mitihani

National Examinations Council of Tanzania (NECTA; Swahili: Baraza la Mitihani la Tanzania) is an agency of the Tanzanian government, headquartered in Dar Es Salaam, that proctors tests given nationally.
It manages the Certificate of Secondary Education Examination.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita...
  2. Hivi mitihani ya Wizara ya Online tunafanyia kila mtu nyumbani kwake au Tunaenda kwene hizo venue walizopanga? Na kama online si online

    Wakuu hebu nisaidie hizi kazi za Afya zilizotoka saizi za online interview
  3. A

    KERO Tuliambiwa tufike Chuoni St. Francis kwa gharama zetu sababu mitihani tuliofanya imepotea kwa ahadi ya kuwa refunded, sasa wanagoma kutulipa

    Naomba niwasilishe changamoto zetu kwa mamlaka husika kupitia nyie ili tupate ufafanuzi wa kulipwa gharama tunazowadai chuo. Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari St. Francis (Morogoro, Ifakara) tulipokea taarifa ya kuitwa chuoni siku ya jumatatu bila kukosa wakati tupo likizo bila kuambiwa sababu ya...
  4. A

    KERO Kuna wimbi la michango Shuleni hasa Shule za Msingi

    Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango 1. Mchango wa Hela ya mlinzi 3000/= 2. Hela ya Mtihani ni sh 6700 kwa mwaka 3. Hela ya jiko Tsh...
  5. R

    KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

    Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy? Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi? Au...
  6. Kwanini karatasi za mitihani ya wanafunzi ndiyo zimegeuzwa vifungashio vya maandazi?

    Just imagine hii ni karatasi ya mtihani wa "MOCK" uliofanyika mwaka huu mwezi May tu hapo, ila hata kabla ya wanafunzi hawajapewa "Marking Scheme" tayari answer sheet yake imeshafika Dar kutoka Mwanza. Na mtihani wa Mock ni mtihani wa 2 wa uzito baada ya mtihani wa taifa. Binafsi siku...
  7. Prof. Mkenda: Waziri hana mamlaka ya kuingilia chuo kama umefukuzwa kwa kudanganya

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini hatoingilia mamlaka za Vyuo Vikuu zinapochukua hatua mbalimbalu za kinidhamu katika udanganyifu wa mitihani Kauli hiyo ameitoa Julai 12, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  8. Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

  9. Mitihani yanayoyotungwa na halmashauri hawazingatii mtaala

    As-salamu alaykum watanzania wote mliomakinika katika nyanja mbalimbali katika usukumaji wa gurudumu wa taifa hili. Leo nimeona nilete hili kwenu. Baada ya shule kufungwa, wazazi ilibidi wakachukue matokeo ya watoto wao. Nilikwenda kuchukua matokeo bhn, cha ajabu performabce ya mwanangu ilikuwa...
  10. T

    Mwenye mitihani ya leseni pharmacy ngazi ya cheti(miaka ya nyuma) naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.

    Wana jf naomba msaada wa pastpapers za mitihani ya leseni ya ufamasia ngazi ya cheti.Natumaini ombi langu litafanyiwa kazi.ASANTENI.
  11. Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (written) ya secretarieti

    Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social...
  12. Baraza la Famasi Tanzania lafuta Matokeo yote ya Mtihani wa leseni ngazi ya Fundi Dawa Sanifu kutokana na udanganyifu

    Baraza la Famasi Tanzania limefuta matokeo ya watahiniwa wote 2553 waliofanya mitihani ya leseni ngazi ya Fundi Dawa Sanifu (Pharmaceutical Technician) iliyofanyika mwezi February 2024 baada ya kuthibitika kuwa kulikuwa na udanganyifu kwenye mitihani yote mitatu. Watahiniwa hao sasa...
  13. KERO Wanafunzi wa UDSM, tumezuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kukamilisha Ada

    Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa kukosa vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwa sababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semister ya Pili...
  14. UDSM wanafunzi washindwa kufanya mitihani ya majaribio kisa ADA

    SAKATA LA VALID ID Zaidi* ya robo tatu ya Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wameshindwa kufanya mitihani yao ya majaribio baada ya kukiuka kanuni na taratibu za mtihani za chuo kikuu cha Dar es salaam zinazowataka kuwa na kitambulisho halisi cha chuo ndani ya muhula au mwaka husika (...
  15. M

    USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

    Nahitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne katika michepuo ya sanyansi. Naombeni msaada wapi nitapata walimu wazuri.
  16. M

    Je, nawezaje kufanya mitihani ya science ya form IV & VI kama PC Candidate?

    Habari wana taaluma.Mimi nilihitimu kidato cha 4 mwaka 2010 masomo ya biashara. Masomo yote nilipata D isipokuwa Book-keeping 'A' , Mathematics 'B' na History 'C'. Niliendelea advance masomo ya biashara pia (ECA) na kuhitimu mwaka 2013. Matokeo hayakuwa mazuri, sababu zilikuwa nyingi lakini...
  17. Naomba mwenye mitihani ya mock na pre-mock 2024, aweke hapa

    Habarini wana jamiiforums, Ninaomba mwenye mitihani ya pre-mock na mock ya Basic Mathematics Kidato cha nne 2024 ya Wilaya na Mikoa mbalimbali atume humu. ASANTE
  18. M

    Hili la walimu kufanya mitihani kabla ya kuajiriwa, Mawaziri nao wapewe mitihani kupata walio bora

    Wanajukwaa natumaini hamjambo mpo vyema. Kupitia vyanzo mnalimbali vya habari nimeona eti anaejiita profesa Mkenda anataka walimu wapewe mitihani kabla ya ajira. Hivi walimu kwa uwingi wao unaposema uanze kuwapa mitihani huoni kama unatengeneza urasimu wa hali ya juu? Vipi mazingira ya rushwa...
  19. Z

    Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini. Nifanye nini kupambana na hii hali...
  20. Kuweni makini, Global Financial Crisis (Mtikisiko wa uchumi) is coming and real

    Kuna mitikisiko midogo midogo ya uchumi huwa inatokea na inadumu kwa muda mfupi lakini kuna ile mikubwa kama Great Depression, hii mikubwa yote huwa inatanguliwa na vita pamoja na utra super overspending kuanzia level ya watu binafsi, familia, makampuni hadi nchi kwa ujumla. Nikisema ultra...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…