Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa.
Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa.
Oyaa tafuteni kazi nyingine.
Kufa kama nzi mnakufa
Bima ya afya hamna
Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna .
Amkeni.
Utangulizi;
Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 2025
Hii ni hatua muhimu kwa ajili ya maendeleo ya jimbo letu...
BARABARA YA USAGARA - MWANZA MJINI KM 25 KUJENGWA KWA NJIA NNE
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inachukua hatua za haraka kushughulikia msongamano wa magari kwenye Barabara Kuu kutoka Mwanza Mjini hadi Usagara kwa kuijenga kwa njia nne.
Ulega...
Hellow!
Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA.
NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa ndani!
Muda ni mwalimu. Tusubiri.
Justin Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini.
Kijana Kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini .
Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua.
Wananchi wanakuhitaji wewe tu
Pia soma > TANZIA - Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi...
Kuna wazazi wanawalea watoto wao wa kiume kimayai sana! Yani mpaka leo anakaa naye nyumbani.
Na kijana anakazi yake inamlipa fureshi, sasa cha kushangaza kijana wa kiume hata kuoa hataki.
Hana maana huyo, wewe kama baba mfukuze nyumbani kwako, naye akajenge mjini wake.
Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu.
Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine.
Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi.
So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo.
Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi...
MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI
UTANGULIZI
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya kuhudhuria misiba miwili iliyokuwa jirani na kufanya jambo lililotafsiriwa kuwa sio la kiungwana...
MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.
Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO!
Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli!
Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa...
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha.
Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake.
Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya...
Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la Songea Mjini
"Mapema Desemba 27, 2024 hapa manispaa ya Songea Mjini nikiambatana na Kamati ya Mfuko wa...