Taasisi ya Chuo cha City College Mikwambe kipo Kigamboni, Mikwambe, Dar es Salaam., walituita kufanya kazi ya kusahihisha mitihani na walisema wangetulipa baada ya kazi kuisha, lakini tangu mwezi wa saba 2025 leo Machi 2025 hatujalipwa malipo yetu.
Tukiwatafuta hawana majibu ya kueleweka, mbaya...