwa dhamana asubuhi ya leo Aprili 15, 2026 baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi tangu jana mchana.
Meneja wa Kyela FM, Lamso Malongo amethibitisha kuwa wanahabari hao kwa sasa wako huru na taratibu...
Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili
Miaka 25
Elimu shahada
Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha???
Ahsante