mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Lucy Mayenga ni ushahidi wa nafasi za Ubunge kwa namna isiyo sahihi

    Hawa ndio wabunge ambao hupata nafasi kwa namna ile ambayo siku zote tunaipigia kelele. Ukimsikiliza tu anaongea unajua kichwani hamna kitu isipokuwa ndio basi tena. Aina hii ya wabunge ni wengi sana. Kuna wakati nilikuwa nadate dada mmoja mkali sana ana shape na mzuri. akaaanza kunambia...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumbaka mkeo?

    Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka. Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao. Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia...
  3. JamiiForums Tanzania Kama mkeo akiwa rais, utajisikiaje?

    Swali like wazi. Je, ungekuwa na mke rais ungefanya nini? Hebu nidadavulie wanangu.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unajijua huwezi kumridhisha mkeo kwenye tendo ni ujinga au akili kumkomesha mwanaume mwengine anaeweza kazi ?

    Kama unajijua kabisa 6 x 6 nguvu zimeisha, jogoo hawiki, dakika hufiki ushamaliza, n.k. Mkeo akikwambia huwezi kumridhisha, ukaendelea kubaki nae, siku ukagundua kaanza kutoka nje kwajili ya sex, ni hekima ipi utatumia, kumkomoa anaeweza kazi au kukubali yaishe
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jiandae sana kisaikolojia kwa lolote mkeo akianza kujihusisha na shughuli za siasa

    Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ambaye sio rafiki yako hawezi kuwa mkeo

    MWANAMKE AMBAYE SIO RAFIKI YAKO HAWEZI KUWA MKEO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Rafiki yako namba moja baada ya Mungu ni Mkeo/Mumeo. Kama hii kwako ni ngumu acha kuoa/kuolewa. Ndoa itakushinda Mapema Sana. 2. Na isipokushinda ukajikaza. Utaishi kwa Mateso na kugugumia. Ndoa ni urafiki...
  7. JamiiForums Tanzania Je, kwa zama hizi na karne hii ni halali kumuadhibu kwa kipigo mkeo?

    Tukiwa tunaianza weekend vyema haswa na utulivu wa hali ya hewa. Kumekuwa na video mjongeo ikimuonyesha mwanaume mmoja huko Ivory Coast akimtandika bakora mke wake hasa kisa kikiwa ni mwanamke huyo kuchelewa kurudi nyumbani. NB: Nimeshindwa ipakua hiyo clip, ila nikiipata nitaipandisha hapa
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimpuuze mkeo

    USIMPUUZE MKEO Mwanamke akikasirika, mara nyingi huongea kwa maumivu sio logic Usimjibu kwa ubishi, jibu kwa utulivu. Upole wako unaweza kubadilisha hali. Imani yake ikivunjika, hairudi kirahisi. Chunga maneno yako, timiza ahadi zako. Usidhani ndoa ni mwisho wa juhudi za upendo ndio mwanzo...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unachokitafuta kwa mchepuko,kuna mwanaume anakipata kwa mkeo

    Huo msemo ni ukweli mtupu
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

    List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini. 1. Mshahara Wako. Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua. 2. Kazi unayofanya...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kawaida mkishibana na mkeo akugeuze mbea hadi muda mwengine unajisahau unaanza kunogewa umbea ?

    Nina mengi ya kueleza kuhusu huu ushuhuda , kuna muda unafika hadi najiuliza huyu mwanamke kaniingizaje kwenye hii tabia. Sometimes tunaweza kukaa pamoja anaanza umbea najikuta nimekolea naanza kuuliza kabisa ehee ikawaje, kikafuata nini, na hili bezi sasa duh ! Kuna umbea umekuwa kama Series...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mkeo anapokuambia usimwagie ndani anakua na maana gani haswa?

    Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa. Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani. Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..? Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu. Eti wakuu ina maana gani hiyo?
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiku huu wewe na mkeo au mpenzio mko mnatumia style gani kukulana?

    Sisi tumetumia kifo cha mende. Nyie je?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Usiende na mkeo sehemu ya starehe unayofanyaga ujinga, utaaibika

    Hii code nilichelewa kuijua aisee, nimeaibika sana. Kuna baa moja inatwa Mazembe ipo Segerea huwa naenda kuangalia mpira mara kwa mara, sasa bhana ina wahudumu wamejazia hatari, kwa wanaoijua wataelewa navyosema kujazia. Sasa pale kuna ujinga ujinga wa ujana huwa nafanya Sasa jana nikasema...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaishi nyumba ya kupanga unaruhusu mkeo avae hivi?

    Unaishi nyumba ya kupanga Halafu unaruhusu mkeo kuvaa hivi... Unakuwa na maana gani?
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna siku mchepuko atafurahi zaidi kama siku akigundua kuwa mkeo amemgundua.

    KAA MBALI NA ZINAA Michepuko ni malaya waliochangamka, dada wa shetani na mashine ya ilioundwa kutoka sodoma kwa ajili ya mapenzi thus kuhusu aibu na majuto, sahau kabisaaa. Anafurahia kwa maana anajua anatikisa ngome ya ndoa ambayo anaona inapewa promo sana huku yeye dunia yake inaonekana ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tony Kapola; Najua ulifanya vile kumtetea mkeo. Siku nyingine usirudie. Huko ni kutojiamini. Wanaume waliooa waliofunzwa hawatetei Wake zao mitandaoni

    Ijumaa Kareem! Mkeo alishaongea alichoongea. Kiwe ni kweli au sio kweli hiyo sio ishu. Waliombeza walishambeza. Hukuwa na sababu ya kutoka juu kwa juu na kuanza kushambulia watu hovyohovyo kama mwanaume asiyejielewa, mwanaume usiyejua nini cha kufanya. Ulichofanya ni utoto, uvulana au mara...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia vidole vya Mguuni vya ama mpenzi wako vikiwa kama nitakavyoelezea Furahi

    Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba....... Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7 Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba...... Una Mke au...
  19. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  20. JamiiForums Tanzania Hata moja ya mababu zako leo wakiamka na kuona umepost uzi wa kulalamika mbele za wanaume wenzako kuwa mkeo anakubania msos atakukana na kurudi kulala

    "Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu. Wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri. Nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu. Na, wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu" -G. Michael Hopf
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…