mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni miaka 10 sasa tangu hayati Mkapa atuite watanzania tunaopenda upinzani “malofa”

    Nyakati zinakimbia sana! Miaka 10 iliyopita wakati wa kampeni za kumuweka madarakani John Pombe Magufuli, hayati Benjamin Mkapa alitupa tusi lenye kejeli ndani yake la kutuita malofa. Sijui nini kilimsibu mzee wa lupaso mpaka apayuke neno lile gumu kwa Watanzania. Anyway yeye na Magufuli...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu Team Wazalendo Mnatakiwa Kumlilia ni B.W. Mkapa

    .
  3. JamiiForums Tanzania MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  4. JamiiForums Tanzania Polepole: wahuni wamevamia chama na wanataka kujimilikisha nchi mwaka 1995 walishindwa 2005 wakajaribu na 2015 walijaribu mkapa akazuia:

    Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
  5. JamiiForums Tanzania Je Mkapa angekuwepo na yeye angetoa baraka za kuwa na Bunge la kifamilia yaani Baba , Mama na watoto mnakutana bungeni?

    Taifa limekosaa wazee wa kushauri . Yawezekana Mkapa angeongea jambo Kama angekuepo Ila ndo hivyo. Maana Mwaka 2010 nakumbuka Mtoto wa Mkapa aligombea ubunge pale Kigamboni kura za maoni dhidi ya Ndugulile Ila mtoto wa mkapa hakutoboa katika kura za maoni. Ila Leo hii kinachoendelea ni aibu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania!

    Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania! Denis Mpagaze ___________________ 1. Wazazi wake walitamani awe Padre wa Jimbo akawa Rais wa nchi. Sisi tunapanga na Mungu anapangua. 2. Aliingia madarakani nchi ikiwa imedumaa kiuchumi, akatawala kwa falsafa ya “Huwezi kupata maendeleo bila...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Nilimwambia Aga Khan njoo anzisha magazeti mengi, ya serikali na IPP hayatoshi

  8. JamiiForums Tanzania Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliyoundwa na Ben Mkapa rasmi imeshajifia. Rushwa sasa haimshitui mtoaji wala mpokeaji

    Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti. Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao. Yaani TAKUKURU imekufa na...
  9. JamiiForums Tanzania Walinzi wa uwanja wa Mkapa ni mzigo

  10. JamiiForums Tanzania Pitch ya dimba la Mkapa inapaswa kuondolewa na kubadilishwa, big screen iwepo na matangazo ya LED kuzunguka uwanja yawepo juu na chini

    Kwa wapenzi na watazamaji wa mpira wanajua na wanatambua, kitu cha kwanza na kigezo cha kusema 'huu uwanja ni mzuri' basi ni pitch quality, maana wanaohudhuria uwanjani ni asilimia kidogo sana kati ya watmazamaji wote wa mpira, na zaidi ya 80% ya maeneo yanayomulikwa na camera wakati wa mchezo...
  11. JamiiForums Tanzania Nilisikitika sana tu kuona wana Simba SC wengi wakiyadharau Maneno ya Mchezaji Obrey Chirwa kelekea Mechi yetu tuliyoadabishwa ki haki jana kwa Mkapa

    Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
  12. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC wote kwa Kutufunga ki Haki, ki Mpira na ki Mafunzo ya Mpira wa Kisasa (wa Kiufundi) jana kwa Mkapa

    Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaokarabati uwanja wa Benjamin Mkapa, msisahau kuu-pimp kwa kuuwekea urembo/decorations, bustani za nje, viti vya V. i. P viwe leather. Pitch vipi?

    Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza. Pia VIP viti viwe leather. Tusibadili viti tu. N. B. Media house ziombe tour ndani ya uwanja...
  14. JamiiForums Tanzania TFF: Uwanja wa Mkapa kutumika ufunguzi wa Fainali CHAN 2024, Uwanja wa Amani kutumiwa na kundi D

    Salaam Members! Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika (CHAN2024) itakayofanyika Kenya, Tanzania na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025, uwanja huo utatumika...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbichi kabisa: Bodi ya Ligi yasema Mechi ya Yanga na Simba tarehe 15 June, 2025 ni kwa Mkapa na wale waliokata Tiketi zao wataingia nazo

    Kama ulikata Tiketi yako ya Kielektroniki ile Mechi ya Awali itunze kwani hiyo hiyo utaingia nayo Mechi ya tarehe 15 June.
  17. JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo timu pekee kuwahi kucheza fainali CAF uwanja wa Mkapa, Kwa maana nyingine uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ajili ya Yanga

    Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu. Vinginevyo kaa kimya. FT aggregate 1:3 😀
  18. JamiiForums Tanzania Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  19. JamiiForums Tanzania Pitch ya kiwanja cha mkapa inachimbwa chimbwa hovyo ndo sababu ya kuharibika hovyo hata baada ya kutengenezwa

    Hata aje engineer wa kutoka mars, hata itumike Trillion moja as long ile pitch itaendelea kuchimbwa chimbwa kabla ya mechi fulani fulani na timu fulani fulani yale madimbwi hayataisha kamwe
  20. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…