Mitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri Mambo ya ndani 2012 hadi 2015. Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar...