mkoa wa songwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    PostGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo wamevamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo walivamiwa usiku wa kuamkia leo na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi. Walisema ya kuwa wanawapeleka Polisi. Lakini hadi asubuhi hii hawapo katika vituo vya polisi na hivyo hadi sasa hatujui...
  2. L

    GE2025 PICHA: Rais Samia aitetemesha Tunduma. Helikopta zatanda angani na kuteka anga zima la mkoa wa Songwe. Apokelewa kishujaa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia anapendwa na watanzania ni haijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu. Mama anapendwa kuliko kitu kingine chochote kile hapa Duniani. Mama anakubalika kuliko mtu yeyote yule hapa Nchini. mama anaaminika na kuungwa mkono mpaka watu wanatamani...
  3. L

    Rais Samia Kuutetemesha Mkoa wa Songwe Septemba 4. Ujio wake wawa Gumzo hadi Zambia

    Ndugu zangu Watanzania, Songwe hakukaliki wala hakuna mwana songwe aliye tulia . Kila mmoja yupo na hekaheka za kujiandaa kumpokea kwa bashasha na furaha kubwa sana Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia na...
  4. Just Pray

    GE2025 Hawa ndiyo wanaowania ubunge kupitia CCM mkoa wa Songwe

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Songwe katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  5. L

    WanaSongwe watembea na kusafiri kumdhamini Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi za CCM Mkoa wa Songwe. Kwa Lengo la kumdhamini Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mgombea Urais wetu...
  6. R

    GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe imetoa elimu kwa bodaboda kuepeuka kutumika vibaya kipindi cha uchaguzi

    Katika kuhakikisha Uchaguzi Mkuu 2025 unafanyika kwa usalama na amani Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kupitia watendaji wake wa kata limeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali katika jamii, wakiwemo wasafirishaji wa abiria kwa kutumia Pikipiki maarufu kama bodaboda, kuhusu umuhimu wa...
  7. Isenye

    TANROADS mkoa wa songwe wameanza kuita watu kwenye interview, kaeni karibu na viswanswadu vyenu.

    Ndugu zangu wapambanaji. Tanroads mkoa wa songwe,wameanza kuita watu kwa ajili ya written interview. Kwa tulioomba nafasi ya uhasibu interview itakua ni tarehe 31 May 2025,itafanyikia vwawa secondary school. Mkae karibu na simu zenu. Asanteni
  8. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe amvaa mkandarasi Tunduma, atoa siku 7

    https://www.youtube.com/watch?v=HkDDYR59Gj4
  9. Dalali mbeya jiji

    Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya Songwe

    Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya mkoa wa Songwe kiwanja sq 2800. Tshs. 300m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  10. Dalali mbeya jiji

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe,

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
  11. Roving Journalist

    Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila

    Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje. Barabara hiyo ni kiungo...
  12. N

    Adv Livino: Ukomo wa madaraka ni mwelekeo wa akili siyo maandishi

    Ukomo wa Madaraka ni Mjadala mzito katika kipindi hiki cha mchakato wa Uchaguzi wa CHADEMA. Mchokoza Mada, Mh. Tundu Lissu katika hotuba yake tarehe 12/12/2024 aliiweka vizuri sana kwa Viongozi wa Chama na Viti Maalumu (Ubunge na Udiwani). Hata hivyo Mh. Freeman Mbowe na Timu yake wanapinga...
  13. K

    LGE2024 Kauli Bi. Happiness Seneda ya kusema watakagua wasiopiga kura inaweza kuichonganisha Serikali na watumishi wa Umma. Rais tafadhali muondoe

    Uchaguzi wa Serikali za mitaa ukiwa umemalizika kwa amani na utulivu na tukiwa tunaendelea kusubiri matokeo kwa maeneo ambayo matokeo bado hayajatangazwa, tutumie muda huu kuijadili kauli ya katibu tawala wa mkoa wa Songwe aliyotoa siku ya jana, ya kwamba '....watawakagua wino watumishi ambao...
  14. Roving Journalist

    LGE2024 ACT Wazalendo: Tumesikitishwa na kitendo cha Polisi kumkamata Mwenyekiti wetu Mkoa wa Songwe, Ezekia Zambi

    TAARIFA KUTOKA ACT WAZALENDO Kwa masikitiko makubwa, tumepokea taarifa ya kukamatwa na Polisi kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Songwe leo tarehe 22, November, Ndugu Ezekia Elia Zambi bila sababu za msingi zinazojulikana. Pia soma: LGE2024 - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro...
  15. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe

    Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100, ukiwa ulimegwa kutoka Mkoa wa Mbeya mwaka 2016. Jina la mkoa limetokana na Mto Songwe. Makao makuu ya mkoa huu yako Vwawa. Mkoa wa Songwe una majimbo sita (6); Momba, Tunduma, Songwe, Vwawa, Mbozi na Ileje, ambapo Jimbo...
  16. Roving Journalist

    DOKEZO Songwe: Machinga 1,300 wakimbia eneo walilowekwa kwa muda baada ya ujenzi wa Soko kutelekezwa Tunduma

    Wafanyabiashara wadogo walioondolewa pembezoni mwa barabara Mwaka 2022 na kupelekwa katika eneo la Kata ya Majengo ilipokuwa Stendi ya Zamani ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe, wamelazimika kulikimbia eneo hilo baada ya sintofahamu ya kusimama kwa ujenzi wa Soko la Kisasa la...
  17. A

    KERO Wilaya ya Songwe(Mkwajuni) mkoa wa Songwe kuna tatizo la umeme kukatika mara kwa mara bila taarifa kutolewa na wahusika. Je, mgao wa umeme umerudi?

    Wilaya ya Songwe(Mkwajuni) mkoa wa Songwe kuna tatizo la umeme kukatika mara kwa mara bila taarifa kutolewa na wahusika. Je, mgao wa umeme umerudi?
  18. HaMachiach

    DOKEZO Hospital ya Chaula Vwawa mkoa wa Songwe wanatoa vipimo vya uongo

    Habali ya jumapili wanabodi, Napenda kutoa hii taarifa kuhusu hospital ya private ya CHAULA iko Songwe Vwawa. Ukimpelekea mgonjwa wanawapa majibu ya uongo tena magonjwa makubwa ili mtishike haswaa na kuanza kumpa huduma wapate pesa. Kuna mwanamke alikuwa mjamzito alipoenda pale kupima...
Back
Top Bottom