mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mwijaku apewe Maxi Mpia Nzengeli Tafadhali!

    Kwani Mwijaku anasemaje Muda huu? 🤣🤣🤣 Mwijaku tumuachie Kipanya tu wamalizane mahakamani mpaka akili zimkae sawa.
  2. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu

    Msaada Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu!! Ninafanyaje ndg zangu, ninashindwa kumjadili mamangu kwa kumkosoa mbele ya mke wangu.!! NB: mama anaishi kwake na mimi naishi kwangu na mke wangu
  4. Jack Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke bora na heshima kwa mwanaume

    Ni ukweli usiopingika mwanamke mzuri wa sura na umbile ni ndoto ya kila mwanaume,tena akiwa smart kichwani na elimu kwa mbali ndiyo kabisa. 1. Unajiamini kumtambulisha popote na kwa yeyote huku ukikenua meno yote na kujipiga kifua kwakuwa upo na mtu unayempenda kwa dhati na unaweza kuambatana...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Zaiylissa ninayemuona hapa katika Clip akifanya Mazoezi ndiyo huyu huyu Mke wa Haji Manara au?

    Yaani kuna Zoezi moja naona ameshika Mashine huku anaichanua Miguu yake Kulia na Kushoto na 'Kitu' Kimetuna tu.
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi na watatu malizia ni nani?

    Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi watatu malizia ni nani?
  7. General Nguli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kuwa na mke mmoja

    Hakika fahari ya mwanaume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ambao wana mpenda yeye na kumuheshimu.Ile feeling ni kubwa na nzuri sanaa kiasi kuwa wanao ipata ni wachache sana kwenye hii Dunia. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ambao mnapendana wote bila shida kuna mfanya mwanaume kuwa mpambanaji...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona mke wako anakudharau jua tu haumfikishi kileleni

    Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ambapo sio kila changamoto inahitaji vikao vya nje ili kuzitatua, moja ya changamoto hizo ni baadhi ta wanawake kuwadharau waume zao. Kama una mke unampa huduma zake zote za msingi lakini anakudharau na wakati mwingine hata kujibishana na wewe jua tu...
  9. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa makofi na mke wangu

    Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila mara tu yaani hauipiti siku bila mimi kupigwa na mke wangu kosa sometimes silijui kwahiyo mie nabaki...
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!

    Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
  11. Attaboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni halali kutuma pesa za matumizi kwa mama wakati mke wangu yupo kwake?

    Mimi ni kijana bado natafuta kwa ajili ya familia yangu hivi karibuni nilihamishwa kazi na kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu nyumbani akiwa mjamzito. Kutokana na ukata wa maisha ili tubidi kuuza baadhi ya vitu ambavyo ilikuwa gharama kuhamisha na nikampeleka mke wangu nyumbani kwetu...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa nyumbani, darasa la 7 lakini ana maono, yuko smart na anaona mbali kuliko mimi

    Sijui niandike vipi aisee! Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali. Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa

    Habari. Umri wangu ni miaka37 natafuta mwanamke wakuoa. Kazi nimejiajiri. Mwanamke ni mtakaye. Awe na umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe tayari kuishi popote,Asiwe mrefu Sana,,mwenye upendo wakweli,Dini yeyote. Karibu sana iwapo upo serious tu maana muda ukuta.
  14. KAJOBO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

    Habari Wana Jf Natumai mko salama Nimekaa nikawaza mengi, kwenye jukwaa hili ni wengi waliotoa post za kutafuta mke au mme nikiwemo na mie😊 Lakini Cha kushangaza sijawahi Kuona mirejesho ya members wakifunga ndoa au hata kuja kutoa taarifa za kupata Sasa swali ni je hili jukwaa halisaidii ama...
  15. proton pump

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

    Kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza natafuta mwanamke wa kumuoa tujenge familia; Awe na umri kuanzia 22-28 Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe na kazi halali ya kufanya Asiwe mweusi sana, akiwa mweupe fresh Asiwe mfupi sana kama ni mrefu hapo sawa. Sifa zangu Sina mke wala mtoto Ni...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?

    Hili ni swali kwa Malegendary na kwa wanawake smart kichwani, hivi imefika hatua mwanaume unaona dhahiri kwa sababu zako binafsi na za msingi mke wako apate msaidizi, ni mistari gani ambayo mwanamke anaimbishwa mpaka anatowa kibali? Tafadhali hii siyo thread ya mahubiri, tujikite kwenye mada...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mke Ukiachika, Ukapata Bwana Mpya, Ni Sawa Kumzungumzia Bwana wa Zamani Kila Uchao? Wanasiasa Hamahama, Wanachofanya ni Sawa Kuponda Tuu Walipotoka?

    Wanabodi, Usingizi ukikata, huwa nashuka jf anytime, leo nauliza Mke au Mume ukiachika, au ukaachwa, kisha ukapata bwana mpya, au chombo kipya, je ni sawa kumzungumzia bwana wako wa zamani kila uchao mbele ya bwana mpya au bibi mpya?. Je hiki kinachofanywa na wanasiasa hamahama, kila saa...
  18. SweetyCandy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mtu anatafuta mke yupo serious

    Kanitumia hivi HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana . Awe anaishi dar , awe anafanya kazi Awe yupo tayari kuwa mke. Ila asiwe mchaga. Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo Ni mpenda kanisa . Mrefu...
  19. steve_shemej

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ntafuta mke mwema asizidi miaka 33

    Ok
  20. Baba Kisarii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukidhibiti hasira waweza pia kumdhibiti mke jeuri.

    In natural mwanamke yeyote huwa anajisikia vizuri Sana akihudumiwa na mumewe hasa kwenye mahitaji ya msingi na extra. Unapogharamika kwenye mahitaji yake kwa kumnunulia mavazi akawa wa kuvaa na kupendeza, bila kusahau kumkatia pocket money hata kama mahitaji yote nyumbani yapo, huku ukimletea...
Back
Top Bottom