misuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhuru24

    Ili utunishiane misuli na marekani lazima uwe nawewe unatengeneza silaha

    Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua. Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama...
  2. stakehigh

    SARCOPENIA: Hali ya afya ya kupoteza misuli katika mwili

    Sarcopenia ni hali ya kupoteza misuli, nguvu, na uwezo wa mwili kufanya kazi kulingana na umri. Kitaalamu, kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40, mwanadamu huanza kupoteza wastani wa asilimia 3 hadi 8 ya misuli yake kila baada ya miaka kumi. Hali hii isipodhibitiwa, husababisha udhaifu mkubwa...
  3. MK254

    Saudi Arabia na UAE zatunishiana misuli kisa Yemen

    Mbwa kala mbwa, yetu macho, hawa wote ni wale wale, hapa wanalumbana kisa Yemen. Hii ni habari njema maana mapesa yote yanayofadhili uzombi wa muarabu duniani hutoka kwa haya mataifa mawili. ------++- DUBAI, Jan 1 (Reuters) - Flights at Yemen’s Aden international airport were halted on...
  4. Cute Wife

    GE2025 Polisi wanatroti na kupasha misuli kila siku, wananchi tumeanza mazoezi?

    Wakuu, Safari hii polisi karibu kila siku wanaonekana barabarani wakifanya 'mazoezi' na kujiweka fiti, yote haya ni kujiandaa kukabiliana na wananchi watakaoandamana siku hiyo, pamoja na kuwatisha ofkoz, kuwa msisubutu kwani tutakuwepo barabarani kuwakabili. Wakati polisi wakiendelea na...
  5. Mende mdudu

    Kuna haja gani ya kutunishiana misuli, wote tunajenga nyumba moja?turudi mezani kwa maslahi mapana ya taifa.

    Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja. Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied...
  6. Chibike

    Hapa huchomoki hata uwe na misuli minene na kunyanyua vyuma

    Wanaume wenzangu muwe mnaenda kuchunguliamo mara Moja Moja Msije sema sijawaambia. Ukishawekwa hapa..ni mwendo wa sawa waifu wangu..ndio ndio..nakutumia waifu ...Ile nyumba ntaiuza tu hela zote nitakupa wewe waifu...sawa waifu...Kuna kingine waifu...ntazifua tu nguo waifu..wewe relax tu...
  7. I

    Heche kumtunishia misuli msajili wa vyama – analazimisha CHADEMA kufutwa?

    Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa...
  8. Damaso

    Ukweli Mchungu Kuhusu Ujengaji Misuli: Uzuri wa Ujana, Hatari ya Uzee

    Ujengaji wa misuli ni mchezo wa kuvutia unaohitaji nidhamu, mazoezi makali, na lishe bora. Kwa vijana, ni njia nzuri ya kujenga mwili, kujiamini, na hata kupata umaarufu au kipato. Mwili unaochongwa kwa ustadi huvutia wengi na kuashiria afya na nguvu. Lakini, kuna upande wa pili wa shilingi...
  9. Mshana Jr

    Vita ya madhabahu: Pale falme mbili zinapotunishiana misuli

    Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa na mpendwa wako Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama motisha wa kufanya vizuri zaidi Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama ishara njema kwa jambo zuri ulilofanya Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kwa nia ya...
Back
Top Bottom