Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka miwili Ally alitaka kuoa mke wa pili, Mama yeke alimuuliza sababu akasema kuwa mke wake kabadilika sana, tangu amekuoa amekua mtu wa kisirani, mtu wa kumfuatilia kila hatua, amekua mtu wa kulalamika na kila siku nyumbani ni kelele, alimuambia kuwa siku hizi...