Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya.
Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
Utafiti mpya wa kimataifa uliofanywa na Ipsos Global Trustworthiness Index 2024 unaonesha kuwa madaktari ndio taaluma inayoaminika zaidi na watu duniani kote. Zaidi ya asilimia 58 ya washiriki walisema wanawaamini Madaktari, ikifuatiwa na Wanasayansi (56%) na Walimu (54%).
Utafiti huo...
Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
Upande wa mashariki mwa Afrika nchini Tanzania. Hayati John Pombe Magufuli aliupiga mwingi sana enzi za utawala wake kiasi kwamba uchumi ulipanda mpaka uchumi wa kati kabla ya kurudi kwenye uchumi wa chini katika utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Magufuli alileta Elimu bure jambo lilionekana...
Mkia wenyewe wala siyo wa asilia, lkn unaonekana kuyatikisa majibwa.
Kila mwanafamilia asilia wa kaya hii anajiuliza, kwann mkia huu bandia unatikisa majibwa kiasi hiki? Majibwa haya yatavumilia mtikisiko huu?
Mkia huu bandia umekuwa ukitikisa hata majibwa makubwa ambayo yaliaminiwa hapa...
Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu: kushindwa kwa mipango ya usajili, kukosekana kwa mwelekeo wa kiufundi, na viongozi wanaozunguka...
Habari wadau,
Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi.
Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga mboga.
Sasa wakati nachimba mche kwa kutumia kisu ghafla akatokea nyoka mweusi na kuanza kutambaa...
Eti ni ya kweli haya ?
Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu.
Haya mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa 🍑?
Vipi wanawake wenye makalio makubwa, huwa mnapata special treatment kwa ajili ya maumbo yenu au ni usumbufu tu?
PS:
Sisi...
Siku droo ya makundi inapangwa,mitaa ya Twiga na Jangwani ilifurika watu wakifuatilia mubashara,
Baada ya kushiba supu walisikika wahuni wakitamba kuwa ''tunamtaka Mamelodi,tunamtaka Mamelodi''
Baada ya droo nilijua Yanga hatoboi,TP Mazembe wangechangamka na ibenge asingewaachia Yanga...
Wanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.
Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
Kuanzia Oktoba 14 na kwa siku chache zinazofuata unaweza kuangalia Kimondo mkia ATLAS Tuchinshan upeo wa magharibi mara baada mara baadanya machweo angani palipooneshwa katika picha hizi za 14-19 Oktoba.
Kwa hiyo kuanzia usiku huu wa Jumatatu tarehe 14 Oktoba ambapo sayari Zohai itafichika...
Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi.
tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno.
Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
Je, hili linalosemwa ni la kweli kwamba endapo kenge akikupiga na mkia wake kuna madhara unaweza kupata.
Kwa mfano akikonda na wewe unakonda akinenepa na wewe unanenepa akifa na wewe unakufa.
Nimekuta watu wanajadili kuhusu malengo ya Nusu fainali na Kuwa na point mbili nadhani watakiwa wanaizungumzia Klabu ya Union Berlin ya ujerumani ambayo imeshika mkia kundi C linaloongozwa na Real Madrid.
Nb. Zile kelele za Yanga ya mwisho Kwenye kundi Ina point 2 Bado zipo huko kwenu?
Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa...
Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia.
Rais...
Hizi hapa nchi tano duniani zinazo ongoza kwenye research and development Afrika hakuna kitu.
Hakuna uchawi kwenye maendeleo bila kujiza titi huku kwenye R&D Afrika tutaendelea kushika mkia kwa kila kitu.
Country/Region
Expenditures on R&D
(billions of US$, real)
1
United States...
Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same.
Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku...
Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.
4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.