Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.
Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria
source >>...
Mkoa midogo sana kieneo ni Kilimanjaro naa Dar.
Ki eneo Wilaya ya Misungwi+Ilemela = Kilimanjaro MZIMA.
Ki eneo Mwanza ni Sawa na Dar 27 kwa pamoja. Yaani ukiunganisha eneo la Dar Mara 27 ndo unapata Mwanza moja.
Dar 70= Rukwa 1.
Dar 75= Tabora moja
MHE. JANEJELLY NTATE AENDESHA SEMINA YA UTEKELEZAJI WA MAONO YA MAMA SAMIA KWA WAKINA MAMA WA MKOA WA DAR ES SALAAM
Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 22 Disemba, 2023 Msimbazi Centre, Ukumbi wa...
Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi.
Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo),wameacha ma...
Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya.
Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa!
Umeme umekuwa anasa!
Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera).
Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha.
Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri,
Huyu mama nisipomsifu ntakuwa nimemnyima maua yake kwa kipindi hichi cha mwisho wa mwaka. Saluti nyingi kwako ACP wa mkoa wa Singida kwa kuziishi taratibu na sheria za jeshi la polisi la Tanzania.
Siku ya jumamosi nikiwa katika moja ya mihangaiko yangu ya kutwa...
Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanini haukutaka kwenda kwenye soko la Mbagala Zakhiem kulifungua badala yake ukaenda kwenye uwanja wa Mbagala Zakhiem uliopo nusu kilomita kutoka kwenye soko?
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko kwani wafanyabiashara wa awali...
Asalaam aleykum,
Hapo Posta panagadeni nzuri mno mno ambayo ikipangiliwa vizuri inaweza kugeuka sehemu nzuri ya kustaftahi, kula ngisi, urojo juice, soda na katu pombe zisiwepo kamwe!....
Itapendeza mno hasa baada ya ubunifu mahususi kufanyika.
Naweza kusema haya sasa ndiyo maelezo sahihi ambayo yana make sense, maana kama umemaliza form 4 naamini umesoma Geography, na hizi mambo za Mass Wasting na Mud Slides ni vitu tulivyosoma kwenye Physical Geography.
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Dr. Derick Magoma, Ph.Dambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA...
Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu .
Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh.
https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8
Rais Samia...
amiri jeshi mkuu
ccm
hanang
huzuni
jeshi
kipaumbele
kuongea
kuzungumza
manyara
mimi
mji
mkoa
mkuu
mtu
peke yangu
rais
rais samia
samia
sare
shughuli
viongozi
viongozi wa ccm
vitu
wahanga
wananchi
yangu
ziara
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 06/12/2023 imehitimisha ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Busega.
Kwenye wilaya ya Busega, Jumla ya Miradi 6...
KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU IMEENDELEA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WILAYA YA BARIADI, HALMASHAURI YA BARIADI TC
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 04/12/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua...
Usiyempenda kaja.
---
Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo.
Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
Tunaandika haya kwa uchungu, na masononeko baada ya kufanyiwa ukatili wa kutudhulumu stahiki zetu za posho kwa maafisa tarafa na watendaji wa kata.
Mh. Waziri Manispaa ya Lindi inaundwa na majimbo mawili ya Lindi mjini na Jimbo la Mchinga ambayo zamani ilikua ipo Halmashauri ya Lindi vijijini...
Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli.
Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye...