mkoa wa mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  2. C

    GE2025 Ahadi za CCM Mbalizi mkoa wa Mbeya 2025-2030

    Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
  3. GE2025 Haya hapa ni majina ya wagombea Ubunge kupitia CCM katika majimbo ya Mkoa wa Mbeya

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Wagombea Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Mbeya 1.Patrick Mwalunenge - Mbeya Mjini 2.Patali Shida Patali- Mbeya Vijijini 3.Dkt.Tulia Ackson - Uyole 4.Bahati Keneth Ndingo - Mbarali 5.Baraka Ulimboka Mwamengo - Kyela 6. Lutengano George Mwalwiba - Busokelo 7. Anton...
  4. Tatizo sugu la wananchi kupata Umeme wa Kiwango Cha Chini Wilayani Chunya ( Low Voltage), Mkoa wa Mbeya

    Wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya, inakabiliwa na tatizo kubwa la umeme wa kiwango cha chini (low voltage) wakati wa mchana. Tatizo hili limekuwa sugu kwa zaidi ya miezi sita, na Tanesco wanaonekana kama wamefungia macho kwa hali hii. Matokeo yake ni kwamba vifaa vya umeme, kama vile pampu za...
  5. W

    GE2025 Suma Fyonda na Maryprisca Mahundi wachomoza kura za maoni nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya

    Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla. Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai...
  6. A

    KERO Mbarali: Barabara ya Igawa kuelekea Ubaruku ni finyu, mbovu, ina mashimo yanayopelekea uharibifu wa vyombo vya usafiri

    Wilaya ya Mbarali inasikitisha kuona barabara ina zaidi ya miezi nane hadi kumi, ikiwa imewekwa vifusi na havijasambazwa kwa kipindi cha muda mrefu. Ni kama imetelekezwa pasipo kuendelezwa ujenzi wake hivyo kupelekea usumbufu kwa watumiaji wa njia hiyo, ikiwa ndio njia kuu kutoka Igawa kuelekea...
  7. Jeshi la Polisi Mbeya lakanusha kumkamata Mdude Nyagali

    Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha...
  8. TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

    Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo. Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
  9. U

    DOKEZO Wazabuni Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wapaziwe sauti

    Hapa Halmshauri kwetu (Rungwe ) Mkoa wa Mbeya kuna baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamekuwa wakitoa huduma ya Zabuni ya kulisha Shule za Sekondari za Serikali, Magereza na Chuo cha ufundi kwa muda mrefu, lakini kwa bahati mbaya PESA ZAO hawalipwi kwa wakati ama hawalipwi kabisa Wamekuwa...
  10. PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  11. PreGE2025 Waandishi wa Habari Mbeya walilia bahasha za khaki toka CCM!

    Kamati Kuu ya Chama cha Wandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya, imewataka wandishi wa habari wote wa Mkoa huo kutoshiriki shughuli yoyote ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mpaka pale Kamati Kuu ya Chama hicho kitakapomaliza tofauti za pande zote mbili. Taarifa ya leo Machi 15, 2025 iliyotolewa na Kamati...
  12. Wafanyabiashara wa vyakula wa mkoa wa Mbeya faida wanazipataje?

    Niko mkoa wa mbeya hasa shughuli zangu zilizonileta nazifanyia mbeya mjini na Tukuyu. Hizi bei ndogo za vyakula wanazouza zimenifanya nijiulize hawa watu faida wnazipataje. Mfano Kande la mahindi mabichi na maharage wanauza sh 500,wakati dar mara ya mwisho kula kande niliuziwa 2,000/= Wali...
  13. Y

    Msaada wa kampuni au taasisi za kwenda kufanya field mkoa wa Mbeya

    Habari, Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
  14. A

    Kuomba kazi ndani ya mkoa wa MBEYA

    Habari ndugu zangu wa Jammi Forum, mimi ni kijana wa miaka 29, mwenye uzoefu wa kusimamia watu na tasisii kwa miaka 7, saizi sina kazi, naomba kazi yoyote ndani ya mkoa wa Mbeya, kazi yoyote nipo tayari. Asante.
  15. Watu kutoka Mbeya pamoja na utajiri wa vyakula uliopo huko watu bado afya zao ni mgogoro

    Bado niko mbeya Juzi jumapili nikawa mgahawa mmoja maarufu hapo mtaa wa Soweto. Nikasema ngoja nifanye simple research kuhusu ulaji wa watu wa huku. Imagine mtu anakunywa supu na Chips, kweli hivi vitu vinaendana? Unakuta mwanamke anakupigia supu ya kongoro na ndizi afu anashushia na tochi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…