mkoa wa pwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Bara bara ya Kibaha, Njia ya kutoka na kuelekea Hospital ya Tumbi ni mbovu na imejaa mashimo makubwa

    Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku. Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
  2. Kwa wakazi wa mkoa wa pwani

    Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe. Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani? Maisha haya nataka niyaandae...
  3. GE2025 Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani Awahimiza Wananchi Kuripoti Viashiria vya Uvunjifu wa Amani

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim Morcase Septemba 11, 2025 katika kipindi cha Maskani ya Chalinze, Kupitia 97.5 Chalinze FM amewakumbusha wananchi wa Mkoa wa Pwani wajibu wao katika kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mheshimiwa Rais, Wabunge na Madiwani...
  4. RC Abubakar Kunenge: Simu Janja na TV zinazalishwa Pwani na zipo sokoni

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni." Akizungumza leo Julai 31, 2025, katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala, Kibaha mkoani Pwani, Kunenge ameeleza kuwa...
  5. House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa Vikindu mkoa wa Pwani🇹🇿

    GHOROFA LINAUZWA GHOROFA LIPO VIKINDU MKOA WA PWANI GHOROFA NI LA VYUMBA V5 CHINI KUNA VYUMBA V3 VYOYE SELF SITTING ROOM DAINING ROOM JIKO STOO PUBLIC MAJI ELECTRIC FENCED JUU VYUMBA V2 ZOTE MASTER NA SITTING ROOM BALCONY ENEO SQM 1000 UMILIKI TITTLE DEED BEI MIL 280 KARIBU SANA MTEJA...
  6. L

    Kisarawe, iliyoko mkoa wa Pwani Tanzania, inakabiliwa na changamoto za barabara mbovu toka miaka ya 60

    Wananchi wanalia kila siku, mfano maguruwe barabara mbovu kama mazingira ya mwezi, lakini DC na TARURA wamejikita kwenye viti vyao vya starehe, wakisikiliza kilio cha wana nchi kama wimbo wa kawaida! Hii ni dhuluma ya wazi – pesa za walipa kodi zinapotea kwenye miradi ya karatasi, wakati...
  7. MKOA WA PWANI UGAWANYWE

    Mkoa wa Pwani ugawanywe Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na Mkuranga ziunde jiji la Dar Es Salaam. Rufiji, Kilwa, Mafia na Kibiti ziunde Mkoa wa Pwani/Rufiji/Kilwa. Mikoa miwili ya Tanzania bara yaani Morogoro na Tabora iwe mikoa ya Viwanda vikubwa/vizito zaidi na technologia ya majeshi yetu na...
  8. Taka zilizosambaa eneo la Kibaha Maili Moja Mkoa wa Pwani zaondolewa, usafi wafanyika

    Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali. Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha...
  9. Magari mapya yatolewa kwa wakuu wa wilaya za Mkoa wa Pwani

    Rais Samia Suluhu Hassann ametoa magari mapya kwa wakuu wa wilaya zote za Mkoa wa Pwani, ili kurahisisha utendaji kazi wa viongozi hao. Akikabidhi magari hayo kwa niaba ya Rais, mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa magari hayo ili kuwawezesha viongozi...
  10. M

    Nimekwama huku Pwani, natafuta kibarua au kazi

    Habari zenu Wana jamiiforums, Ni mwenyeji wa mkoa wa Singida, naombeni connection ya kibarua iwe ni ujenzi (kama saidia fundi au kupanga pavings Nina uzoefu nayo) yaani chochote hata Cha kulima, kusafisha mashamba kwa maeneo ya huku Pwani ya kibaha maana Mimi nipo sehemu inaitwa mlandizi. Sina...
  11. Pwani: Coast City Marathon kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani

    Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mbio za Coast City Marathon Msimu wa tatu (3), maalum kwa ajili ya kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani, Dkt. Frank Mhambwa amezindua rasmi mbio hizo ambapo hafla ya Uzinduzi imefanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya...
  12. Bilioni 16 kutolewa ili kuliokoa shamba la ushirika Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani

    Na MWANDISHI WETU WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani. Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
  13. W

    CCM yawavua Uongozi Wanachama wawili kutokana na kukiuka maadili ya uongozi

    Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho. Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi...
  14. Mkoa wa Pwani una vijiji na Mapori ya kutisha sana

    Licha ya huu mkoa kupakana na jiji la Dar es salaam ambalo ndo jiji kubwa Tanzania na Africa Mashariki Kwa ujumla, lakini mkoa wa Pwani unatishia, Mkoa wa Pwani una Mapori mazito yamefunga Giza na ya kuogopesha sana. Me natokea Kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera tuna vijiji na Mapori ila Kwa mkoa wa...
  15. C

    Mkoa wa Pwani mnastahili pongezi kwa kutoa Mawaziri wengi

    Hakika nyie Ni maalum haswa nchini, 1. Jafo, 2. Mchengerwa, 3. Ulega, 4. Ridhiwani, 5. Kipanga.
  16. Stand ya Loliondo Kibaha aibu kwa Serikali ya Mkoa wa Pwani

    Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa Mattias, kongowe au mlandizi kupitia Loliondo. Miundombinu ya kuingia njia hiyo ndio shida ilipo...
  17. Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
  18. Makonda kuunguruma leo Mkoani Pwani

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, katika siku yake ya kwanza ya ziara ya siku 30 kwenye mikoa 20. Pia, Makonda anatarajiwa kufanya vikao na viongozi mbalimbali wa kamati za utekelezaji wa...
  19. Naomba kujua yafuatayo kuhusu Eneo la Mapinga Kiaraka Mkoa wa Pwani ambako Soon nitakuwa Mkazi Mpya huko

    1. Lilipo Kanisa Katoliki 2. Uliko Uwanja wa Mazoezi wa Mpira 3. Baa za Vinywaji vya Bei nafuu 4. Vijiwe vikubwa vya Masela / Wahuni 5. Vijiwe vya Tamu za Kibaiolojia 6. Zilipo Ofisi za CCM na Kituo cha Polisi 7. Eneo la Makaburi Haya wana Mapinga Kiaraka kaeni tayari Kunipokea Ndugu yenu...
  20. M

    Kuna shida gani mkoa wa Pwani?

    Nilikuwa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, nimetembea vijiji vingi Hadi Kijiji kinaitwa mwanzenga (nimeambiwa ni Kijiji Cha wasanii). Kilichonishangaza ni maeneo mengi ya mkuranga ni potential sana Kwa ufugaji na ujenzi wa viwanda. Kilichonichosha ni population ndogo na wenyeji wanaishi maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…