Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.
Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku...