mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kiwanja Mbeya Mjini.

    Habari za Pasaka wanajukwaa, SIjawahi kuona kiwanja cha 5M au chini ya 10M kinauzwa Maeneo ya mbeya mjini. Kila siku naona vya 40M tu na kuendelea. Kama kuna kiwanja chenye bei hiyo niliyoitaja mbeya CBD tujuzane wakuu, maana vipato vinatofautiana NB. 1. Kuwe na barabara inafika. 2. Kama ni...
  2. JamiiForums Tanzania Samaki aina ya Mbasa wanauzwa Mbeya mjini.

    Samaki aina ya Mvasa wanauzwa Mbeya mjini. Bei inategemeana na ukubwa wa samaki, kuanzia 15,000/= hadi 45,000/= wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI

    TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI Nauza kiwanja changu kilichopo Ihungo, Bukoba Mjini. Kiwanja ni tambarare, kina ukubwa wa 20m x 40m, na barabara inapitika vizuri hadi kiwanjani. 📍 Mahali pazuri kwa makazi 🏫 Shule, hospitali na maduka vipo karibu 📄 Miliki halali, salama...
  4. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia yapo Tanzania, Handeni Mjini wapiga kura 28,000 Arusha Mjini Wapiga kura 521,000

    Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa......... Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani. Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya Mjini ni vigumu sana Wasafwa kupata Ubunge, ni Jimbo la wageni kama Arusha Mjini

    Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu wataratibu sana wasiopenda kabisa mambo ya siasa Wao wamejikita zaidi kwenye mambo ya Dini hasa Misikiti...
  6. JamiiForums Tanzania Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

    Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu, Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja! Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !! Je ni kweli...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini, sijui nifanye nini! Ushauri

    Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio. Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Ni kweli jeshi la polisi Bunda mjini mmeshindwa kudhibiti hili kundi linalodhalilisha kukaba, kuibia watoto, kinamama na wanafunzi?

    Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao hayafanikiwa wakabadili mtindo wa utafutaji wakaingia kwenye biashara ya kuuza dhahabu feki.Hili...
  9. JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kuja mjini?

    Habari wakuu. Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini? Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa wazee omba omba huku mjini imekuwa huzuni sana

    Hivi hawa wazee vikongwe ninao waona huku mjini posta, na mitaa ya upanga wakiwa wanaomba omba, huwa najiuliza walikosea wapi enzi za ujana wao, Kwanini kipindi cha ujana wao hawakuandaa maisha yao ya uzeeni, Je, hawana watoto wa kuwasaidia? Unakuta kibibi au kibabu kinapigwa na baridi na...
  11. JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu wa fani mbalimbali kwaajili ya Microfinance Mbeya Mjini

    Habari! kama una ndugu au ni wewe mwenyewe na unashahada ya masuala ya fedha..Uhasibu au uchumi unaweza apply kwenye KAZI zifuatazo. 1) managing director - awe na masters ya Finance au masuala ya fedha na uchumi na uzoefu WA kutosha. 2) credit au loan officers - nafasi tano. 3) Teller -...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu CCM, Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Mbinga Mjini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake ya siku tano, katika Mkoa wa Ruvuma, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

    01.Ufundi Bomba 02.umeme wa magari 04.udereva 05.Fokolift 06.welding Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kero kutoka mbagala hadi mjini, njia imerudishwa kwenye foleni

    Jambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu. Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta mahitaji wapo wanaoenda kutafuta bidhaa na kuja wauzia waliobaki walipotoka na bado wapo ambao wanaenda...
  15. JamiiForums Tanzania Stand za Mabasi Kahama Mjini ni AIBU ya Taifa kwa niaba ya CCM

    Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi. Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi waungwana hii Stendi ya Nzega Mjini ndio ya Sh Bilioni 4 kweli? Au mimi sijui kuthaminisha vitu!

    Ndugu zangu, huu mjadala ulikuwa chinichini ila sasa naona kumbe hata huko X watu wanajadili kama vile mimi na wanangu tulivyokuwa tukijadili, kwahiyo ndio ukweli kwamba Shilingi Bilioni 4.327 zimemwaga kwa miundombinu hii? Pia soma ~ Waziri Mkuu Majaliwa azindua Stendi ya Sh Bilioni 4.3...
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Mbeya mjini..

    Nyumba inauzwa Mbeya mjini tshs 45m. Wasiliana nasi+ +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa
  18. JamiiForums Tanzania Godown linapangishwa Mbeya mjini

    Godown linapangishwa Mbeya mjini sq 750. Tshs 4m mazungumzo yapo. Lipo eneo la viwanda, Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  19. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbeya mjini

    Viwanja vinauzwa Mbeya mjini. Kila @25,000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  20. JamiiForums Tanzania Godown linapangishwa Mbeya mjini.

    Godown linapangishwa Mbeya mjini. Sq 450 Tshs 1.5m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…